ombi

Kom Ombo (Arabic: كوم أمبو‎, Coptic: Ⲉⲙⲃⲱ Embo, Ancient Greek: Ὄμβοι Omboi, Ptol. iv. 5. § 73; Steph. B. s. v.; It. Anton. p. 165) or Ombos (Juv. xv. 35) or Latin: Ambo (Not. Imp. sect. 20) and Ombi – is an agricultural town in Egypt famous for the Temple of Kom Ombo. It was originally an Egyptian city called Nubt, meaning City of Gold (not to be confused with the city north of Naqada that was also called Nubt/Ombos). Nubt is also known as Nubet or Nubyt (Nbyt). It became a Greek settlement during the Greco-Roman Period. The town's location on the Nile, 50 kilometres (31 mi) north of Aswan (Syene), gave it some control over trade routes from Nubia to the Nile Valley, but its main rise to prominence came with the erection of the Temple of Kom Ombo in the 2nd century BC.

View More On Wikipedia.org
  1. The Ghost Scripter

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa nyakati ngumu

    Zungumza na Mungu usiku wa leo mwambie "Mungu nimekuletea kilakitu kilicho ndani ya moyo wangu, wewe unayatambua mawazo yangu, hofu na tumaini langu, lakini nahitaji niyakabidhi kwako. Uzito wa hofu niliyonayo Kuna wakati unanielemea, na ninaomba uniongoze katika wakati ambao siioni njia...
  2. N

    JamiiForums Tanzania OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barua ya VP ni Taarifa ya Uamuzi wa Kujiuzulu Sio Ombi!. Taarifa ya Ikulu ni Ombi Limekubaliwa!. Ilipaswa Iwe Rais Amepokea Taarifa Ameridhia!

    Wanabodi Tangu jana nilipoiona ile Barua ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini. Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu anayepanga nani...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu ahoji kuhusu utekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya Namiungo wilayani Tunduru

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amehoji hatua zinazochukuliwa na Serikali kutekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya Namiungo wilayani Tunduru, akisema ahadi hiyo ilitolewa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Ado amesema Kata ya...
  5. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Uongozi/Tech Team: Rudisheni au Wekeni Hiari ya Kutumia App ya Zamani (Legacy API

    Habari zenu Wana Jukwaa na Uongozi wa JamiiForums, Tech Team Mimi ni mmoja wa wadau na watumiaji wa muda mrefu wa jukwaa hili. Lengo la kuleta uzi huu ni kutoa ombi rasmi na rejesho (feedback) kuhusu mabadiliko ya hivi karibuni kwenye mfumo wa App ya JamiiForums. Kwa siku chache zilizopita...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wamarekani Wanamuandaa Na Kumtaka Michelle Obama Kuwania Urais 2028. Japo Yeye Anakataa Kuridhia Ombi Hilo La Wamarekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Democratic Baada ya Kupoteza katika Uchaguzi Uliopita kumeibuka tetesi na minong'ono mingi sana ya chama cha Democratic Kumuadaa Michelle Obama Mke wa Barack Hussein Obama Rais wa 44 wa Marekani Tangia kupata uhuru wa Taifa hilo Mwaka 1776 . Uamuzi unaoonekana...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwa Heshima Kubwa, Dr. Leakey Tuna Ombi Moja Tu: Anzisha Podcast Yako

    Leo nilipita mitandaoni nikakutana na comment ya mtu mmoja, nadhani ni watoto walioanza kufatilia mpira juzi. Alikuwa anauliza, "Huyu Mzee Leakey ni nani?" Hakuwa anamfahamu. Kilichonivutia si swali lake, bali sababu iliyomfanya atake kumjua. Alisema amevutiwa na uwezo wa Dr. Leakey kuuchambua...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imesikiliza maoni ya wananchi inapoikubalia Kampuni ya MOFAT ombi LATRA kuziondoa Daladala Mbagala?

    Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la kuomba msaada wa huduma ya maji mtaani terrynite street, Segerea Magereza

    OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji. Tatizo: Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) Dr. Mwigulu Nchemba. Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua nafasi hii adhimu kukupa pole, katika kutekeleza majukumu yako ya kila siku, kulitumikia taifa letu la Tanzania, ili liweze kupiga hatua kubwa katika maendeleo yanayo...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Mwachieni Lissu haraka, sio ombi ni sauti ya Mungu alie juu kupitia kwangu

    Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo Rejea mada tajwa hapo juu Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi. Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu. Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mwanza, huku Nyamhongolo Stand, Ilemela tuna tatizo la umeme mdogo (low voltage)

    Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza. Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea kupata hasara kubwa kutokana na umeme kuwa mdogo muda mwingi. Mashine za kazi haziwezi kufanya kazi...
  14. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ombi Maalumu kwa Uongozi wa Jf

    Neno Acha Ujinga limekuwa maarufu sana jf,na limetumika kuanzia zamani sana,juzi nilitembelea uzi wa Makapuku nikakuta toka 2016 hili neno linatumika sana Kwahiyo neno hili lipewe imoji ili iwe rahisi kuwatupia watu ambao huleta ujinga humu ndani. Ni hayo tu!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tumewasilisha ombi Content Creators walipwe zaidi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania imewasilisha ombi UNESCO la kutambua Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii ili vijana wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili walipwe vizuri. "Kupitia Balozi wetu wa Tanzania aliyeko Ufaransa, tumeshawasilisha...
  16. hp4510

    JamiiForums Tanzania Ombi: serikali tafuteni mtu wa kumuuzia TTCL

    Natoa ombi kwa serikali, kutafuta mtu awe mzawa au mgeni wamuuzie kampuni ya ttcl Sasa hivi wameanzisha huduma ya fible, leo ni siku ya pili no internet, hizo siku zingine ni internet ya kuvizia, Ukiona asubuh kuna internet basi usiku hakuna, internet inakuwa ya mgao kama maji kama umeme no...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Walioishtaki CHADEMA waweka pingamizi kupinga ombi la Lissu kuingizwa kwenye kesi

    Said Issa Mohamed aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, pamoja na wenzake wawili, wamewasilisha mapingamizi wakipinga ombi la Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu la kuingizwa kama mdaiwa katika kesi ya mgawanyo wa mali waliyoifungua katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote

    Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote. Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini na watu kuwajibika, basi AFCON 2027 inaweza kuwa bonge la failure badala ya fahari

    Suala la kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda ulitangazwa kama ushindi wa kihistoria kwa Afrika Mashariki. Lakini kadri siku zinavyosonga, ndivyo uhalisia unavyozidi kuwa mchungu. Ila nimeshangazwa sana na taarifa na habari za Tanzania kuomba msaada wa taifa la China mwaka...
Back
Top Bottom