umma

 1. Sandali Ali

  Watumishi wa umma tulifurahii tuliposikia Magufuli ametangulia mbele za haki.

  Za asubuhi wakulungwa! Naweza kuonekana mtu wa ajabu ila ni jambo la kawaida tu. Naomba nieleweke kuwa haina maana kwamba tulikuwa tukimuombea mabaya Rais wetu Magufuli aliyetufundisha uwajibikaji kwa vitendo . Ile hali ya kupokea mshahara mmoja kwa miaka 5 ya Magufuli na kukosa madaraja mapya...
 2. denooJ

  Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

  Ifuatayo ni taarifa yao rasmi.
 3. Elli Mshana

  Polisi waogopa nguvu ya Umma, waruhusu Mkutano wa ndani wa CHADEMA

  Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike. Fedheha nyingine Polisi mnazitaka wenyewe, sasa mmebadilisha kile mlichokua mnakiamini. Mkajua mko awamu ya kusifiwa na...
 4. Kamanda Asiyechoka

  Tukimuondoa Mbowe na chama chetu kurudi mikononi kwa umma, mwaka 2025 tunachukua dola

  Makamanda siku chama chetu kikirudi mikononi mwa wananchi wapenda haki na maendeleo basi mwaka 2025 tunakamata dola. Ccm ni chama dhaifu na wakora na kwa sababu hiyo kwa huu utawala wa huyu mama wataharibu sana na kupoteza imani kwa wanachi. Maana watafanya ufisadi wa kufa mtu. Hivyo ili...
 5. T

  Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam Tunakuletea updates hapa Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika...
 6. J

  Misingi mikuu ya maadili ya viongozi wa umma

  MISINGI MIKUU YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA i) Kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na kujali; ii) Kujizuia na tamaa na kujiheshimu; iii) Kujituma na kutekeleza majukumu kwa umahiri kufuatana na misingi ya kitaaluma; iv) Kufanya kazi bila upendeleo; v) Kutoa Tamko la Rasilimali na Madeni; vi)...
 7. Kurzweil

  Dhana ya “Maadili kwa viongozi wa Umma”

  Ni misingi, kanuni na taratibu zinazoainisha tabia na mienendo inayokubalika na isiyokubalika kwa Viongozi wa Umma na jamii nzima kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi, uwajibikaji na uwazi Hutumika kuongoza mahusiano kati ya Viongozi na Watumishi wa Umma, Bodi za Kitaaluma, Vyombo vya...
 8. Chachu Ombara

  Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

  Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama. Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
 9. GwaB

  Mali inakuwa ya umma pale umma unapomiliki hisa

  Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukihamasishwa kulinda mali zinazoitwa za umma na kutahadhalishwa kuwa atakaechezea mali ya umma atawajibishwa. Imekuwa hivyo kwa miongo kadhaa na imezoeleka hivyo pamoja na kwamba ni ulaghai tu. Kwenye mjadala huu pamoja na upana wake ningependa kuwaalika wadau...
 10. S

  Mei Mosi ya mwakani tukiwa na Rais mwingine na akaja na sababu zake za kutoongeza mshahara,watumishi wa umma watapaswa kusubiri tena?

  Kwakuwa hakuna aijuae kesho kwa maana leo unaweza kuwa mzima na kesho ukatangulia mbele za haki au kupata ulemavu wa Kudumu, n.k, ni sahihi kuishi kwa kutegemea matakwa au fadhila za binadamu mwenzako hasa kwa mambo sensitive ya ktaifa kama hili la haki na masilahi ya watumishi wa umma? Swala...
 11. Sandali Ali

  Jambo hili kinaweza kutokea Tanzania tu dunia mzima: Unatenga fedha kwaajili ya sherehe kisha siku ikifika unawatangazia umma fedha zinakwenda kwenye

  Huu ndio ukweli mchungu, ni kwamba aidha viongozi wetu(watawala) wanatuona sisi wananchi hatuna upeo wa kufikiri au viongozi wetu wana upeo mdogo wa kufikiri. Wao ndio hupitisha bajeti za sherehe hizo kisha baadaye haohao hutengua bajeti na kuzipeleka fedha kwenye miradi ya maendeleo. Hii...
 12. B

  Mhe. Rais na Mhe Makamu wa Rais mnalinda matumizi mabaya ya Mali ya umma?

