RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS
Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia.
Kobaz once again...
This was 2019,
Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
Jana kuna mwamba aliweka tangazo humu kwamba serikali imetoa nafasi zaidi ya elfu 1 za wapishi kwenda Uarabuni. Nikajua tu ni utapeli. Serikali haiwezi fanya ivo. Pia email ya kutuma CV ilikua na domain ya gmail.com namba za simu zilikua private nikahisi ujanja ujanja.
Ila leo nikaingia kwenye...
Ukisoma Waamuzi 7 kuanzia 22, Wamidiani walidhamiria kuifuta Israel, wakaja wengi mno yaani kwa silaha na kwa walivyokua wamejiandaa, wangeifuta Israel isahaulike, ila Gidioni kwa idadi ya wapiganaji 300 walishtukiza na kupiga tarumbeta usiku, hao Wamidiani wakachanganyikiwa na kuanza kuchinjana...
Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
Ndugu wajumbe.
Ukweli usemwee vizuri tuuu.
Mama yenu anaweza kuwa mtanzania asiye na furaha kabisa maisha yake kwa sasa.
Hata nuru inaishaa ,unaona kabisa huyu mtu ana msongo wa mawazooo.
Wanasaikolojia wamsadie Mshana Jr
Wewe unasemaje Senior.
Mimi akinimba ushauri nitamuambi achia...
Kipindi tunafundishwa kuwachukia wazungu, unyama wa uarabu ulikuwa unafukiwa, hadi hapo watu walipoanza kwenda outside of the box na kugundua zaidi y I abu shiri, kugundua kuwa babu zao walihanisiwa na kufanyika mashine za kazi hadi kufa kwao huko uarabuni, waliobakia nachoamini ni less than 1%...
Samia to the World!!!!!
Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS.
Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe.
⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli.
⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote
ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili...
Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls. Halafu cha ajabu kuna viongozi serikalini wanapiga madongo na kuweka uadui kwa wana diaspora wenye kazi za maana huko USA na EU wenyewe wanatafutia vijana wetu kazi za mahouse girls na wahouse boys. Kazi zinazohitaji elimu unakuta...
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed walifanya mazungumzo na Spika wa Bunge la umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Saqr Bhogash katika ofisi za...
Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
Watu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii hawazingatii mambo mawili kuhusu hizi nchi ambayo ni Utajiri mkubwa wa mafuta na gesi na idadi ndogo...
Ugonile,
Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu.
Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza.
NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa.
AVAILABLE POSITIONS...
Hadi waarabu hawamtaki CR7 ?
Hili swali ndio linatrend uko duniani
How comes arabs kick out CR7
Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati
Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi
Ronaldo hakutakiwa kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.