05 May 2026
Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA
MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA
https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s
Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
chadema
chande
jaji
jaji chande
kamati
kamati kuu
kikao
kikao cha kamati kuu
kuu
maamuzi
mkuumwanasheriamwanasheriamkuumwanasheriamkuu wa chadema
rais
rais samia
ripoti
ripoti ya jaji chande
samia
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa.
Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka...
Kupitia Mtanadao wake wa Truth Social Rais Donald Trump alitangaza kumuondoa Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwenye nafasi hiyo akisema atamuamisha kwenye nafasi nyingine ya sekta binafsi, akimsifia kama rafiki mzuri na Mzalendo
Trump alieleza kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu, Todd Blanche, ambaye...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema:
“Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
Sijajua kama Mange Kimambi ana uraia wa USA au la ,lakini hata kama ana residence ya kudumu, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu wa serikali ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambe akiamua kuja Tanzania watakachoweza ni kumzuia pale airport. Lakini kwamba eti watamfunga thubutu!
Swali la "who are...
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa sukari huku
Pam Bondi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Marekani anasema kesi ya Maduro itakuwa inasikiliziwa kwenye Mahakama za New York huko Nchini Marekani
Makosa aliyohusishwa nayo ni Ugaidi, kuingiza Cocaine Marekani pamoja na kuingiza silaha nchini
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo baadaye ilifutwa na Rais tarehe 3 Novemba 2025.
TLS wanaiomba Mahakama itamke kwamba amri hiyo...
UTANGULIZI
Taarifa ya maandishi, ya tarehe 07 Oktoba 2025, kutoka "Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Makao Makuu ya Polisi," huko Dodoma, ambayo "Imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini," lakini isiyosainiwa wala kuonyesha jina la mwandishi wake, inahusika na imeambatanishwa hapa chini...
ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano?
Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika?
mbona mie sielewi?
Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana.
Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
Wakuu,
Baada ya kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali Johari kwamba kuna mtu mmoja nje ya nchi anahamasisha maandamano, wakili Jebra Kambole amemtaka pia ajiulize kwanini watu hao walimsikiliza mtu huyo aliye nje na si viongozi wao wa ndani ikiwemo Rais.
===
Kupitia ukurasa wake wa X, Jebra...
Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.
Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA.
Moja kwa moja kwenye point;
1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi...
Tangazo kwa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma.
Imetolewa na...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro huku ikisema wana nafasi ya kushauri na kusaidia mambo mbalimbali yakiwemo ya kimkataba.
Mradi wa Kidunda unagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 335, unatarajia kukamilika ifikapo Juni 2026...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo
Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.