msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Godfrey Tumaini aomba msamaha

    Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ambaye ni mwanaharakati wa kulinda migongo amemuomba msamaha msanii mwenzake Ommy Dimpozi akisema alitumia jina lake katika harakati zake kutengeneza content tu ili ujumbe uende mjini na ufike mbali!
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Msamaha wa Kodi kwa Biashara Mpya kwa Mwaka Mmoja

    Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wanaoanza, kuchochea uanzishaji wa biashara mpya na kuhamasisha urasimishaji wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Majaji wasikubali kudanganywa na msamaha wa Raisi kwa Lissu!

    Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo watabaki na historia ya hukumu ambayo itawaaribia record yako. Kibaya zaidi wasikubali wafuate sheria...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Yanga Haijapata Kocha. Engineer Hersi Mwombe Msamaha Gamondi Arejee Jangwani

    Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja. Engineer alikuwa anawaharibu wachezaji Gamondi akamchana kuwa si vizuri kujenga matabaka wakiwa Serena hotel...
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani mwanaume kupiga magoti mbele ya mke wake kwa ajili ya kumuomba msamaha wa jambo ambalo liko sensitive sana

  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kitubio ama msamaha wa waziri?

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu Patrobasi Katambi akitoa wito kwa baadhi va watu kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili, baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Katambi amekuwa akijitokeza hadharani na kutangaza msamaha kwa...
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mpasuko Mirathi ya Rwakatare: Mawakili wa Familia Wamkana Tibe, Wataka Bilioni 5 na Msamaha

    Mawakili wa familia ya marehemu Askofu Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare na Kampuni ya St. Mary’s International Academy Limited, wakiongozwa na Wakili Derick Paschal, wamejitokeza na kukanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Tibe Kenneth Rwakatare pamoja na mawakili wake,. Wameeleza kuwa madai...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama Lengo ni Kumfunga Kisha Msamaha, eti apoteze Haki zake za Kisiasa, futeni kabisa huo ujinga nyie Vilaza wa CCM !! Dunia haitokubali Kamwe

    Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa. Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya . Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga . Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!. Hili liwakae kichwani !!.
  10. Troll JF

    JamiiForums Tanzania As it Stands Tundu Lissu aombe MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania hivi kwa nini wanaharakati uchwara hawajawaomba msamaha watanzania kwa yaliyotokea M29?

    Kuwaambia vijana maskini wanadamane M29 Ilikuwa upumbavu uliyopitiliza sana .kwa sababu hizi zifuatazo: 1.unawezaje kuzuia uchaguzi siku ya uchaguzi? yani watu wametumia muda wao ,peza zao kuandaa uchaguzi harafu wewe unakuja kufanya fujo za kuzuia uchaguzi?kama kuzuia uchaguzi ilitakiwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania LUCY KOMBA AOMBA MSAMAHA KUHAMASISHA MAANDAMANO

    LUCY KOMBA AOMBA MSAMAHA KUHAMASISHA MAANDAMANO Badala ya kumkebehi au kumdharau kwa kujishusha na kuomba msamaha, tujifunze kwamba kuomba msamaha ni ishara ya ujasiri na uwajibikaji. Pia tukumbuke kuwa nyumbani ni nyumbani. Tunaweza kwenda sehemu mbalimbali kutafuta fursa au kuishi, lakini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana

    Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana. Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRA: Wafanyabiashara wapya waendelee kujiachia mwaka mzima, wana msamaha wa kodi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja kwa kuhoji “Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?” Kama hukusoma, bofya hapa ~ Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?

    Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), na suala hilo lilipitishwa na Bunge. Swali langu ni moja: kwa nini...
  16. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Msamaha na Kisasi

    Kuna msemo unasema, hakikisha unachagua upande Usiwe vuguvugu Kama ni moto, kuwa moto Kama ni baridi, kuwa baridi Japo watu wengi husema usijulikane kirahisi, ila tambua kuna hasara ya kutokujulikana So unapokosewa, unapoudhiwa au kuumizwa, hakikisha unajulikana umesimama upande gani Hii...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Marafiki waliniacha, lakini yule niliyemuumiza alibaki nami

    Nimekuwa nikijiuliza kila mara ni kwa kiwango gani mtu anaweza kujitoa kwa ajili ya mwingine. Wakati mwingine watu tunaowadharau au kuwaona hawana thamani ndio wanaoweza kubadilisha maisha yetu kabisa. Hii ni hadithi yangu kuhusu majuto, msamaha na somo ambalo sitawahi kulisahau. Nilipokuwa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Suzanne: Mwanamke Aliyekataa Kumkana Yesu na Kuonyesha Nguvu ya Msamaha

    Katika kijiji kimoja kaskazini mwa Nigeria, mwanamke aliyeitwa Suzanne alikumbana na jaribu kubwa la imani yake. Wakati wanamgambo wenye silaha waliposhambulia kijiji chao, walimpa chaguo gumu: aachane na imani yake ya Kikristo na akubali kubadili dini, au akabiliane na kifo. Suzanne alikataa...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kiungo kwenye mwili wako unapaswa kukiomba msamaha kwa matumizi mabaya?

    Umepewa nafasi ya kuomba msamaha kwa kiungo chako kimoja cha mwili wako kwa matumizi mabaya, ungechagua kuomba msamaha kiungo gani?
Back
Top Bottom