mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wa Dar wako shapu kuliko wa mikoani

    Unaweza kukuta mfanyabiashara ana account nzuri mtandaoni, kama social media na google business lakini ukimtumia ujumbe kuulizia huduma au bei ya bidhaa, hakujibu. Mwingine anakujibu baada ya siku mbili na mwingine week ni mwendo wa blue tick. Majibu kujibiwa ni kama unatafuta hesabu za hiza utt...
  2. R

    JamiiForums Tanzania KERO KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Mahubiri na Matangazo ndani ya Mabasi ya Mikoani

    Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu. Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye mabasi ilazimisheni serikali iwauzie hisa kwenye vituo vikuu vya mabasi ya mikoani

    Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru. Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe sehemu ya wenye hivyo vituo kwa kuwa na hisa, mkiwa na hisa mnaweza kutengeneza mazingira mazuri ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaweza ishi mikoani au wilayani na akapata teuzi

    Baada ya kuona uteuzi wa kadogosa , nimejiuliza hivi huku wilayani na vijjijini Kuna shida gani,Tangu nimezaliwa Hadi nafika umri huu ,sijawahi kuona mbena,mkinga, mhehe nk anaishi jombe kateuliwa nafasi yoyote kubwa huko serikalin,what I know wapo watu wa asili ya huku mikoani lakini makazi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpya Wizara ya ujenzi nakudokeza tu kuwa Tanroad reshuffle hasa Watendaji mikoani.

    Nimefurahi kuwa Masanja Kadogosa umeteuliwa kuongoza wizara muhimu sana kwa nchi maana aliyepita alikuwa anazungukwa tu kwa kutokuwa na utalaam wowote kwenye hiyo sekta angalau wewe unauzoefu pengine hutazungukwa kiana. Sina mashaka na uzoefu wako kwa kuwa ulikuwa uchukuzi wizara inayofanana...
  8. 2018

    JamiiForums Tanzania Pata Mbwa aina ya German Sherpherd na Boerboel kwa bei nafuu dar na mikoani tunatuma

  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watoza ushuru wa mageti ya kuingia stendi ya mabasi ya mikoani agufuli rudisheni hizo chenji za sh 200 kwa wanaokata tiketi za kuingia stendi

    Habari zenu wakuu. Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal. Kiwango cha tozo kuingia stendi ya mabasi ya Magufuli ni sh 300 ila unapokwenda pale na kutoa sh 500 basi wahudumu wake...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Programu ya Loyalty ya Darling Hair sasa yahamia mikoani

    Baada ya kufanyika kwa mafanikio makubwa jijini Dar es Salaam, sherehe za maadimisho ya miaka miwili ya programu maalumu ya Darling Hair maarufu kama ‘Loyalty Program’ sasa zinahamia mikoani ili kuwafikia wasusi wengi zaidi. Tayari wasusi zaidi ya elfu sita wameshafikiwa kufuatia hafla...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madalali wasukuma wanaouza "Yaya" mikoani ni Jinai!

    Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi. Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa kwenda sekondari lakini mzazi wake anapatiwa kaujira kadogo huku mishahara ikielekezwa kwa madalali...
  13. Powder

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wamiliki wa ma bus ya mikoani

    Nimeshawahi kutembelea kwenye Nchi kadhaa hasa za Ki Africa, mnakata ticket online ama kwenye office za kukatia ticket ambapo Huwa zinakata Ticket ya Kampuni yoyote, ama kwenye office za Kampuni (Town). Abiria mtaambiwa m report kwenye office ya Kampuni ya Bus hisika muda flani, ukifika Muda...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika sehemu wanaoongoza kwa ku judge ni mikoani sio kwa Dar.

    Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani. Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi. Ndio maana asilimia kubwa ya watumishi wa mikoani wamechoka sana. Kwa wananchi wa mikoani hapo...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Banda la Kuku 10m by 20m, huku mikoani naweza kamilisha kwa bajeti gani?

    Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
  16. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hawa ndio kuku na mayai yao tunalisha familia zetu. Nawaonea wivu watu wa mikoani kuwa na access na kuku wa kienyeji kila kona na kwa ukaribu

  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu Huria Tanzania (Vituo vya mikoani): Malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi

    Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo. Kwa mfano, kuna vituo vyenye wafanyakazi watatu pekee lakini bado vina Afisa Rasilimali Watu (Human Resources Officer)...
  18. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

    Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika. Pia soma ~ Wamiliki wa mabasi wapewa wiki...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wa Mikoani, Mnakuja Dar kutuchunguza au kutupeleleza?

    Salaam, Yaani watu Mikoani wanajua maisha ya Dar ni sawa na walikotoka. Ndugu anakupigia simu Jumatano saa tano asubuhi. Anakuambia ukamuone kafikia Tegeta, hapo wewe unaishi Gongo la mboto na kazi unafanya Chanika. Usipoenda utalaumiwa mwaka mzima. Basi mumekutana, anaanza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida kwa 1NZ Premio F kubugia lita 1 kwa kilometa 9 kwa uendeshaji wa mjini 15 kph hadi 45 kph?

    Aina ya Gari Premio F Mwaka 2002 Engine 1NZ Mkoa : Tanga Mjini Speed: 15 hadi 40,
Back
Top Bottom