Guinea: Serikali yavunjwa, mipaka yafungwa, intaneti yazimwa kwa muda

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1708419823800.png

GUINEA: Rais wa Mpito, Mamady Doumbouya, amevunja Serikali ya Kijeshi bila kueleza kwa undani sababu za hatua hiyo huku akifanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kuanzia nafasi ya Waziri Mkuu.

Taarifa zinaeleza kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Brigedia Jenerali Amara Camara amewataka Mawaziri wote waliopoteza nafasi zao wanatakiwa kurejesha Hati za Kusafiria pamoja na Magari ya Serikali huku Akaunti zao za Benki zikisitishwa kwa muda.

Utawala huo umeagiza Mipaka yote ya Nchi kufungwa na kuzimwa kwa muda kwa huduma za Intaneti hadi Serikali mpya itakapotangazwa. Imeelezwa kuwa viongozi wa ngazi za chini wa Wizara wataendelea kusimamia majukumu mengine

Nchi hiyo inatarajiwa kufanya Uchaguzi wake Mkuu mwishoni mwa mwaka 2024 ambapo Serikali ya Kijeshi chini ya Kanali Doumbouya iliahidi kuwa itarejesha utawala wa Kiraia .

============

Guinea's ruling junta on Monday decreed the dissolution of the government which has been in office since July 2022, according to a Facebook video published by the presidency.

General Amara Camara, a junta spokesman, gave no reason for the dissolution, nor a date for announcing a new government.

"The government is dissolved," Camara said, surrounded by around 20 uniformed soldiers, some of whom were wearing masks and carrying weapons.

"Current affairs will be managed by the cabinet directors, secretary generals and deputy secretary generals until a new government is put in place," he added.

Guinea has been led since September 2021 by a military junta that deposed the country's first democratically-elected president.

Under international pressure, junta-leader Colonel Mamady Doumbouya has promised to hand the reins of government back to elected civilians by the end of 2024.

The military has said the so-called transitional period would allow it to carry out far-reaching reforms in Guinea, which remains poor despite considerable natural resources.

But the opposition has accused it of authoritarian drift.

It banned all demonstrations in 2022 and has arrested a number of opposition leaders, civil society members and the press.

Internet access has been restricted for several weeks.

DAILY MONITOR
 
Back
Top Bottom