Serikali 'yazilegezea' Bureau De Change kupambana na uhaba wa Dola

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,821
Serikali kupitia BoT imelegeza taratibu za maduka ya kubadilishia fedha ili kupambana na uhaba wa fedha za kigeni.

Mkurugenzi wa utafiti wa Uchumi na sera wa BoT, Lusajo Mwankemwa amesema Taifa lina akiba ya kutosha ya dola lakini sehemu ya fedha hizo hazipo kwenye sekta rasmi hivyo kuwa ngumu kuzifikia zikihitajika.

Amesema hatua hiyo itasaidia kuzipata fedha hizo. Kwasasa Tanzania ina maduka 18 ya kubadilishia fedha yanayofanya kazi huku kukiwa na maombi mapya yanayofanyiwa kazi.

Rais wa awamu ya tano, John Magufuli aliwawekea ngumu maduka hayo akiyatuhumu kutumika kusafirisha fedha chafu ikiwemo zinazoibiwa Serikalini.
 
Hata sijaelewa hii kitu Tanzania Ina maduka 18 tu ya kubadilisha fedha serious au mimi ndiyo sielewi hayo maduka?
 
Serikali kupitia BoT imelegeza taratibu za maduka ya kubadilishia fedha ili kupambana na uhaba wa fedha za kigeni.

Mkurugenzi wa utafiti wa Uchumi na sera wa BoT, Lusajo Mwankemwa amesema Taifa lina akiba ya kutosha ya dola lakini sehemu ya fedha hizo hazipo kwenye sekta rasmi hivyo kuwa ngumu kuzifikia zikihitajika.

Amesema hatua hiyo itasaidia kuzipata fedha hizo. Kwasasa Tanzania ina maduka 18 ya kubadilishia fedha yanayofanya kazi huku kukiwa na maombi mapya yanayofanyiwa kazi.

Rais wa awamu ya tano, John Magufuli aliwawekea ngumu maduka hayo akiyatuhumu kutumika kusafirisha fedha chafu ikiwemo zinazoibiwa Serikalini.
Yule mhutu naye aliharibu sana uchumi wa nchi hii bora corona ilivyomfyekelea mbali.
 
Serikali kupitia BoT imelegeza taratibu za maduka ya kubadilishia fedha ili kupambana na uhaba wa fedha za kigeni.

Mkurugenzi wa utafiti wa Uchumi na sera wa BoT, Lusajo Mwankemwa amesema Taifa lina akiba ya kutosha ya dola lakini sehemu ya fedha hizo hazipo kwenye sekta rasmi hivyo kuwa ngumu kuzifikia zikihitajika.

Amesema hatua hiyo itasaidia kuzipata fedha hizo. Kwasasa Tanzania ina maduka 18 ya kubadilishia fedha yanayofanya kazi huku kukiwa na maombi mapya yanayofanyiwa kazi.

Rais awamu ya tano, John Magufuli aliwawekea ngumu maduka hayo akiyatuhumu kutumika kusafirisha fedha chafu ikiwemo zinazoibiwa Serikalini.
Mkuu unashindwa kuelewa kiini cha matatizo ya upungufu wa dola mitaani.
Usipolielewa tatizo ,kama wanasiasa wengi walivyo, basi utafikiri Bureu De Change ndio tatizo.

Niliwahi kueleza kuwa upungufu wa dola unatokana na serikali yenyewe kutoa zabuni makandarasi wa kigeni.
Sasa serikali inapowalipa wageni hawa wananunua dola kwa bei yoyote hadi kufikia dola moja kununuliwa kwa Tshs 2,800.

Mwananchi wa kawaida sasa anakosa huduma ya kuuziwa dola na Bureu DC.
 
Maduka 18 pekee kwa Tanzania nzima? Kuna watu wanatengeneza ugumu kupata leseni ili wafaidike na uhaba wa maduka ya kubadili forex.

Tukiweza kuondokana na ukiritimba uliotengenezwa na bwana yule hata tatizo la uhaba wa dollar tutaondikana nao.

Kuna syndicate ya watu wanahakikisha wanafanya monopoly ya hii biashara kwa makusudi kabisa ukiritimba mtupu hii nchi.
 
Waondoe pia sheria ya kubadili dola hadi na kitambulisho, wahindi wataziachia
 
Siku hizi JF inabidi uwe makini uwasilishaji wa mada utakuta kilichoongelewa na muhusika inaweza kuwa vitu viwili tofauti na kilichoandikwa.

Yaani BoT waweke orodha ya taasisi ambazo zenye vibali ya kubadilisha hela nchi nzima, halafu waje publicly kuongopa wakati ukienda kwenye website yao unapata list.

Sasa kuna mantiki gani ya JF-check lazy moderators.
 
maduka 18 tu si aibu hii au kina makonda wao ndio waliweka umiliki pekeyao! shuwaini
18 ni maduka makubwa ambayo yana matawi sehemu mbalimbali mfano kadoo beure change pekee yake ana maduka 20 sehemu mbalimbali lakini kiujumla tz ina maduka 75 ya kubadilisha dolari
 
Back
Top Bottom