wastaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Ni wale wanaopata pension zao kupitia msajili wa Hazina. Mpaka leo tarehe 2 bado hawajapata pension zao na wanateseka kweli.
  2. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania SIO UTU KUDHULUMU WASTAAFU

    God forbid. Imagine mtu kafanya kazi miaka kibao kwa jasho na damu na kuwa na malengo kadha wa kadha ya kuboresha maisha yake zaidi mara baada ya kustaafu. Kwa kujenga nyumba ya ndoto yake au kufungua biashara au vyovyote vile si pesa yake bwana, wewe unatumia ulaghai na project za kimchongo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

    Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake. Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

    Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo. Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja katika kutembea tembea mtaani kwangu kusalimiana na majirani. Nikafika gengeni kwake. Nikaagiza...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana na masuala ya siasa. Jenerali Mkunda alitoa wito huo wakati wa gwaride la kuwaaga majenerali 17...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wastaafu Rorya Wanamizwa na Mikopo Umiza ya Mtu Anayeitwa 'Adriano', Serikali Ingilieni Kati!

    Kuna unyanyasaji mkubwa na wa kutisha unaoendelea katika Wilaya ya Rorya dhidi ya wazee wetu wastaafu, hususan walimu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu. Kuna mtu mmoja anaitwa Adriano, amekuwa akitumia mwanya wa kutoa mikopo isiyo rasmi (mikopo umiza) ili kupora mafao ya wastaafu kwa nguvu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya miezi ya “Unremitted” katika michango ya PSSF inatusumbua Wanachama

    Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi kadhaa ambayo michango yake haionekani. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba ukienda PSSF unaelekezwa...
  8. X factor

    JamiiForums Tanzania NIC Lipeni mafao ya watumishi wastaafu Kwa wakati

    Kisheria,sera na taratibu Iko wazi pale mtumishi anapostaafu anapaswa kupewa stahiki zake zote kama vile michango ya bima ya ustaafu (pensave scheme) kwaajili ya kusaidia maisha baadae ya kustaafu kazi. Sasa hawa NIC wamekuwa ni kikwazo sana katika hilo,unakuta mtumishi kastaafu zake na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania 'Viongozi wastaafu fikirini kama Plato'

    Na. Mwandishi Maalum Siasa chafu, za chuki na fitina zimetakiwa kusitishwa Afrika ili bara hilo liweze kupiga hatua za kimaendeleo. Siasa hizo zinazoripotiwa miongoni mwa wanasiasa vijana na wakongwe kwenye majukwaa na vyombo vya habari, wanaharakati mitandaoni na baadhi ya viongozi wa dini...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Moja ya kitu nimefurahia awamu hii ni Mama kuwakumbuka wastaafu

    Kiwango cha chini cha Pensheni kimeongezeka kutoka Tsh 100,000 hadi Tsh 250,000 kwa mwezi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi awataka wastaafu Uhamiaji kujiepusha na anasa, watoto wa mwaka 2000

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa wastaafu wa Idara ya Uhamiaji kujiepusha na anasa pindi watakapopata mafao yao, bali wajikite kufanya shughuli za uzalishaji ili kuondoa upweke. Pia amewataka wastaafu hao kulinda afya zao, kumrudia Mungu na kuwa waaminifu katika ndoa...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Ally Happi akiwabagaza Wastaafu

    Guys guys Aliyesema mwogope Mungu na Technology alikuwa ana maana kubwa sana. Vijana wa CCM wakipata vyeo huwa wanajisahau sana. Msikilizeni huyu naye.
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kitima akitambulisha viongozi wa sasa na wastaafu msiba wa Pengo

    Wakuu, Kitima ametambulisha viongozi wa sasa serikalini pamoja na wastaafu, shangwe la majaliwa sio la nchi hii
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa. Onyo hilo limetolewa...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Ulega: Spika alishaagiza Wabunge wote kutokuwachokonoa viongozi Wastaafu

    Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni Julai 3, 2027, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu maelekezo ya Spika wa Bungeni.
  18. R

    JamiiForums Tanzania PSSSF tafuteni njia ya kuweza kuhakiki kitumia simu za wateja weni ( wastaafu)

    Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone. Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki Lifikirie hilo
  19. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha "mkono wa kwaheri": Kilio cha Wastaafu 600 wa Shirika la Reli (TRC)

    Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno. Hoja za...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
Back
Top Bottom