mwanasheria

  1. Scott junior

    JamiiForums Tanzania MWANASHERIA, NKIKO AMUUA MPENZI WAKE CHANZO NI WIVU WA MAPENZI

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume wengine. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kupitia kwa Kamanda...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nimesoma kesi ya uhaini ya kina Anko Tom asubuhi hii, Katuga ni mwanasheria wa hovyo kuwahi kumuona duniani!

    Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi. Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini vyeti vya taaluma lazima vithibitishwe na Mwanasheria?

    Je, NECTA au mwanasheria yeyote atakayeidhinishwa hawezi kusaini moja kwa moja kabla ya kuwakabidhi watahiniwa nyaraka husika?
  4. AI tata

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania ninakusanya ushahidi, nimpate Mwanasheria mwenye uwezo nitawashtaki

    Ni kipindi cha wiki kadhaa nikitumia huduma ya internet ya kampuni hii ya simu. Muda mwingi umepotea nikisubiri huduma, mtandao unazunguka tu. Nimepata harass ya muda, Mali na saikolojia imetetema kisa kutokamilika kazi zangu kwa muda unaotakiwa. Nimekusanya sms zote mlizonitumia, mkiniomba...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Tuhuma za Bodaboda kumfanyia ukatili Mwanafunzi wa Darasa la 3, Jalada tayari lipo kwa Mwanasheria wa Serikali

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kisha kuachiwa akiendelea...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

    Yaani unakuta kiongozi ni msomi kabisa, tena anaongoza chama cha siasa au taasisi halafu eti ni mropokaji na fisadi wa mali za chama chake. Hii imekaaje my friends, ladies and gentlemen? Je, mtu wa aina hii anakua bado hajajikimboa kifikra au elimu aliyonayo ni ya kukiuka sharia, kuomba...
  7. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwenye ajira ni haki kikatiba, mwanasheria mkuu wa serikali acha siasa.

    Kitendo cha kumfukuza kazi mfanyakazi anayejiuzulu kwenye ajira ni uswahili. Mhe. Nchimbi apewe haki yake kwenye ajira ya serikali badala ya kuendeshwa na kanuni za CCM.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu lini nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa wazi, akisema tarehe rasmi ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais ni Septemba 4, 2026, kwa mujibu...
  9. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanasheria Anaejielewa Haraka iwezekanavyo Dar Es Salam

    Habri wakuu, natafuta mwanasheria Mzuri wa mikataba bora ya kibiashara, kampuni aliyeko Dar es salam, kwa anaefahamiana na mwanashieria mzuri naomba unitumie mawasiliano yake DM. Asanteni sana
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala kuzungumza leo Jumatatu Julai 27, 2026

    https://www.youtube.com/live/pnUzy-lmNrA?si=OenV3rhwlyxFnEbk
  11. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania NijuzeNews: Mahojiano na Dr. Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA.

    Katika mahojiano na NijuzeNews, Dk Nshala atema nyongo! https://www.youtube.com/watch?v=E1YHABa2SGc
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mwenye uwezo mkubwa yuko jela huku wenye uwezo mdogo wanazunguka duniani kuingia mikataba ya kimataifa kwa niaba ya nchi

    Kuna nchi duniani kuzaliwa, ni kama vile wazazi wako walifanya makosa kukuletea duniani na mfano mzuri ni Banana Republic moja inayopatikana East Africa ambapo wenye akili wako jela huku wenye uwezo mdogo wakipewe nafasi za kutumikia nchi.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Nathaniel Maseke: Kuna kijana hadi sasa hamfahamu Waziri Mkuu, Vijana wana vipaumbele vyao

    "Kuna kijana hadi sasa hamfahamu Waziri mkuu wa Nchi, Makamu wa Rais ila anafahamu wimbo gani uliotoka hivi karibuni, matokeo ya michezo mbalimbali kwasababu ndiyo kipaombele chake" - Nathaniel Samson Maseke - Mwanasheria
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza Nshala: Tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Lissu, zitatolewa na Uongozi mkuu, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa sheria

    Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuna maamuzi mengine ya majaji wa Tanzania hata kama wewe sio mwanasheria unaona wazi wanakosea - labda ni maagizo ya juu

    Ifikie mahali mahakimu na majaji nchini mune aibu kupelekeshwa kamakondoo wa kuchinjwa. Kuna mamamuzi mengine ya kimahakama ambayo hata sisi tusio wanasheria tnaona wazi mnafanya makosa - kwa kutumia common sense tu, wala sio elimu ya sheria. Sasa ifikie wakati mahakimu na majaji mjitambue...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nshala Mwanasheria wa CHADEMA atoa kauli ya matusi dhidi ya Tanzania

    Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa. Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

    Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani. Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake. Watu wamechoka...
  19. R

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Trump amfuta kazi Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwa kutoridhishwa na utendaji wake wa kazi na alivyoshughulikia faili za Epstein

    Kupitia Mtanadao wake wa Truth Social Rais Donald Trump alitangaza kumuondoa Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwenye nafasi hiyo akisema atamuamisha kwenye nafasi nyingine ya sekta binafsi, akimsifia kama rafiki mzuri na Mzalendo Trump alieleza kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu, Todd Blanche, ambaye...
  20. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mwabukusi hajui mchakato wa report ya CAG kwa Mujibu wa katiba? Hii ni aibu

    Nashangaa kuona mtu amesoma Sheria lakini bado hajui mchakato wa report ya CAG kikatiba upoje? Yani mwanasheria analalamika Leo juu ya taarifa ya CAG wakati ndo kwanza ipo hatua ya kwanza.....naona aibu mno kwa hizi akili
Back
Top Bottom