Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu.
Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa.
Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
Septemba 30, 2026 Mwanamume mmoja nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Adeniyi Adeyemi alifikishwa Mahakama ya Abuja akituhumiwa kuunda kinyume cha sheria taasisi ya serikali, kujiteua kuwa mkuu wake na kufanikisha kutengewa fedha katika bajeti ya serikali. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu...
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
SACCOs nchini Kenya zilipata Wanachama wapya takriban 480,000 katika kipindi cha mwaka mmoja, huku idadi ya wanachama katika SACCO zinazodhibitiwa ikifikia milioni 7.87 mwaka 2025, kutoka milioni 7.39 mwaka 2024.
Kwa mtazamo wa kwanza, hii inaonekana kama ishara ya kuongezeka kwa imani ya...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Enock Koola, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 100 kama mchango wake na marafiki zake kwa ajili ya ukarabati wa Kliniki ya Meno pamoja na Maabara katika Hospitali ya Marangu, akisema lengo ni kurejesha hadhi ya hospitali hiyo na kuimarisha huduma za afya kwa...
Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k.
Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
Ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania linatarajiwa kufikia takribani milioni 120 ifikapo mwaka 2050, hali inayotarajiwa kuongeza mahitaji ya miundombinu na huduma muhimu. Fursa kubwa zinaonekana katika ujenzi wa nyumba, barabara, hospitali, mifumo ya maji na miundombinu ya mijini, huku sekta...
My Take
Nilikuwa sijui kama Ugoni na fumanizi unaweza peleka kesi mahakamani na kudai fidia.
===============
Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 kwa Mkurugenzi wa Manispaa baada ya mfanyabiashara kukutwa na hatia ya kufanya uzinzi na mke wake.
Mkurugenzi huyo...
NB: Translation ya baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika
Dinosaria- Dinasours 🦕
Visukuku- Fossils 🦴
Wanasayansi wamegundua spishi mpya ya mnyama wa kale aliyeishi takribani miaka milioni 240 iliyopita.
Kiumbe huyo aliyekula mimea, aliyepewa jina la Dinodontosaurus isiyavamanda...
NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI
Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa
Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi ya sherehe ya ibarikio wa binti yake Mwezi Decemba bahati mbaya sikwenda leo ananipigia kuwa kikao...
Idara ya Sheria ya Marekani inarejesha takribani dola milioni 2.5, kwa Serikali ya Gambia zilizopatikana kutokana na vitendo vya rushwa wakati wa utawala wa Yahya Jammeh, ambapo fedha hizo zitatumika kulipa fidia kwa waathirika wa utawala huo.
Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia, pamoja na...
Mbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu katika jimbo hilo baada ya kuyakagua na kutoridhishwa na ubora wake, Septemba 18, 2026.
Madawati hayo yaligharimu kiasi cha Shilingi milioni tatu, fedha zilizotolewa kupitia Mfuko wa...
Ndugu wana-JamiiForums,Mnamo tarehe 18 Septemba 2026, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, chini ya Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, ilizindua rasmi basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye thamani ya Shilingi Milioni 334 za Kitanzania.
Lengo lililoelezwa na uongozi huo kupitia Wakala wa Huduma...
MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar es Salaam atatozwa faini ya shilingi 300,000 hadi milioni moja au kuhukumiwa kifungo cha miezi 12...
Wameamua kuzalisha sare zao wenyewe kutoka kwenye pamba wanayolima wenyewe. Wanatarajia kuzalisha sare za majeshi na nguo za kiraia. Sasa hivi tutaona wanauza nje sare za kijeshi.
Wanapunguza import na kuongeza ajira nchini mwao. Kila la kheri kwao.
Jitihada za kibinadamu zimeleta matokeo makubwa baada ya mfanyabiashara na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Niffer, kufanikisha ukusanyaji wa Shilingi milioni 111 kwa ajili ya matibabu ya mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Najath Ibrahim, anayesumbuliwa na tatizo la figo.
Najath...
Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au uwekezaji wa viwanda maana wachina wanaendelea kujenga viwanda maeneo hayo.
Njoo DM tuongee naamini...
NYUMBA IPO NARUNG'OMBE NA LUMUMBA
PRICE 4 BILLIONS na Milioni 500
Building Ina Floor 5
Ground Kuna Frame Tatu Ikiwemo Restaurant
First Floor ni Godown
Second Floor ni Apartment ya Pande Mbili
upande mmoja ni Vyumba viwili na upande mwingine ni vyumba Vitatu
na iko hivo Floor...
NYUMBA IPO NARUNG'OMBE NA LUMUMBA
PRICE 4 BILLIONS na Milioni 500
Building Ina Floor 5
Ground Kuna Frame Tatu Ikiwemo Restaurant
First Floor ni Godown
Second Floor ni Apartment ya Pande Mbili
upande mmoja ni Vyumba viwili na upande mwingine ni vyumba Vitatu
na iko hivo Floor...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.