Katika Kijiji cha Namikango, Wilaya ya Nachingwea, wananchi, hususan wakulima, tunalalamikia kuvamiwa kwa mashamba yetu na wafugaji (Wamang'ati) wanaoingiza na kulisha mifugo katika mashamba yetu
Tunaomba Serikali iingilie kati na kutatua changamoto hii ili kuzuia madhara makubwa zaidi na...
Bei ya wastani ya tumbaku imeongezeka kutoka Dola 1.95 kwa kilo msimu wa 2025/2026 hadi Dola 2.05 kwa kilo msimu wa 2026/2027, sawa na ongezeko la takribani 5.13%. Ongezeko hilo linaongeza kipato na motisha kwa wakulima, huku bei mpya ikizingatia gharama za uzalishaji pamoja na maslahi ya mkulima.
Hapa kijijini kuna mfugaji yupo juu ya sheria na kijiji kinaonekana kimeshindwa kumdhibiti, sheria ya kijiji cha bonye inamtaka kila mmiliki wa ng’ombe asizidishe ng’ombe zaidi ya 10 , jambo la kushangaza huyu Lembile anaweka hadi ngombe zaidi ya 200 kwa msukuma mmoja.
Na kijiji hakimchukulii...
Anonymous
Thread
katika
kijiji
mfugaji
morogoro
sana
sangara
vijijini
wakulima
Wakulima wa tumbaku wa MWEMBENI AMCOS iliyopo kaliua kijiji cha Wachawaseme, tumedhulumiwa pesa zetu, tumebambikiziwa madeni.
Kibaya zaidi wameitwa baadhi ya wakulima wakasainishwa hela wengine hatujui chochote
Tunatamani kwenda ofisi za ushirika ila huwa hawana msaada.
Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha.
Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa
==========================
Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue?
Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
EACC imewakamata washukiwa tisa, wakiwemo maafisa waandamizi wa Hazina ya Kitaifa, katika uchunguzi wa madai ya ubadhirifu na utoaji wa fedha kwa njia ya udanganyifu wenye thamani ya KSh1.569 bilioni kupitia mpango wa PROFIT.
Kwa mujibu wa EACC, fedha hizo zilitolewa kutoka Akaunti ya Maendeleo...
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ haijalipa fedha za stahiki kwa wakulima na wafugaji walioshiriki katika Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi-Njiro, Arusha, kuanzia tarehe 28 Julai hadi 9 Agosti.
Tunapowasiliana na Afisa Kilimo wa Wilaya kuhusu malipo hayo, majibu...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
hanang
malipo
maonesho
maonesho ya nanenane
nanenane
wakulima
watumishi
wilaya
wilaya ya hanang
Maswa, Simiyu: Wakulima wa pamba wilayani Maswa wameonywa kutokubali kuuza pamba kwa mkopo, bali wahakikishe wanalipwa fedha zao mara moja baada ya kukabidhi zao katika vituo vya ununuzi.
Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Maswa, Lukas Kuwingwa, amesema taasisi hiyo iliingilia kati baada ya wakulima wa...
1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa?
2. Je, wakulima wanahudhuria na kujifunza kupitia maonesho haya
3. Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wakulima wanashiriki maonesho haya?
4. Je, ni kwanini kwenye baadhi ya viwanja vya maonesho waoneshaji wanalipishwa gharama...
Nanenane ni siku ya wakulima kuonyesha bidhaa zao za kilimo, ikiwemo teknolojia za kilimo ambazo zitawasaidia wakulima kuongeza ufanisi katika kilimo.
Lakini siku za hivi karibuni, maonyesho haya yamevamiwa na wafanyabiashara wasiokuwa wakulima, jambo ambalo limesababisha kwa kiasi kikubwa...
Baada ya hoja ya Mdau , kuandika Vyama vya USHIRIKA vinavyonunua mazao Lindi hasa Kilwa wafanyakazi wake wanazungusha malipo ya Wakulima ufafanuzi umetolewa na mamlaka zinazohusika:
Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu Cha Ushirika Lindi Mwambao Ltd anapenda kuwataarifu Wakuliwa na wadau wote...
Mimi ni mkulima wa Muda mrefu kidogo nalima viazi kama zao la urithi, parachichi na sasa nimeanza kulima kahawa( sijafanikiwa kulima kahawa kwenye kiwango kizuri) nadili na nafaka kwa kununua na kuuza.
Nimejaribu kufuatilia trend ya Bei ya mazao kwa Miaka kadhaa hadi nikamua kuanza kulima...
My Take
Kama mahindi yamejaa kwenye maghala ya NFRA basi wapeleke Msaada Uganda harafu wanunue ku restock upya Ili kusaidia wakulima kabla hawajashindwa kulima mwakani.
Usalama wa chakula unategemea incentives Kwa mkulima mdogo kuweza kuendelea kulima na hii inategemea bei ya mazao.
Kwa Sasa...
Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege.
Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada.
Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya chakula nahisi ni nafaka sijui ni nafaka hipi.
Nitaanza na ili nyuma kidogo,Wakati miaka ya nyuma...
CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
1. Viongozi wa AMCOS tunatozwa pesa kila tunapoenda kusainisha/kupitishiwa malipo ya wakulima katika chama kikuu MBCU, Kila malipo tunatozwa Meneja Ndg. Paulo Samweli kuanzia 4mil hadi 10mil kulingana na shedo ya malipo na fedha hii si ya vuongozi bali na yawakulima.
2. Tunahofia msimu huu...
Anonymous (c518)
Thread
fedha
malipo
malipo ya wakulima
meneja
ofisi
shida
tumbaku
wakulimawakulima wa tumbaku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.