mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Je, mahakama kukataa kuwa summon Rais Samia, VP Mstaafu Philip Mpango na PM Mstaafu Kassimu Majaliwa inaathiri "Fair trial" ya kesi ya Lissu?

    By Advocate Paul Boniventure; Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza... Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Uamuzi wa mahakama wa aidha Rais Samia, Philip Mpango (VP mstaafu) na Kassimu Majaliwa (PM mstaafu) waitwe kumtetea Lissu au la..

    HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU ".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Harvest Mission chamtunuku PhD Mchungaji Mstaafu Samwel Mwahalende

    MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii. Akizungumza muda...
  6. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais aliyejiuzulu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi?

    Tangu ajiuzulu wadhifa wake amekuwa kimya mno. Je, ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga? Emmanuel Nchimbi, nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Mstaafu mmoja anarudi tena kazini, wengi mtashangaa

    Kutoka kwenye korido za siasa huko teeth, Mstaafu mmoja aliyependwa sana awamu ya 5 tayari amedokezwa ajiandae kula kiapo siku chache zijazo kama Makamu wa Rais mpya.
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kipa atatupa sare nyingi sana, kwa huyu straika ni bora Mstaafu John Bocco arudishwe tena kikosini

    Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha. Msimu wa 2024/25 wakati unatamatika kipindi kile kila mtu aliona kuwa genge la Mutale na nduguze kwenye safu ya kiungo...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda TANZIA Mbunge Mkongwe wa Uganda na Jenerali Mstaafu Moses Ali Afariki Dunia akiwa na Miaka 87

    Uganda imepoteza mmoja wa wanasiasa wake wakongwe zaidi baada ya taarifa kuthibitisha kuwa Jenerali mstaafu Moses Ali, Mbunge wa Adjumani West County na aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87. Moses Ali alizaliwa tarehe 5 Aprili 1939 katika...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akamtembelea Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA taifa kabla ya mkutano wa baraza kuu taifa, September 15

    Duru zinaeleze kua kwasasa mwenyekiti huyo mstaafu ana ratiba ngumu binafsi ya ng'ambo ya nchi, na mara atakapo kua mazingira ya nyumbani, basi ziara hiyo maalumu ya makamu mwenyekiti wa chadema taifa itafanyika kadiri ilivyopangwa. Je, ikiwa atafanya hivyo, unadhani agenda kuu ya makamu...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais wetu kipenzi mstaafu mh. Jakaya mrisho Kikwete.

    Ndugu zangu, ni wapi alipo Rais wetu wa awamu ya nne. Mh. Jakaya Mrisho Kikwete? Hakuna kipindi ambacho wapinzani waliinjoi kama kipindi cha Kikwete. Walizoa wabunge wengi sana madiwani na wenyekiti wa vijiji. Maisha ya wapinzani yalianza kuwa magumu pindi tu alipokaa pembeni Mh. Kikwete...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

    Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto . Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima Lakini leo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania IGP MSTAAFU MAHITA: NANUKUU "WAZIRI HANA MAMLAKA YA KUTOA AMRI KWA IGP NA JESHI LA POLISI LABDA JESHI LA MAGEREZA"

    IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa??? Je, IGP wa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Simoni Sirro: Tunajisahau Sana Tukiwa Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Hapa👉Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila kitu. Sirro ametoa kauli hiyo leo Juni 26, 2026 wakati wa kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad: Tatizo tuna watu ambao wameibuka, Kiongozi lazima atayarishwe

    Katika mahojiano maalum yaliyorushwa na M&S Podcast, Juni 24, 2026, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amefafanua kuwa kiongozi bora ni yule mwenye uwezo wa kusimamia watu na taasisi kwa ufanisi kupitia mambo makuu matatu: upangaji wa mipango ya...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

    CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani. Prof Assad amesema "Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya Shillingi 300 kils mojs,ana gari aina ya Range Rover, ana flats(maghorofa) hapa Dar es salaam chungu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Profesa Mussa Assad: Sikusema Bunge ni dhaifu, hayo yalikuwa maneno ya Ndugai

    Mwandishi: Nikikurudisha nyuma Profesa, 2018. Tupo kwenye uhuru. Unahisi maneno yako uliyotoa kwamba, "Bunge ni dhaifu," tungeweza kurudisha labda muda 2018, ungeyafuta yale maneno au ungesimama na msimamo wako wa Bunge ni dhaifu kipindi kile? Professor Mussa Assad: Unajua, labda tukubaliane...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kuzinduliwa kwa kituo cha makumbusho ya rais mstaafu Barack Obama

    https://www.youtube.com/watch?v=LQuVd8blxm4
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
Back
Top Bottom