mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania Unaridhika na Mwenza uliyenaye au unavumilia tu?

    Wakati mwingine tunajidanganya kwa jina la 'uvumilivu' wakati ndani ya moyo tumechoka. Kuridhika ni amani. Ni kula na kucheka na mtu kutoka moyoni na kulala bila mawazo. ..........Lakini kuvumilia... ni kuishi kwa matumaini ya kwamba 'siku moja atabadilika'. Tusidanganyane. Sio kila uhusiano...
  2. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Andika maneno matamu kwa mwenza wako

    Shikamoni wote humu maana mi ndo last born wenu humu. Huu uzi alitakiwa auandike Binti wa zamani ila acha nijilipue; "My racing white darling uzuri wako hauelezeki. Tangu umekuja kwenye maisha yangu unafanya kila siku inakuwa mpya. Kwa mahaba haya unayonipa unanifanya nijisikie nipo kwenye...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji mwenza wa Chuo cha Kati

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT. Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:- Ninatafuta Mwekezaji wa Kufanya nae Biashara ya kuendesha Chuo cha Kati. Nina Kampuni ambayo...
  4. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza Wa kuoa hapa Tanzania.

    Mimi ni mzee kijana wa miaka 41.Natafuta mwanamke wa kuja kuoa awe na miaka 30 mpaka 39.Dini yoyote. mengine yote ni sawa.Naishi Mkoa wa Arusha vijijini. Home town ni Kilimanjaro. Namba zangu 0679383475
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuzitambua hisia za mwenza wako

    Katika safari ya mapenzi ya dhati, kujifunze kuzitambua changamoto, huzuni, furaha, maumivu, na mateso ya mwenza wako bila kukimbilia kumhukumu ni mtihani mkubwa unaovuka mipaka ya kibinadamu na kuingia katika uwanja wa vita kali ya kiroho. Unapochagua kumpenda mtu, huunganishi mwili tu, bali...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unaishije na mwenza mwenye tabia ngumu?

    Hello wakuuu Tupeane mbinu mnaishije na mwenza au mpenzi mwenye tabia ngumu ambapo unakuta io tabia inakukera au zinakukera sana na umejaribu kuongea nae mara kwa mara lakini haachi,,,na unakuta unampenda ila hiyo tabia ndo inakukwaza sana
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukim-beep mwenza wako, atachukua muda gani kabla ya kukupigia?

    Credit ya Video: Jimbo Media
  8. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

    Je ulitokea mtu uliemuaamini ukatumiwa au kugundua "mafile" yake yasiyopendeza machoni utachukua hatua gani? Kwa zama hizi za technology ambazo hawasimulii tu Kwa kinywa Bali Kuna ushahidi wa picha,videos nk Au response itategemea na ukubwa wa file na uzito wake?😊 Na ikiwa tayari ushaingia nae...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Viashiria vya Mwenza ambaye anajiondoa kwako taratibu kihisia

    Wakuu, Msemo wa akufukuzaye hakuambii toka, wahenga hawakupindisha kabisha inatakiwa ujiongeze Ukali kwa jambo dogo Anajibu lakini haanzi mazungumzo Anasema yuko busiy mara nyingi kuliko kusema 'nakumiss' Mazungumzo yanakuwa mafupi Kimya kinakuwa kirefu na cha kawaida Unaanza ku-overthink...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu? Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dada, Kaka siyo kila kitu cha kwenye familia yako ni cha kumueleza mwenza

    Ni kweli ni mpenzi wako, lakini siyo kila kitu cha kwenye familia yako au ukoo wako anapaswa kujua vingine vibaki siri ya ukoo wako ili kuilinda heshima yako kwa huyo mwenza wako. Punguza kusema kila kitu kuhusu Wazazi, ndugu zako kwa huyo mwenza wako maana kama hana hekima kuna siku atavitumia...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Huyo mwenza wako wa maisha anasemaje kuhusu vita vya US-Israel-Iran na siasa za kimataifa kwa ujumla?

    Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
  14. sam green

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuambukizwa UKIMWI na mwenza wangu

    Habari Ma doctor Wa JF Stori ni ndefu nifupishe kiasi Nimekutana na mweza wangu, siku 5 nyuma, nilivyo maliza siku inayo fata niliamka, nahis muwasho kwenye kichwa cha uume, nikajiosha tu siku inayofata ikajirudia nikaenda faragha kujitazama kwa uamkin nikakuta kichwa cha uume kimezungukwa na...
  15. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania KM OWM - TAMISEMI: Kuna shida gani kuruhusu uhamisho wa kufuata Mwenza?

    Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi. 1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama yuko mbali na Mwenza tena kwa kazi yenye mshahara tu bila marupurupu. 2. Kuna kisingizio cha msawazo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya isiweke masharti ya mgombea mwenza

    Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani. Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria. Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Neema Peter Thomas, ambaye ni Mmiliki mwenza wa mabasi ya Esther ni nani?

    Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani. Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali. Halafu kumbe mmiliki wa haya...
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya mgombea mwenza wa Urais CCM, Mbogwe

    MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya...
  19. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza kutoka JF awe na pigo kama hizi za kiswahili swahili👇🏻

    💃🏻MDADA AWE: ♥️ Awe 18 - 40 ♥️Sijali kazi, hata kama akiwa mvivu haina shida nachotaka awe na degree ya mahaba ♥️Alifundwa usichanani ♥️Awe flexible katika tendo yani hadi kuruka kichura aweze ♥️Awe mtu wa mitego ya kihisia hata wakati akiniletea chakula awe na kanga moko ♥️Awe mtu wa kazi yani...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
Back
Top Bottom