naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima. Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakuu naona kama town (Dar) kumekuwa na matumizi mabaya ya ving'ora

    Wazee inakuwaje siku hizi unaweza kuwa unapita zako labda Maandazi Road mara ghafla V8 inawasha king'ora ili mumpishe.. yaani imekuwa kero kubwa. Wakazi wa Dar wanakutana na ving'ora vingi kwa siku. Ifikie sehemu mamlaka zinazohusika zidhibiti hii hali. Kwani idadi ya viongozi au watendaji wa...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania "Ka David Kafulila kanajitutumua lakini naona watu wamekadharau" Mwanasiasa mmoja mkongwe

    Anasema haka kajamaa kanajitutumua sana. Lakini ni kama kamedharaulika tu watu hawakaoni. Kila siku kanatoa matamko na takwimu za kipuuzi za kichawa mpaka mwenyewe anasema haka katoto kanafanya propaganda za kituko. Huyu mwongeaji ni MwanCCM kada mwandamizi ambage ana na amekuwa na nafasi...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Baada ya makamanda kuikwepa kesi sasa naona taswila ya kesi

    Wandugu Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana . Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi. Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ??? 1.serikali vs Lissu 2.serikali vs chadema 3.ccm vs Lissu 4. ccm vs chadema 5.wanzibara vs...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naona speed or rate ya kuzeeka kwa Gen Z ni kubwa tofauti na ya Millennials

    Hili alifichiki Gen Z rate yao ya kuzeeka ipo kasi sana tofauti na Millennials. Wengi wana miili mikubwa, nywele zikuwa brown au nyeupe mapema na sura zao zinakomaa mapema sana. Hii ni tofauti na kipindi Millennials walipokuwa na umri kama huo, na ndio maana wale Millennials wa mwisho mwisho...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

    Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukipita ofisi hizi wapatie watumishi chochote

    Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mikocheni Hakuna umeme. Giza totoro

    Je huko sehemu zingine za Dar vipi? Umeme wa Tanesco upo? Nauliza kwa sababu isije ikawa Ile post niliyoandika sasa hivi kuhusu yule jamaa inaleta balaa
  11. min -me

    JamiiForums Tanzania Naona madaktari bingwa kabisa wamepanic kuhusu mimi 😁😁😁

    Aseee mimi ni mchaga mmoja mpumbavu tu ,ambae nilimaliza elimu yangu chuo kikuu cha udom kama mkunga na nursing. Now bado nasoma na ninatafuta degree ya medical doctor kwa sasa , na nyie mnaodharau ma nesii na wakunga , madaktari wa bongo nyoso wa ugoko tunawajia kwa kasi ya 6 g gademitt 😁
  12. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

    Yeah, naona watu ni kama hawapendi kuzungumzia habari ya kweli kabisa kuwa , binadamu hapo zamani alikuwa na mkia wa nyuma. Sijui tunakwama wapi, unakuta mwalimu wa sayansi anapofundisha Lamarck's theory of evolution, hatumii mfano huu ulio dhahiri, badala yake anaanza kuzungumzia sijui twiga...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Liwalo na Liwe. Nadhani leo inaweza kuwa mwisho. Naona imefikia hatua ambayo nakosa uvumilivu. Naweza kumpatia mwingine

    Inawezekana hata ile asubuhi kusema gari haiwaki battery imekufa kabisa ilikuwa ni mbinu na alianza tengeneza mazingira. Huyu demu nina miezi naye miwili tu. Yaani 2 months. Mbali na sisi kutumiana. Maana tumeshanyanduana sana. Hakuna faida nyingine tumepeana zaidi ya wakati flani aliomba...
  14. min -me

    JamiiForums Tanzania Naona red black kanizungumzia mimi🤣

    Red black nashukuru sana kwa kujali , ila sijui kama wewe una hata level za kunizungumzia mimi asee😅 Au ni vile tuna kutana humu JF tu , ndio mnaona mnauwezo wa hata kukutana na kila members humu🤣 Ndio nyie nyie members mnaomba 2000 humu😄
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Naona Bunge wameamua kumpa ajira Gen Z kuwa Admin wa page yao

    Wabunge walipokuwa wakiwasili Bungeni jijini Dodoma, Agosti 27, 2026 kuhudhuria Kikao cha Pili cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  16. Ahead

    JamiiForums Tanzania Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

    Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

    Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20+ naweza kujiita ni muathirika wa tukio ambalo naona linaelekea kuwa la “kitapeli” uliotendwa na kampuni inayojitangaza kutoa fursa za kazi na mafunzo nje ya nchi inayoitwa Star Employment Service Tanzania. Nilianza mawasiliano na Mkurugenzi wa kamouni hiyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

    == Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na unaoshirikishisha watu wengi. Katika hotuba na mijadala yake, amesisitiza kuwa DIRA2050 si ndoto ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye update ya kesi ya Lisu atuwekee hapa. Naona Hilda "amekabwa koo"

    Tusaidiane mlioko Dar mahakamani mtupe dondoo kidogo.
  20. papag

    JamiiForums Tanzania Naona halimi vizuri huyu

    Ngoja nimu onyeshe kwa vitendo.
Back
Top Bottom