igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama Katuga hakujua umuhimu wa ushahidi wa Samia. Mpango, Majaliwa, CDF, IGP na DGISS kwenye kesi ya uhaini, anafaa kweli kuwa wakili wa serikali?

    Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya maelezo ya Lissu alliyoyatoa mahakamani leo kwenye final submission yake. Tena tukumbuke ni Jamuhuri ndio walitakiwa wawaite kama mashahidi wa upande wa mashitaka ili kuthibisha ni kweli serikali ilitishika kama sheria inavyotaka kwa mujibu wa Lissu na...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Aloyce Komba: Lissu ana kesi nzuri, mashahidi wa IGP, CDF na DCI walikuwa wa kuongeza tu

    Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CDF na IGP walimwambia DCI Ramadhani Kingai, "nenda kamalizane na Tundu Lissu mwenyewe kwanza wewe ndiye uliyelianzisha!!"

    Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai... MAJUKUMU YA DCI Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Je, IGP na CDF wamemtuma DCI Kingai kuwasemea kuwa "nao hawako tayari kutoa ushahidi?" Na je, kweli wako safarini au janja yao tu?

    Siasa zinazopigwa ndani ya mahakama katika kesi hii ya kisiasa lakini iliyopewa Jina la "uhaini" actually is very interesting... Hebu soma hiki ambacho Mhe. Lissu amekisema mbele ya mahakama baada ya kufanya legal consultation na ambaye angekuwa shahidi wake DCI Ramadhani Kingai; Anasimama Mh...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kwa kilichotokea mahakamani leo, Lissu hatokutwa na hatia huku akiwa amelinda heshima yake. Kuwaita CDF, IGP na DCI, alicheza kama pele

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake.. Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

    Swali la pili. Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari. Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Mambo ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lissu ndiyo mtu anakimbiwa na IGP , CDF 🤦🏾‍♂️

    Kwenye historia hatujawahi kuwa na wakati kama huu. Raisi fake mwoga, IGP na CDF ambao ni machawa na wanankimbia mtu ambaye yupo Jela😂😳
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita, kwenye KESI ya UGAIDI ya MBOWE

    MATATA: Nikumbushe Majina yako. SHAHIDI: Naitwa Inspector Mahita Omary Mahita. MATATA: nitakuwa Sahihi nikisema wewe ni Mtoto wa IGP mstaafu Omary Mahita. SHAHIDI: Upo sahihi MATATA: Wakati Baba yako akiwa IGP wewe Ulikuwa wapi? SHAHIDI: Nilikuwa Chuo kikuu MATATA: Kwahiyo wakati Baba yako...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Utata wa Judicial Procedurajuu ya mashahidi wa Tundu Lissu IGP, CDF na DCI kutotokea mahakamani leo. Wako safari wapi? Nchi gani?

    JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM? Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi. Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aitaka mahakama kumwandalia mazingira mazuri ili akutane na mashahidi wake DCI Kingai CDF Nkunda na IGP Wambura ili kuweka mikakati

    Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati akii - impose hoja hii.. Jaji Ndunguru: Bado una mashahidi watatu tutamaliza Natumaini tutamaliza within time mshtakiwa maana tulitegemea Ijumaa mngewasilisha final submissions Mhe.Lissu: Kwanza hao mashahidi wangu nahitaji kuonana nao ili tupange mkakati wa kesi...
  14. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Lissu apewe haki ya kuzungumza na mashahidi wake IGP, CDF na DCI kupanga mikakati ya kesi yao

    Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc. Hivyo mahakama iweke utaratibu kwa mashahidi watatu waliobaki yaani CDF, DCI na IGP mshitakiwa aweze kuonana...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya CDF IGP DCI Kuwasilisha ushahidi wao mahakamani Tundu Lisu akate rufaa ya kuomba PM VP na Mh Rais Kuja mahakamani kosa la uhaini ni zito

    Rule of law inasema no one above the law. Naamini nchi yetu inaendeshwa Kwa mujibu wa Sheria sio mtu mmoja ajikurupia TU kutaka kupindua serikali Nashauri mashahidi hao watatu wakatiwe rufaa Ili wake wathinishe uhaini kama ni mtu kunyongwa anyongwe Kwa haki. Tutakuwa hutajamtendea haki...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini endapo CDF, IGP na DCI watafika Mahakamani?

    Kwanza, nianze kwa kusema kwamba nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kesi hiyo tangu siku ya kwanza Tundu Lissu alipofikishwa katika Mahakama ya Kisutu hadi sasa, ambapo kesi hiyo inaendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu, huku mshtakiwa akiwa amekaa rumande kwa zaidi ya siku 400. Katika kipindi...
  17. Bramo

    JamiiForums Tanzania Lissu Kuwaita IGP, DCI na CDF kwenyeUtetezi Ni Mbinu au Mtego?

    Wakuu JF amani iwe nanyi, Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uhaini, mjadala mkubwa umehamia kwenye orodha ya mashahidi wa utetezi. Katika uamuzi wake kuhusu maombi ya utetezi, Mahakama Kuu imeridhia waitwe viongozi...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bwana CDF, IGP , DCI, hakikisheni mnapinga kwa nguvu zen LISSU kufungwa , Ninawahakikishia, Endapo Lissu akifungwa, Moto wa ICC hautawaacha Salama

    Hata kama hamna Akili ya kutafakari, Embu Jiulizeni tu, kwann Serikali ya Samia, imehakikisha inawachomeka nyinyi kwenye KESI hii kama Mashahidi mloitwa na LISSU ?. Kwa tafasiri ya Kawaida, Mmeunganishwa Moja kwa Moja na Matukio ya Mauaji ya Oktoba 29 2025. Mara zote nmewaambia...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana. Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea? Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu...
  20. bullbar

    JamiiForums Tanzania Hili la DCI, CDF na IGP aibu utaona wewe..🤣🤣

    Ikumbukwe hao wote ni makada na watu wa kupokea maagizo tuu na maelekezo. Wengi wao wamepachikwa kwa utashi na shukrani kutoka namba moja pale kwenye wingi wa gogo, na watu ambao kumbukumbu zimeshaanza kuwaacha, sasa msije shangaa mtu anatoa siri za aliye mtuma. Kiuhalisia wote wanaujua uwezo...
Back
Top Bottom