umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Umaskini na Dhana ya Kujitegemea

    Leo ngoja niwape madini ya kwa nini familia nyingi zinabaki masikini, tunajikwamua lakini bado tunarudi pale pale, unakuta Baba kapambana kapata vimali, lakini badae miaka mbeleni unakuta bado familia ina struggle pale pale kwenye umasikini. Dhana kubwa hipo katika hoja ya "Ukajitegeme" au "...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Acheni kupakazia watu umaskini wenu

    Nimeona watu wananipakazia ujinga wa kuomba omba hela jukwaani, Nilisha sema kuwa nitaendelea kuwa mwiba Mchungu kwa wadada omba omba na mapunga ya humu. Pakazieni mpaka mchoke, ila mwiba uko pale pale
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Njia za Uhakika za Kujihakikishia Umaskini

    Mwekezaji nguli Charlie Munger aliwahi kusema: "Nieleze tu mahali nitakapofia, ili nisikanyage hapo kabisa maisha yangu yote." Kama unataka hakikisho la 100% la kubaki kwenye umaskini bila kujali unalipwa mshahara mkubwa kiasi gani au unaishi nchi gani, fuata mfumo huu wa maamuzi ya kila siku...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha umasikini kwa vijana wengi si wanawake ni kamari( betting)

    Habari zenu Wakubwa? Moja kwa moja kwenye uzi, Rafiki yangu ametuliza akili na kupiga hesabu ya hela aliyoliwa kwenye KAMARI (aviator na sports) kwa miezi mitatu ni zaidi ya milioni 3 ambayo ni bei ya pikipiki. Ila yeye ukiangalia maisha yake hana hata baiskeli, daah inauma. Ebu fikiria hapa ni...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hali ya makato huduma za Miamala ya simu zinatisha, zinatutia umaskini, serikali iliangalie hili.

    M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha. Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa urahisi lakini kikwazo ni ukubwa wa kulipia huduma hizi ni tatizo. Ukipokea sh 10000 kwa mfano, ni...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Umaskini ni Kukosa Akili. Badilisha Mtazamo!

    Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities? Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm.. Yaani...
  7. min -me

    JamiiForums Tanzania Dalili kubwa za umaskini ni kushindwa kukopesheka

    Unatamba wewe ni tajiri na huna mtu au kampuni , au hata Bank hauna uwezo wa kukopa milioni 100 tu , ebu acha kuvimba jitafakari sana nyumbu wewe.
  8. Foffana

    JamiiForums Tanzania John Heche:Je Betting itaondoa umaskini kwa vijana?

    Betting itaondoa umasikini kwa vijana? Kilimo hakuna watu, Betting ina watu!!!!
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

    Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
  10. min -me

    JamiiForums Tanzania Nani anasema pombe ina maliza pesa na kuleta umaskini?

    Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔 Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka. Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu...
  11. hancy Abdon

    JamiiForums Tanzania Love is a drug abuse

    SEHEMU YA KWANZA AGE.............................18+ THE STORY MASTER AUTHOR...................... Hancy A abdons "Kuna mwanafunzi mgeni!". Nikazungumza na kumtizama mtu aliyeniletea hiyo taarifa alikuwa ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza. "Ndiyo mkuu". akazungumza kwa uwoga baada ya...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba Africa imeshakua na madikteta wengi na wameshindwa ondoa umaskini kwenye nchi zao

    Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
  13. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mizizi ya Umaskini na Mitazamo Duni

    Jmoss tulivu imewadia, nimepoa kwa shem hapa... Ila Kuna issue nataka tuongee wanabodi. Kwanza kabisa jana Nimetoa bandiko lenye ukakasi kuhusu watu wasio na ndinga(wanao panda daladala) . Ila niseme ukweli kulikuwa na Misconception kubwa, Hakika sikutaka kudhihaki wasio na magari, nilitaka tu...
  14. maslulkat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

    Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana. Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kuupiga vita umaskini?

    Katika hili taifa letu kitu ambacho tunapaswa kupambana nacho Kwa nguvu basi ni umaskini wa kutosha ulipo Tanzania ukizunguka maeneo mbalimbali nchini utakuta watu wanaishi katika mazingira duni na yenye kuogofya sana Kuna baadhi ya maeneo watu hushindwa hata kununua nguo. Tukiachana na takwimu...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wachaga zindukeni, VICOBA vya kuzikana ni Umaskini!

    Imeibuka tabia, wanafunzi waliosoma pamoja "alumni", watu walioishi mtaa mmoja, Ukoo mmoja na kabila, Parokia au jumuia moja, kuanzisha vikundi vya Watsup na baadae kujisajili kuwa Rasmi. Vikundi hivi huwa lazma kuwe na kisebengo ambaye ata-anzisha M-Koba na kutaka watu wachangieni iwapo...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mzee Furahael Tenga; Aliyekuzidi Akili huwezi mshinda kwa ujinga wako. Aliyekuzidi utajiri huwezi mshinda kwa umaskini wako

    MZEE FURAHAEL TENGA; ALIYEKUZIDI AKILI HUWEZI MSHINDA KWA UJINGA WAKO. ALIYEKUZIDI UTAJIRI HUWEZI MSHINDA KWA UMASKINI WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya kitu ambacho watu wajinga na wenye upeo Mdogo wanashindwa kukielewa ni pamoja na hii dhana. Dhana hizi zinanikumbusha Mzee...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni umaskini lakini jamani tuwe na Ubinadamu

    Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika. Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo...
Back
Top Bottom