Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia.
Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana.
Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa.
Nawakumbusha, walikuwepo na...