taasisi za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali, taasisi za Serikali na binafsi zilitizame kwa upya suala la umri wa kuingia kazini na kustaafu

    Mambo yamebadilika skuizi wasomi ni wengi na Kila mwaka wanafunzi zaidi ya 200,000 huitimu KATIKA vyuo mbali mbali nchini. Pia fursa mbalimbali za ajira na kazi zimekuwa chache kutokana na idadi kubwa ya wahitimu. Imajeni mtoto anamaliza chuo ana miaka 25 au 26 na zaidi mtaani anakaa miaka 3...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tumezikosea nini taasisi za Serikali?

    Yaani unafanya maombi ya kitu flani kwenye taasisi ambacho utalazimika kukilipia kwa kupata Control number, sasa ili upate Control number inakulazimu tena utoe RUSHWA ili utolewe Control number haraka ukalipie uendelee na mambo yako mengine. Hizi ni Taasisi ambazo wafanyakazi wake wanalipwa...
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Ili nchi iendelee, tunahitaji uhasama kati mamlaka/taasisi za serikali

    Mahakama ina uhasama na Serikali kuu na kila mmoja anaonyesha nguvu zake, bunge nalo linaichachafya serikali. ndani ya bunge kuna uhasama wa wabunge, tena itapendeza kama hakuna chama chenye asilimia zaidi ya 40. TRA wana uhasama na mamlaka ya badari, hakuna mzigo kupita bira kodi kulipwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAI: Msaada wa Kidijitali kwa Taasisi za Serikali, Mashirika Binafsi, na Mabenki

    Wakuu Habari Nimepitia baadhi ya website za taasisi za serikali na app nyingi za kibank nimeona hazitumii teknolojia ya Ai kwenye upande huo. Hali inayoweza inaonesha kuwa kumekuwa hakuna ufanisi wa huduma kwa wateja kwa upande wa kidigitali ambao kwa sasa dunia ndio inautumia sio ule wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANESCO kudai madeni makubwa Kwa Taasisi za serikali

    Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG ya mwaka 2025/2026, imeainisha Moja kati ya Madeni wanayodai Tanesco Kwa Taasisi za serikali, madeni hayo ni ya muda mrefu madeni hayo ni kama yafuatavyo. ZECO: Tsh 292 billion, DAWASA : Tsh 35 billion ,Mamlaka za maji za mikoa : Tsh 21 billion , TPDF: Tsh 14...
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Taasisi za Serikali acheni kututumia Huu Uchafu kwenye Simu zetu. Sasa ni kuwapiga Tofali tu

    Unakaa zako ofisini unasikia msg imeingia unadhani ya maana.... Kumbe ni ya kipuuzi toka Taasisi ambayo ilipaswa iwe serious na maisha. Yaani kweli unatuma msg tukapigie kura Chura na viluwi luwi vyake? Nyie mnatuona sisi punguani sana fisi nyie. Sasa nimegundua ni kuwapiga tu tofali hakuna...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Umma, Polisi na watumishi wa Umma mmefanya kosa gani hadi mfunge sehemu ya comments?

    Wakuu, Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa sana ikiwemo kwenye mawasiliano ikiwemo Web 2 ambayo inarahisisha watu kuchangamana na kutoa maoni yao katika mambo kadha wa kadha. Kupitia maendeleo haya tunategemea kuona wananchi wakitoa maoni yao kwa uhuru na kushiriki katika mijadala mbalimbali...
  8. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaohitaji kujifunza kwa vitendo katika taasisi za serikali ni sahihi na uungwana?

    Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani. Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo...
  9. Mmawia

    JamiiForums Tanzania RC Tabora Paul Chacha Azielekeza Taasisi za Serikali Zaidi ya 20 Kujieleza kwa Kushindwa Kushiriki Shughuli za Mwenge na Nanenane

    Naona sasa kama watanzania wameanza kutazama wapi wanatoka na wapi wanaelekea. Sijawahi kusikia ni wapi watumishi wa serikali wamegoma kushiriki mbio za mwenge. Je huu tunaweza kusema ndiyo mwanzo wa ukombozi wa fikra kwa watumishi wa umma? ================= Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Taasisi za Serikali hazilipi tena pesa ya likizo kwa watumishi wake

    Heshima yenu wakuu , Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena . Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali imeamua kuzuia mtandao wa X/Twitter, kwanini taasisi za serikali na viongozi wanapost?

    Kam wamezuia maana yake hawataki watu wa access, sasa taasisi za serikali zinapo tweet taarifa kwa uma zinalenga nani azione? Au account ya Rais inapo tweet? Pia soma >www.jamiiforums.com/threads/bila-vpn-hauwezi-kuingia-x-twitter-tanzania-vipi-huko-mnaotumia-fb-na-insta.2341705/ Kama wao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali zuia Taasisi za Serikali kununua IT Specialist na Apps kutoka KENYA

    Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk. Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa. Anyway tumevuliwa...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kukosa au kucheleweshwa huduma kila mara katika taasisi za serikali kwa sababu mtandao hakuna au uko chini ni jambo la hovyo sana

    Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mafao toka hazina huwa ni kiasi gani kwa wastaafu waliofanya kazi TBS, EWURA, TRA, TTCL, TCRA na TPA?

    Habari wakuu, Wahenga wanasema kuuliza sio ujinga. Kuna ndugu yangu mmoja mme wake amefanya kazi kati ya taasisi hizi: TBS, EWURA, TRA, TTCL, TCRA na TPA? Amejaribu kuniuliza hawa watu hulipwa mafao kiasi gani na hazina baada ya kustaafu. Kama kuna mtu anataarifa naomba nijuze.
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Taasisi za serikali wilaya ya Hai zadaiwa bili za maji zaidi ya mil.30, DC acharuka

    Baadhi ya Taasisi za Serikali zilizopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ikiwemo Jeshi la Polisi Hai, Shule ya Sekondari Hai Day zimetajwa kuwa na deni sugu la bili za maji inayofikia Zaidi ya Shilingi milioni 30 hali ambayo inawapa changamoto yakifedha na uendeshaji bodi ya Maji Uroki Bomang’ombe...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

    Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa; 1. TAA 2. TCRA 3. PPRA 4. BRELA 5. EWURA 6. TACAIDS 7. SUMATRA 8. TANROADS 9. TAKUKURU 10. TRA. 11. MKUKUTA. 12.MKURABITA. Awamu ya sita ni 👇🏾 1. Samia Legal Aid 2. Goli la Mama 3. Samia App 3. Kazi Iendelee 4...
  18. H

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi za Serikali chini ya NACTVET na mambo ya bima ya afya

    Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza. Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo vya serikali na vile vilivyoko chini ya NACTVET. Ni jambo la kawaida kwa mwananchuo kutakiwa...
  19. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kufifia kwa taasisi za serikali: Mfano TANROADS

    Taasisi nyingi za serikali zinapitia vipindi vigumu, ikiwa ni pamoja na changamoto mbili kuu: uhaba wa fedha katika kutekeleza majukumu yake na kuacha misingi ya kimuundo kwa taasisi hizo. Mfano wa wazi ni TANROADS. TANROADS (Tanzania National Roads Agency) ilianzishwa rasmi Julai 1, 2000...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gharama kubwa za kufanya maombi ya kazi kwa baadhi ya Taasisi za Serikali

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Baadhi ya taasisi za serikali kama TAA, TANROADS nk zimekuwa zikitoa mahanadi za kazi na kuwataka waombaji waombe kwa mfumo wa Posta tu, lakini pia hutakiwa kucertify vyeti. Gharama ni kama zifuatazo; 1. Photocopy ni zaidi ya elfu 2 mpaka 3 2. Kucertify vyeti...
Back
Top Bottom