TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026.
Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii limekuwa na wabunge watatu pekee lakini halijawahi kuwa hata na millimeter 1 ya kipande cha rami hii...
Anonymous
Thread
barabara
bila
jimbo
kero
kero ya barabara
kubwa
miaka
wizara ya ujenzi na uchukuzi
MAANA YA UZALENDO
1. Tafsiri Rahisi
- Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako
2. Mambo Makuu Ya Uzalendo
Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo
Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi
Kutetea uhuru, mipaka na heshima ya nchi
Kuheshimu bendera, wimbo wa Taifa na katiba
Kulipa...
KUELEKEA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA ISMANI TAR 11/5/2026
Umoja wa Vijana chama cha Mapinduzi wilaya ya Iringa Vijijini (UVCCM) utakutana kwa ajili ya Jogging na vijana ndani ya tarafa ya Pawaga, Kata ya Itunundu jumamosi tarehe 9/5/2026.
Mgeni Rasmi
Ndugu Anord Mvamba
Katibu Siasa...
Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao.
Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
Ndugu zangu Watanzania ,
Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Isimani.
Hatua hii inaakisi utayari wake wa kupeleka uzoefu wake mpana wa kiuongozi katika ngazi ya juu ya uwakilishi wa wananchi.
Akiwa ni...
Aprili 2, 2026 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema nyumba zinazojengwa kwaajili ya watu wenye uhitaji zinajengwa kulingana na mahitaji ya familia husika.
Dkt. Tulia ameyasema hayo...
Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo.
Hatua hiyo...
Habari Tanzania !
Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama mdau wa maendeleo hapa nchini. Naomba salamu hizi ziwafikie Viongozi wote wa Kigoma Mjini kuwa...
Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo inamfanya Victor kuingia katika orodha ya watoto wa vigogo kadhaa wa siasa ndani ya chama...
Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuwahamisha watumishi wawili wa kata ya Lusewa ambayo ipo katika wilaya ya Namtumbo kufuatia hali ya utendaji kazi mbovu.
Maagizo...
Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya
Moja kwa moja kwenye hoja
Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ?
Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole.
Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
Rose Muhando alikuwa mbele ya muda.
Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu katika nchi yetu.
Ukiachana na lile jimbo la vibe ya maandamano la makomborero linalotamba kwa sasa...
Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala
Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA
Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa.
Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI.
JIFUNZENI NA BADILIKENI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.