  Kama wabunge wasio na sifa wataendelea kulipwa fedha za umma na viongozi wakuu wa nchi wasikemee wala kudhibiti huu wizi wa wazi ni vigumu kupambana na wizi wa mali za umma. Kama mwanasiasa atapewa haki na baraka za Serikali kufuja Mali za umma ni vigumu Serikali hiyo kuadhibu Watumishi wa Umma...
 13. Idugunde

  Uhuru wa Kujieleza sio kukosoa kila jambo na kupotosha Umma juu kinachoendelea nchini

  Naona kila mtu anashadidia juu ya kuwepo kwa kile kinachodaiwa uhuru wa kujieleza ambao wengi wanao shadiia ni wale wanaodai kuwa sasa uhuru wa kujieleza na kuropoka kama mtu anahara sasa umerudi. Lakini ukweli ni kuwa uwe uhuru wa kisiasa au uhuru wa kujieleza usiwe uhuru ambao aunatumiwa...
 14. J

  Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

  Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
 15. K

  Binafsi nimesikitika sana kwa tabia iliyozuka ya Waziri anakuwa na mamlaka ya kutumbua watumishi bila kufuata utaratibu

  Leo katika kipindi cha magazeti yetu asubuhi nilisikia taarifa ya kutumbuliwa watumishi sita wa Mwaruwasa- Morogoro na Mhe. Waziri wa Maji. Binafsi nimesikitika sana kwa tabia iliyozuka ambapo Mhe. Waziri anakuwa na mamlaka ya kutumbua watumishi bila kufuata utaratibu uliowekwa katika Utumishi...
 16. Emmanuel Kasomi

  Stanlaus Nyongo, ameipongeza Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknoloji , kwa usimamizi na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Ufanisi

  TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na maendeleo Ya Jamii, Mh. Stanlaus Nyongo, ameipongeza Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknoloji , kwa usimamizi na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Ufanisi. Akizungumza katika kikao cha pamoja, kati ya uongozi wa Wizara...
 17. beth

  Peru: Kashfa ya Chanjo yapelekea Rais wa zamani kupigwa marufuki kushika wadhifa katika ofisi ya umma kwa miaka 10

  Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19 Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
 18. T

  Mjadala wa elimu: Watoto wa viongozi wanasoma shule hizi za umma?

  Na Thadei Ole Mushi. Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa kipaumbele Sana kwa kuwa Tanzania tupo selective kwenye habari. Tunapenda Sana Scandal kuliko mambo...
 19. hamis77

  Zungu acha kudanganya umma, kwamba Tende ni chakula cha kiroho kilichoandikwa katika Wagalatia 5:23,22

  Dah! Kama mbunge una makontena ya Tende bora useme tu kuliko kudanganya bunge na umma wa watanzania kiasi hiki. Kwamba Tende ni Sunnah, na Yesu alikula Mana na Tende ambacho ni chakula kitakatifu, hivyo Tende ziondolewe kodi ili Wakristo na Waislam tule Tende chakula kitakatifu alichokula...
 20. Q

  Mashirika 11 ya Umma hayakupeleka hesabu zao kukaguliwa ikiwemo TANESCO, TTCL, NHIF, Posta na Muhimbili

  Taasisi ambazo hazikuwasilisha hesabu zake kukaguliwa. 1. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili 2. Kampuni ya Mbolea Tanzania 3. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 4. Mfuko wa UTT 5. Shirika la Magazeti Tanzania 6. Shirika la Posta Tanzania 7. Shirika la Reli Tanzania 8. Shirika la Simu Tanzania 9...
Top Bottom