uhaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshobaa

    Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

    Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina...
  2. Yoda

    Baadhi ya wanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja haileti uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine?

    Hili suala la baadhi ya wanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja nafikiri ni tatizo kwenye jamii. Uwiano (ratio) wa wanaume kwa wanawake duniani ni wanaume 101 kwa wanawake 100 au takribani 1:1. Hii ina maana baadhi ya wanaume wakiwa na wapenzi au wake wawili au zaidi inaharibu mzani na...
  3. B

    KERO Tatizo la uhaba wa maji Dar

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Maji maeneo ya Kwa Msuguri, Dar. Ni zaidi ya wiki tatu Sasa maji hayatoki na bili zinaletwa. Watu tunanunua maji Kwa gharama kubwa. Au ni mbinu ya DAWASA ili watu wafanye biashara ya maji? Uhaba wa Maji huku ni zaidi ya Mwanza AWESO.
  4. A

    DOKEZO Kuna uhaba mkubwa wa Walimu wa somo la Literature katika Shule za Serikali

    Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu uhaba mkubwa wa walimu wa somo la Literature katika shule nyingi za serikali kwa ngazi ya kidato cha tano na sita. Serikali ilianzisha kombi mpya za masomo, ikiwemo HGLI na HKLI mwaka 2023, lakini hadi sasa hakuna ajira ya kutosha ya walimu wa somo la Literature...
  5. A

    KERO Uhaba wa Ventilator: Maisha Yapo Hatarini Hospitalini, hata katika hospitali kubwa ni changamoto

    Asante. Mimi binafsi sijui hii niite kero, kitendawili au hata dudumizi ndani ya sekta ya afya nchini. Ninaandika hili si kama hadithi ya kusikia, bali kama jambo nililolipitia mwenyewe. Naamini kama mtafanyia uchunguzi wa kina, linaweza kuwa makala inayoweza kusaidia kuokoa maisha ya...
  6. O

    Bei ya Nyanya Yapanda Kirinyaga Baada ya Mvua Kubwa Kusababisha Uhaba

    Wasee wa Kirinyaga County sai wako pressure juu bei ya nyanya imepanda mbaya sana after mvua kunyesha nonstop na kuharibu mashamba. Kwa mujibu wa ripoti, mvua hizo zimeharibu mazao na kushusha mavuno vibaya. Result? Nyanya ziko chache kwa market, na bei imeenda juu hadi imeanza kuwa luxury kwa...
  7. Uhuru24

    Uhaba wa mafuta unatokea wapi?

    Nimepitia kwenye account moja ya instagram [WORLD DATA RANKING] naona hapa nchi 50 duniani ambazo huzalisha mafuta kwa wingi,ndipo nikaja kujiuliza huu uhaba wa mafuta unatoka wapi? Yaan kwa nchi hizi 50 duniani ambazo ndio zinaongoza kwa uzalishaji wa mafuta sidhani kama tungefikia hatua hii...
  8. M

    Madiwani Tunduru wapinga mpango wa Rais Samia kubana matumizi hasa kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa. Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo. Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
  9. A

    KERO Wilaya ya Tunduru - Ruvuma tuna uhaba wa Watumishi wa Afya, tuliopo tunaelemewa na kazi

    Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
  10. L

    UN Yakabiliwa Na Uhaba wa Fedha

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Someni Hapa ili mpate kujua Maana ya kujitegemea kiuchumi kama Nchi Kama Afanyavyo Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambaye amekuwa akitutaka Watanzania kulijenga Taifa letu kwa Mikono yetu wenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
  11. Ntele Bhn

    Uhaba wa maji Dar: Tatizo sio maji, tatizo ni Uongozi

    Dar es Salaam, jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa Tanzania, limeendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu Jana nimemsikia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mto ruvu anadai tatizo la maji ni tatizo la kidunia.Pia Waziri wa Maji kwa Nyakati tofautitofauti...
  12. Traxtion

    Tanzania tunapaswa kufanya hivi ili kupunguza umasikini, uhaba wa ajira na kukuza lugha ya Kiswahili

    Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho I. Suala la Uhaba wa Ajira II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili I. UHABA WA AJIRA Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
  13. L

    Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  14. DuaZaMama

    Latvia yakabiliwa na uhaba wa wananume, Wanawake Wazidi Wanaume zaidi ya 80,000

    Latvia inakabiliwa na tatizo la kipekee la idadi ya watu, ambapo wanawake wanazidi wanaume kwa zaidi ya 80,000. Hali hii imetokana na uhamaji mkubwa wa wanaume, tofauti za kiafya ambazo zinafanya wanaume kuishi maisha mafupi kuliko wanawake, na mabadiliko ya idadi ya watu baada ya kuanguka kwa...
  15. M

    KERO Guys, hii ni vita ya uchumi, maadui zetu wamesababisha uhaba wa maji Dar. Who are you? They think they are still our masters?

    Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika. Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
  16. BigTall

    KERO Janga la uhaba wa maji ni kubwa kwa wakazi wa MailiMoja – Kibaha (Pwani), shida ni kubwa mno

    Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga. Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa siku chache takribani tatu hadi nne kutokana na maboresho ya mitambo yam aji, lakini ilipita wiki...
  17. X

    Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

    Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism. Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha. Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema...
  18. A

    KERO Uhaba wa Paspoti unaondelea nchini ni matokeo ya kulinda viongozi wazembe

    Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa vitabu vya paspoti katika Idara ya Uhamiaji, taarifa za ndani wanadai wanatoa si zaidi ya paspoti...
  19. Roving Journalist

    Haji Juma Omar: Mishahara Midogo kwa Walimu inachangia wengi wao kuishi kwa madeni

    Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu. Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
  20. Roving Journalist

    Chama cha Walimu Zanzibar: Tuna uhaba wa Walimu wa Sayansi, wanaohitimu wanakwenda wapi?

    Chama cha Walimu Zanzibar kimehoji Wanafunzi wanaohitimu na kufaulu masomo ya Sanyansi katika Skuli za Unguja na Pemba wako wapi baada ya kumaliza kusoma kwani bado kuna changamoto ya uhaba wa Walimu katika masomo hayo. Hoja hiyo imeulizwa mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...
Back
Top Bottom