Imekuwa changamoto kubwa kwa wazalishaji wa mbegu wa ndani na wakulima wa Tanzania.
Inawezekanaje jukumu la msingi la taasisi husika kutotekelezwa ipasavyo?
Wazalishaji wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kupata mbegu za vizazi kutoka mamlaka husika kwa ajili ya kuzalisha mbegu za...
Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club.
Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina.
Usicheze na kitu kinaitwa...
Habari Tanzania !.
Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani.
Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo;
1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri;
(a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu.
Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
huduma
kupata
majukumu
ofisini
shinyanga
wilaya
Salamu Wakuu wa JamiiForums,
Sisi ni wauguzi wenye degree (Shahada ya kwanza) nchini Tanzania tunalalamikia hali yetu. Tunaandika ujumbe huu kwa sauti kubwa kwa sababu ukimya wetu unachukuliwa kuwa ni kukubali.
1. MSHAHARA HAULINGANI NA KIWANGO CHA ELIMU NA KAZI
Tunasoma miaka 4 ya degree kama...
Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Bw. Kheri Mahimbali, amewataka watumishi wa taasisi hiyo kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na kutenda mema katika utumishi wa umma, huku akisisitiza kuwa kutenda wema ni msingi wa kujenga mazingira bora ya kazi na kulipwa wema katika maisha na utumishi kwa ujumla...
Hebu vuta picha unazaa watoto, unahangaika kumlisha, kumvisha, kumsomesha kwa takribani miaka 25 halafu mwisho wa siku mtoto huyo akishakuwa mkubwa anaondoka hapo kwako kwenda kuanzisha familia yake na kurudia mzunguko uleule.
Kuzaa>>>kulea>>> kusomesha>> watoto kuoa/kuolewa>> kuzaana tena...
KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo.
2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
Sex ni kuburudisho kikubwa kwa mwanaume lakini ni tendo lenye majukumu mengi sana.
Unapokuwa na girlfriend umeshajiingiza kwenye mtego wa kumhudumia, utalalamika vizinga lakini unajua fika hilo ni jukumu lako tayari. Haya yote kwa kiasi kikubwa huwa tunayaanza kwa sex.
Unapompa mimba...
Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya
Moja kwa moja kwenye hoja
Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ?
Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro.
Soma Pia: Polisi Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel...
Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja:
1. Kulinda...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Majukumu hayo na mengine ndiyo yanayotarajiwa kutekelezwa na Dkt. Mwigulu Nchemba aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg
Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa.
Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.
Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku.
Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.