Zimebaki siku 18 mgawo wa umeme iwe historia! Ndivyo unaweza kusema baada ya kauli ya matumaini ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko kuwa ifikapo katikati ya Machi 2024 hakutakuwa na kadhia hiyo tena nchini.
Dk Biteko amebainisha hayo leo Februari 25, 2024 alipotembelea...
Tamko la LHRC kuhusu hali ya Mgomo wa Umeme nchini la February 19, 2024 limeainisha hoja zifuatazo
Hoja 5 za LHRC kuhusu Mgawo wa Umeme Nchini
1. Serikali imekuwa inatoa ahadi hewa kuwa tatizo la Umeme litaisha toka kipindi cha Mradi wa gesi 2012 hadi leo 2024
2. Kukatika kwa Umeme...
"Mahitaji ya umeme nchini ni kati ya megawati 300 mpaka 400, mfano leo asubuhi tulikuwa na mahitaji ya megawati 304 ukiingiza megawati 235 (Kutoka kwenye mtambo wa bwawa la Mwalimu Nyerere) utaona kwa kiasi gani itapunguza uhaba wa umeme, zaidi ya asilimia 80 ya tatizo litapunguzwa kwa kuwasha...
Kiukweli wanaichi tumechoka mbona magufuri aliweza kumaliza tatizo hili na mvua zilikuwa za mapicha picha ila mgao haukuwepo
Wadau karibuni kwa mawazo tuanzie wapi tuishie wapi
MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM.
1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme?
2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans...
Kukatika kwa Umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali Nchini kumeripotiwa kusababisha athari tofauti ikiwemo hasara kwa Wafanyabishara wanaotegemea Nishati hiyo ili kuendesha shughuli zao.
JamiiForums kwa kutambua hilo, itaendesha Mjadala kupitia XSpaces, utaogusia Kero zinazotokana na...
Kama ulikuwa unafikiria kwamba baada ya umeme wa bwawa na Nyerere kuanza kupatikana basi matatizo ya mgawo wa umeme yatakuwa yamekwisha, basi sasa ni wakati wa kubadili mawazo yako.
Tanesco wanasema kwamba, mgawo wa umeme Tanzania kimsingi hautokani na ukosefu wa umeme wa kutosha, bali ni kwa...
Desemba 24, 2010: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alitangaza kuanza kwa Mgawo Mkali wa Siku 30 nchi nzima na kuahidi utaisha Januari 2011
Machi 2011: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alisema Mgawo utaisha mwaka 2013
Juni 2014: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
Siku ya jana, serikali bungeni iliamua kuweka msisitizo wa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwaka jana wa mgawo wa umeme kwisha kabisa kabisa mwezi machi, 2024. Naibu wa waziri wa Nishati aliweka bayana kuwa mpaka kufikia mwezi machi, 2024 hakutakuwa na mgawo wa umeme tena!
Sasa maajabu yakaibuka...
Rais Samia alituambia kwa uhakika kuwa hadi Mwezi ujao Machi Mgawo hautokuwepo tena na TANESCO nao wakasema hadi Mwezi huu wa Februari kutakuwa hakuna tena Mgawo wa Umeme na hatimaye jana nimesikia ( labda niwe nimesikia vibaya ) kuwa sasa Mgawo wa Umeme tutaenda nao na utaisha Mwezi June...
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha.
"Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni, kuna eneo lenyewe lina umeme kila siku mchana wanakatiwa jioni, hawa kila siku jioni wanakuwa...
The blackouts, commonly referred to as load-shedding, are a critical measure aimed at preventing a complete collapse of the strained electricity grid.
Eskom, the state-owned power utility, has announced the implementation of load-shedding from 5 am to 4 pm on Tuesday, exacerbating the...
Nisikuchoshe
Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki?
Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati?
Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni...
WAKAZI wa Jiji la Mwanza, wamepaza sauti zao, hususan wafanyabiashara wa hoteli na sehemu za kutoa huduma za afya, kwa kulitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kutoa ratiba ya mgawo wa umeme inayoeleweka.
Pia wamesema biashara zinahitaji kutumia gharama kubwa katika uendeshaji, kutokana na...
Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.