shule za msingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Acehood

    JamiiForums Tanzania 📚 Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana 📚

    📚 VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA 📚 Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi? Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za Msingi za Swahili Medium na English Medium, kwa madarasa yote kuanzia Awali hadi Darasa la VII...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wenye Shahada za elimu katika masomo ya sanaa wasiajiriwe shule za msingi ili kupunguza idadi ya wahitimu wa fani hizo mitaani?

    Huu ni mjadala huru : Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao. Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Shule za Msingi Gmhasa Tumaini iliyopo Ilala wanalazimisha Watoto waende wikiendi wakiwa na hela za mitihani

    Wazazi na wanafunzi tunalalamikia tabia ya baadhi ya walimu wa Shule za Msingi Gmhasa iliyopo Ilala, Dar es Salaam kuwashinikiza watoto kuhudhuria shule siku za mwisho wa wiki (Jumamosi), pamoja na kuchangishwa fedha za mitihani. Inadaiwa kuwa baadhi ya mitihani hulipiwa, jambo ambalo linaibua...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara wa Shule za Msingi - Mbulu DC (Manyara) wanatulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu

    Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC. Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu. Aidha, tunatishiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na viongozi wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Walimu wa kujitolea Shule za Msingi, Sekondari - Morogoro waboreshewe maslahi, malipo hayaendani na hali halisi ya sasa

    Licha ya mahitaji makubwa ya walimu kwa Shule za Msingi na Sekondari, bado walimu wanaojitolea wanaishi maisha magumu, kwa kukosa posho na wengine wakiambulia kulipwa Sh 100,000 kwa mwezi. Takwimu za BEST (Basic Education Statistics Tanzania) zinaonesha Tanzania inakabiliwa na uhaba mkubwa wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Minyoo na Kichocho inayotolewa Shule za Msingi yadaiwa kuua Wanafunzi Jijini Mbeya

    Watoto wa shule ya msingi jijini Mbeya wamepata matatizo ya kiafya ikiwemo kuumwa tumbo na kutapika na wengine kufaliki baada ya kupewa chanjo ya vidonge kwa ajili ya minyoo na kichocho. Miongoni mwa mwanafunzi aliyefaliki ni mwanafunzi wa kike mwenye miaka minne aliyekuwa anasoma Shule ya...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ludewa kujengewa maktaba 45 kwa shule za msingi

    Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefaidika na mpango madhubuti wa maktaba za shule unaoanza katika shule za msingi 45 wilayani humo kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa vitabu na vifaa vya kujifunzia vinavyolingana na mtaala mpya wa Taifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Uwezo Tanzania, Baraka...
  8. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule za Msingi ziwekwe kwenye haya makundi: Biashara, Sayansi na Sanaa

    Habari Tanzania ! Nawaomba Wenye mamlaka na usimamizi wa Elimu pamoja na wadau wa elimu hapa Tanzania. Ikiwapendeza; nawaomba mfanye mabadiliko tena kwenye Shule za Msingi kila Kata - Shule zigawanywe kwenye Makundi makuu 3. 1. Shule - Biashara 2. Shule - Sayansi 3. Shule - Sanaa Kila Wilaya...
  9. boufer

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule za msingi za serikali za kulipia zilizopo manispaa ya Temeke

    Km tittle inavyojieleza wakuu, naomba majina ya shule za msingi za kulipia zinazopatikana Manispaa ya Tmk! Nawasilisha
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Shule za msingi kuwa eneo moja na sekondari sawa na sekondari kuwa eneo la chuo unategemea nini?

    Kwa miaka 90 kurudi chini ilikuwa ngumu kuona shule za msingi zikiwa karibu na sekondari hii iliwapa watoto kutamani kufika sekondari wakimaliza shule ya msingi wanapokutana na wakubwa wao. Kwa sasa ni mambo ya ajabu yani sekondari kuwekwa kwenye shule ya msingi na tunajua sekondari ni watu...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Baraza la mitihani limetangaza marekebisho ya majina ya watoto wa shule za msingi na sekondari

  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haiwathamini wanafunzi wa shule za msingi Tanzania?

    Mimi ni mkazi wa majiji mawili Tanzania. Dar es salaam na Arusha. Wanangu ambao wote ni wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanapitia matatizo makubwa sana ya usafiri wa kwenda na kutoka shule. Dar- mwanangu anaondoka saa 11 asubuhi na mpaka sa Moja hajapata mwendokasi kituoni na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa.

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ukarabati wa madarasa shule za msingi na sekondari

    Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa...
  15. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

    Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie. Huu sio uungwana kabisa
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule za msingi Njombe Mjini zinatoza Tsh. 10,000 ya mitihani kila wiki kwa maelekezo ya Halmashauri

    Shule za msingi Njombe Mjini (sio zote) zimekuwa zikitoza hela ya mitihani kwa wanafunzi wake elfu 5 hadi elfu 10 kwa mtihani mmoja kila wiki na kwa wale wanaochelewa kulipa walimu na wakuu wao husema hela inahitajika maana hata wao wanadaiwa na halmashauri hela za mitihani ndio maana na wao...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa: 2015 nilikuta shule za msingi zipo 19 tu, sasa hivi zipo 63

    Wakuu, Hizi shule anazosemea Mchengerwa amezijenga kwa hela zake za mfukoni au ni kodi zenu ambazo mnakatwa kwenye mishahara na biashara zenu? Pia kama ameingia 2015 maana yake in a span of 10 years "amejenga" shule 48 tu kwa wastani wa kila mwaka ni kwamba kuna shule 4 zinajengwa...
  18. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kiume wa shule za msingi za serikali kuvaa kaptula

    Habarini wadau Mimi nimejiuliza sana , kwann wavulana katika shule za serikali wavae kaptula? Mbona wasichana wanavaa sketi kuanzia chekechea mpk high school? Mimi upande wangu naona kama kuna udharirishaji kwa wavulana wanafunz kwenye upande huo, na endapo wakavaa suruali kuanzia darasa la...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwiano usio sawa wa walimu shule za msingi Moshi manispaa

    Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi. Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu (TET) yawatuza Walimu waliofanya vizuri Stadi za Ufundishaji Shule za Msingi na Sekondari

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kubuni na kuandaa shindano la stadi za ufundishaji kwa walimu wa shule za msingi na sekondari, akisema kuwa tuzo zinazotolewa kwa washindi zinaleta motisha na kuwatia hamasa walimu...
Back
Top Bottom