Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja:
Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na mapenzi ya jinsia moja) sio jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi. Wataalamu wa afya ya akili na...
Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma.
Je,
kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
Karibuni!Tuyatambue kwa majina na maeneo yalipo!
1. Gari linalomuendesha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga,Kule Mkoani Kilimanjaro. ( Toyota Landcuiser Prado J250).
2.
3.
4.
5.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa tuhuma za kumtishia kwa kitu kilichodhaniwa kuwa bastola dereva wa basi la SATCO, Said Fadhili (54).
Tukio hilo linadaiwa kutokea baada ya basi hilo lenye namba za usajili T308 EME, aina...
Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo James, inachukua nafasi hii kuipongeza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), chini ya uongozi wa Mkurugenzi wake, Dkt. Adam Mitangu Fimbo, kwa kazi nzuri inayoendelea kufanywa katika kudhibiti uingizaji wa dawa bandia nchini.
Dawa bandia...
Habari!
Naitwa Julius, nina umri wa miaka 42, na natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi, familia, viongozi au safari za barabarani (road trips), ikiwemo safari ndefu za kifamilia.
Nina uzoefu wa miaka 10 katika kuendesha safari fupi na ndefu, ndani na nje ya Tanzania. Pia nimepata mafunzo...
Wafanyakazi wa Halotel Tabora tunakabiliwa na mazingira magumu ya kazi, ambapo tunafanya kazi hadi nyakati za usiku na hata Jumapili, lakini hakuna malipo ya muda wa ziada (overtime).
Tunaelekezwa kutembelea maeneo ya kazi (sites) katika wilaya nzima bila kupewa usafiri wala malazi...
Anonymous
Thread
binafsi
halotel
katika
mamlaka
sauti
tabora
wafanyakazi
Maboss.
Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua?
Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine tukajadili inbox nimenunua DJI Lito X1.
Siku ya kwanza baada ya kununua nikamgusia muuzaji kuhusu...
Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo?
Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa?
Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k.
nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache.
Watu...
baada
binafsi
hawana
imani
kashfa
kina
kuharibu
kuliko
kupotea
kupoteza
kuyumba
kwasababu
legacy
maslahi
maslahi binafsi
mchaga
msimamo
nyingi
sana
siasa
siasa za upinzani
tamaa
taswira
uaminifu
upinzani
uzalendo
viongozi
wachache
wachaga
wengi
Wakati akiwa kiongozi wa chama chake alionekana ni muungwana,mtu mwenye misimamo na mpenda haki. Wanachama,wananchi na washabiki wa chama chake walimpenda,walimheshimu na walimuamini kupitiliza hadi kila akifanya jambo hawakugundua tabia yake.
Baadhi ya wanachama na washabiki walivuja damu na...
Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na...
Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za kipekee zinazojenga msingi thabiti wa nidhamu, maarifa na mafanikio ya kudumu.
11 Septemba 2026 — Shule...
Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate
Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
Habari wana-JamiiForums,
Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
Mama mmoja, kwa jina la Kalie Robins, ameibua wasiwasi kuhusu namna tool ya Meta AI inavyoweza kutumia taarifa zilizowahi kuchapishwa mtandaoni kukusanya na kuhusisha taarifa binafsi.
Kwenye video hii Robins anasema alichapisha video iliyokuwa ikimuonyesha yeye na binti yake wakiimba ndani ya...
Rais Magufuli alipotangaza ujenzi wa bwawa la umeme kuanza mara moja bila kujali sura ya mtu alipata upinzani mkali sana kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi.
Nje ya nchi gazeti la economics lilikuwa linakuja na makala ndefu kuonyesha kuwa huo mradi ni white elephant na utasababisha madhara...
MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Wafanyakazi wa taasisi binafsi ni km watoto yatima tu. Anzia utaratibu wa mifuko ya hifadhi za jamii(NSSF) wao wanakatwa 10% mwajiri anachangia 10%, PSSSF wafanyakazi wanakatwa 5% mwajiri(serikali) anachangia 15%.
Siku ya mafao mwajiriwa wa sekta binafsi anapewa 35% ya mkupuo wakati wa serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.