Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa.
Kuhusu ubadhirifu wa fedha
Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
Anonymous
Thread
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
maadili
sinza
uchunguzi
ukiukwaji
upigaji
Nimemsikia Rigathi Gachagua wa Kenya akisema kuwa Chivayo alikuwa akicheza dili na marais wengi wa Afrika kupiga madili na yeye kujifanya ni pesa zake.
Hapa nchini uchunguzi huru ufanyike. Maana wanaoumia na masuala kama haya sio Wazanzibar bali ni Watanganyika.
Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji na upokeaji wa fedha kwa wagonjwa.
Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuondoka, hali inaonekana...
Anonymous
Thread
afya
control
control number
fedha
kituo
kituo cha afya
number
uchunguzi
wagonjwa
Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na harufu mbaya na nzito ambayo wakati mwingine inafanya iwe vigumu hata kufanya kazi na kuendelea na...
Anonymous
Thread
harufu
kali
mazingira
ni nini
njia
pugu
tatizo
uchunguzi
wakazi
waomba
Ninaomba kutumia jukwaa hili kutoa wito kwa Wizara ya Afya na mamlaka husika kuchunguza ongezeko la maabara za vipimo vya binadamu nchini, hususan vijijini na katika miji midogo, na kuhakikisha zinazingatia viwango vya ubora na usalama wa huduma.
Pamoja na kuwepo kwa mifumo ya usajili na...
Anonymous
Thread
afya
binadamu
maabara
uchunguzi
utitiri
vipimo
wito
wizara
wizara ya afya
Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha.
Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,
Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili...
Ndugu Anayehusika,
Tunawasilisha malalamiko haya tukiomba taasisi yenu ifanye uchunguzi kuhusu stahiki za fedha za kujikimu kwa walimu wapya.
Walimu wa ajira mpya tunalazimishwa kuandika barua zenye kiasi cha pesa pungufu. Badala ya 130,000/= kwa siku saba, tunaambiwa ni 80,000/=.
Tunadaiwa...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo, kuanzia Jumatatu August 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta.
Soma pia: Tume...
Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa: Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika...
Rais William Ruto ameagiza uchunguzi huru na wa kina kuhusu vifo, madai ya utekaji nyara, kukamatwa kinyume cha sheria na matumizi ya nguvu kupita kiasi yaliyoripotiwa wakati wa maandamano ya Gen Z ya 2024 na yaliyofuata.
Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 16 ya Katiba ya 2010 katika...
Ndugu Zangu Watanzania,
Lissu inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kuanza kufanya uchunguzi wa kauli zake ambazo alikuwa akizitoa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi.
Ikumbukwe lissu Alitoa kauli za Uchochezi sana ambazo kwa kiasi kikubwa zilikuwa zinajenga hofu kwa watu na kuleta...
Tanzania Kuwa na Kituo cha Anga cha Uchunguzi wa Anga za Mbali
Wakuu kwema,
Teknolojia na uchunguzi wa anga za mbali si suala la mataifa ya Magharibi pekee. Wala si lazima tuanze kwa kujenga roketi au roboti za kwenda angani. Tunaweza kuanza na kituo cha kisayansi kama maabara ya uchunguzi wa...
Luhaga Mpina atema Cheche tena DW Radio . Akosoa Samia kuunda tume. Amesema ana masha nayo.
Akosoa Tume kuelekezwa cha kufanya. Mfani; Kachunguze nani katoa hela.
Kakosoa Hahdidu za Rejea
Hadidu za rejea ndio huleta maana. Haziwezi kuwa siri kwani mambo kama haya yanatakiwq yawe wazi...
♦️Labda muuaji Samia na genge lake la wahuni wakisaidiwa na Chawa wao wa mitandaoni na huko kwingine wanaweza kuelewa vizuri na kuacha kuteka na kuumiza watu hovyo...
Hebu tujadili kuhusu;
Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki (Kenya)
VS...
https://www.youtube.com/watch?v=lTwq-sOG2Is
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji.
Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mara nyingi, ninapotokuwa na safari ya dharura, hutumia usafiri wa basi.
Katika safari hizo, nimefuatilia kwa karibu huduma zinazotolewa na mabasi mengi yanayojitangaza kuwa ya VIP, na kubaini...
Anonymous
Thread
haziendani
huduma
kutoa
mabasi
nauli
ubora
ubora wa huduma
uchunguzi
📌 Taarifa ya Kamati itaiwezesha Serikali kuchukua hatua ili tatizo hilo lisijitokeze tena.
Waziri wa Nishati, Deogratius J. Ndejembi (Mb.), amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu kuunda kamati ya uchunguzi itakayobaini chanzo cha hitilafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.