nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli ya Dar es salaam mpaka Dutumi (Morogoro vijijini) kupitia Ngerengere ni TZS 20,000 Licha ya kuwa ni Kilometa zisizozidi 90. LATRA mpo wapi?

    Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa? Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi)

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi. Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Buza tunaotumia usafiri wa Umma tunatozwa nauli tofauti na nauli elekezi

    Wananchi tunaotumia usafiri wa umma, hususan wakazi wa Buza, tunakabiliwa na kero ya kutozwa nauli tofauti na bei elekezi. Kwa mfano, nauli kutoka Mnazi Mmoja hadi Buza ni Shilingi 700, lakini baadhi ya magari yanapofika kituoni Buza huishia mwanzoni mwa kituo. Abiria wanaopanda hapo hutozwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabwepande hatuna daladala, tunateseka kwa nauli za Bajaj. Tupate daladala angalau hadi Tegeta

    Mabwepande kuelekea Bunju B ni Shilingi 1,500 kwa Bajaj kitu ambacho ni gharama kubwa kwa wananchi wa hali ya chini, ushauri wangu zipatikane daladala zitoke Mabwepande ziende Tegeta Nyuki, ambapo kila mtu anaweza kuafodi nauli hata wanafunzi wa shule itawarahisishia sana. Zipatikane daladala...
  5. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TABOA; Watanzania Wajiandae Na Nauli Mpya

    Watanzania wajiandae gharama za usafirishaji tutaziongeza kwa sababu ukifika Stendi ya Magufuli ushushe uchukue lori au usafiri mwingine ukodi upeleke ofisini kwako ili yule anayekuja kupokea huo mzigo aukute ofisini kwako. "Na tunasikitika sana Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba alituomba baada ya...
  6. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli kupanda imezidi kuwa kero kwa abiria

    Ongezeko la gharama za usafiri licha ya mafuta kushuka bei limeendelea kuwa changamoto kwa baadhi ya wananchi wanaotumia usafiri wa umma katika shughuli zao za kila siku, huku abiria wakieleza kuwa nauli kubwa inaongeza mzigo wa gharama za maisha. Baadhi ya abiria wanasema wanalazimika kutumia...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli

    "Tunapogundua magari yanasababisha usumbufu, tumeanza kuyafungia ving'amuzi. Kwa kuwa tunaanza kwa awamu, tutaanza na daladala zote zitakazobainika kukiuka masharti ya leseni zao." Hayo yamesemwa na Salum Pazzy, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa zinajipandishia nauli vinavyotaka

    Kero yangu kubwa ni Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa wanapandisha na kushusha bei mfano asubuh Bajaj ni Shilingi 1,500 na usiku bei ni hiyohiyo ila mchana ni Shilingi 1,000 hiyo imekuwa inatuumiza wateja kutojua bei elekezi na Sh 1,500 hiyo ni nyingi hata kulinganisha umbali naomba...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Bro. Ogopa matapeli, mwanamke akitaka kukupa penzi anakuja mwenyewe na nauli yake

    Wadau, kuna vidume mandezi yanapigwa kifala sana na mademu. Demu ukimuonyesha unamuhitaji sana kingono kuliko yeye atakupiga tu na mbunye hupati. Vilio vimekuwa vingi sana mtaani, vidume kuzidiwa ujanja na watoto wa kike, unatuma nauli demu anaifinya na kuja haji. Sasa Kuna mwamba nipo nae...
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali iboreshe huduma za usafiri wa anga na kushusha gharama za nauli ili Wananchi wengi wapande

    Serikali iangalie kwa karibu sekta ya usafiri wa anga nchini, hasa suala la gharama kubwa za nauli za ndege ambazo zimekuwa changamoto kwa Watanzania wengi. Kwa sasa, wananchi wengi wanashindwa kumudu usafiri wa anga kutokana na bei kuwa juu ukilinganisha na uwezo wao wa kifedha. Tunaiomba...
  11. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Natoka zangu Tabora Urambo, nikiwa Sina nauli ya kutosha kufika home Dar

    Maisha ni maudhi tu Hapo natokea huko chimbo kabsa nimepiga mkono ki gari , wamenambia nauli elf 5 mpaka hapo town yanayopatikana magari ya kuja Dar, poa nikakwea nikalipa paap nikafika hapo yanapopatikana magari Picha linaanza magari yanatokea kigoma na noma zaidi yanakuwa yamejaa , kumbuka...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ikifika jioni Daladala za Mwenge–Bunju zinaishia Tegeta kisha zinatoza tena nauli ya Tegeta Bunju

    Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia Tegeta, hivyo abiria wanaosafiri hadi Tegeta hushuka hapo. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Michese ujenzi utaisha lini? Diversion ni ndefu inayoongeza gharama ya nauli

    Barabara kipande cha vumbi Michese Dodoma ni kero kubwa na baada ya njia rasmi ya magari kufungwa na inayokusudiwa na wasafiri kutopewa umuhimu sisi wakazi wa Michese tunateseka saana usafiri umekuwa mgumu saaana ni kama hatuna diwani wala serikali. Njia rasmi ilifungwa kupisha SGR inayokwenda...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwendokasi wana-charge nauli ya Tsh 2,000 kutoka Mbezi to Mjini. Magari yote yanatumia gas ambayo ni nishati nafuu

    Wasafiri wanaotumia huduma ya Mwendokasi kutoka Mbezi kwenda mjini wameeleza kusikitishwa na kiwango cha nauli kinachotozwa, ambacho ni Shilingi 2,000 kwa safari moja. Wananchi wanasema hali hiyo imekuwa kero kubwa, hasa kwa kuzingatia kuwa mabasi hayo yanatumia gesi (GAS), ambayo ni nishati...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Uchunguzi ufanyike kwa Mabasi yanayodai kutoa huduma za VIP; Nauli haziendani na ubora wa huduma

    Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mara nyingi, ninapotokuwa na safari ya dharura, hutumia usafiri wa basi. Katika safari hizo, nimefuatilia kwa karibu huduma zinazotolewa na mabasi mengi yanayojitangaza kuwa ya VIP, na kubaini...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha - Moshi Nauli Zaliza Abiria: LATRA ipo likizo huku Kaskazini!

    Katika mikoa hii miwili ambayo ndio ina ma-utingo na madereva jeuri kabisa, ni kama wao hawajui Traffick wala LATRA. Basi ina leseni yA Moshi-Sanya, ila ikikaa kila wanasema kituo kwa kituo ni 2000, sasa je , aboiria anayeshuka mferejini, Kibosho Road, SAdala alipe nauli ya Sanya juu? na kama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO: EWURA mmetangaza kuwa bei ya Mafuta ya petroli na dizeli imeshuka, JE LATRA nao mbona hawatutangazii bei mpya za nauli?

    Moja kwa moja kwenye kero yangu: Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam . Bei mpya Petroli: Sh 3,990 kwa lita Dizeli: Sh 4,182 kwa lita mpaka sasa sijaelewa kwanini mafuta...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumlipia nauli mfanyakazi wako mpya?

    Katika pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na kijana anatafuta kazi. Nikamfanyia usaili kwa njia ya mawasiliano, ikaonekana nikimpachika sehemu fulani itakuwa si mbaya, ili yeye apate nami pia nipate. Baada ya maongezi mengi, nikamshauri aende akaripoti kituo cha kazi ambacho kipo mkoa...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Nauli za daladala Arusha hazipo popote Tanzania

    Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa? Yaani Arusha ni mji ulio...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

    Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa...
Back
Top Bottom