trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Uncle bright

    Karma: Joe Biden hajawahi kufurahi namna hii tokea Kamala achukue nafasi yake, Ahutubia ikulu kwa sura yenye tabasamu licha ya Trump Kushinda

    Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump Biden alienguliwa kikatili sana bila heshima, Nyuma ya pazia ni Obama alisuka kila kitu. Kamala alichukua nafasi ya kukiwakilisha chama cha Democrats kienyeji sana, alipitishwa kwenye kikao cha mtandaoni (zoom) wakati...
  2. B

    Trump asisitiza kuwarejesha kwao wahamiaji

    Katika mahojiano yake ya kwanza tangu alipate ushindi wake, rais mteule Donald Trump alisema "hakuna bei" kwa mipango yake ya kufukuzwa nchini. Akizungumza na NBC News jana, alisema: Kipaumbele chake cha kwanza ni "kuimarisha ulinzi wa mpakani", na utawala wake hauna "budi" ila kutekeleza...
  3. britanicca

    Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

    Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari ===== UPDATES: ===== Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani. Chanzo: Spectator Index Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote...
  4. B

    Trump amteua Susie Wiles, meneja wa kampeni zake kuwa mkuu wa wafanyakazi Ikulu

    Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Susie Wiles, aliyekuwa meneja wa kampeni yake ya ushindi, kuwa mkuu wa wafanyikazi wa White House, na kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi hiyo yenye ushawishi. Wiles anasifiwa sana ndani na nje ya watu wa karibu wa Trump kwa kuendesha kile...
  5. kali linux

    Elon ni genius sijawahi ona ulimwengu huu. Aliwekeza takribani dola milion 118 kwenye kampen za Trump ila ndani ya siku moja tu kapata dola billion 26

    Elon Musk ni kichwa sana yule jamaa. Yeye ndie investor mkubwa kwenye rally ya Trump na inasemekena kwa ujumla aliwekeza dollar million 118. Lakini baada ya Trump kushinda utajiri wa Elon ambae kwa sasa ndio tajiri namba moja umeongezeka kwa dollar billion 26 ongezeko hilo likitokana na...
  6. B

    Baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi wa urais Marekani kesi mbili zake zitaendelea Mahakani?

    Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa akikabiliwa na kesi mbili tofauti awali alifikishwa mahakani kwa kosa la kutumia ofisi ya Serikali...
  7. Yoda

    Waafrika wanaoshangilia ushindi wa Trump kwa sababu ya misaada kupunguzwa ni wavivu wa kufikiri.

    Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano Wale wanaosema misaada ya US...
  8. Nehemia Kilave

    Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu

    Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu. Ni sawa kabisa na yule kiongozi pendwa mara kwa mara tunapomuona misikitini na makanisani alijikabidhi kwa Mwenyezi Mungu. Inapendeza sana, hata CHADEMA huwa tunaanza na Mungu. Siku njema. Soma: Donald Trump ashinda Urais wa...
  9. Mtoa Taarifa

    Baadhi ya Mipango ya Rais Mteule Donald Trump kwa Siku 30 za Kwanza Baada ya Kuapishwa

    Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na sheria, elimu, uhamiaji, na masuala ya kijamii. Hapa ni baadhi ya mipango aliyoeleza...
  10. jmushi1

    The Hill: Wamarekani watajuta kumchagua Trump

    Hii ni kwa mujibu wa Max Burns-The Hill. Ni opinion yake…Naomba watakaochangia mada hii, wasome kwanza hiyo article. Na wafanye kujibu accordingly. Kwangu binafsi, ninaamini kuwa ushindi wa Trump, umewaepushia wamarekani ugomvi mkubwa sana wa wenyewe kwa wenyewe. Tena kuna wanaoamini “civil...
  11. Father of All

    Irani wamejiandaaje kukabiliana na vita na Israel baada ya Trump kushinda?

    Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya. Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua zinamtosha kuona madhara ya vita na wairani? Je Ukraine waliozoea kubebwa sasa wanajiandaa kukubaliana mbabe...
  12. MSAGA SUMU

    Nani atakuwa Rais kama Trump akienda jela?

    Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani. Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela? Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi? Wataalam msaada hapo. Natanguliza shukrani
  13. Uncle bright

    Wanajeshi wa israel wafurahia ushindi wa Donald Trump, wana uhakika wa kupata support ya nguvu kuzidi awamu ya Biden

    Mods polen kwa kazi, Please msimove post Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ? Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani Trump alitambua Jerusallem...
  14. matunduizi

    Kama Rais wa US Donald Trump anapinga harakati za Ushoga nani yuko nyuma ya ajenda uhamasisho mkubwa wa hii kitu duniani?

    Yesu aliwahi kusema huwezi kupigana vita kabla hujajua nguvu ya upande unaopigana nao. Mfalme mwenye wanajeshi 10K akigudua mpinzani wake qnao 20K atatafuta qmaninaye kqbla vita haijamuathili. Kwa kusema hivyo alimaanisha ukijua huna nguvu kuliko adui yako hapo unaopsheni mbili, kuungana naye...
  15. Asante CCM

    Kuelekea 2025 Tunamshukuru Rais Samia kwa ushindi wa Trump

    Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika. Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone na kuiga mengi mema yanayofanywa na mama hali inayopelekea hata wao kujifunza kutoka kwake...
  16. B

    Kuelekea 2025 Tundu Lissu na ushindi wa urais 2025 kama ilivyokuwa kwa Donald Trump 2024

    Katika mazingira ambayo kila chombo cha serikali kikisapoti chama cha Mapinduzi katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 2025 itakuwa na mshangazo mkubwa sana katika taifa la Tanzania, kwani ndio mwaka ambao serikali chini ya CCM itaweza kuachia madaraka kwa kushindwa kwenye uchaguzi mkuu. Sio...
  17. Stuxnet

    Kwa Matokeo ya uchaguzi wa leo Marekani, naamini kuwa mwaka 2020 Trump aliibiwa kura zake kama alivyodai

    Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo: 2008: Obama alipata kura milioni 69 2012: Obama alipata kura milioni 65 2016: Hillary alipata kura milioni 65 2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81 2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66 Hii ya Joe...
  18. Vichekesho

    Namwomba Rais Samia Suluhu Hassan ampongeze Master Donald Trump

    Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura. Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Pia amwambie kuwa tunatarajia atakata misaada ya hovyo barani Africa ili tujifunze...
  19. Wakusoma 12

    Kwanini madikteta wa Afrika, Asia na Ulaya mashariki hawajafurahishwa na ushindi wa D Trump?

    Wakuu hali imekuwa tofauti kabisa na matarajio ya wengi. Madikteta kutoka nchi nyingi ikiwemo Tanzania hawajafurahishwa na ushindi wa D Trump. Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza uliomalizika 2021 Trump alikosolewa kwa kuwanyoosha viongozi madikteta ikiwemo serikali ya Magufuli kwa kunyimwa...
  20. Mathanzua

    Trump wins the U.S. Presidency with 277 electoral votes presently.But what does this mean for his adversaries.

    Trump wins the U.S. Presidency by 277 electoral votes presently.But what does this mean for his adversaries. November 06, 2024 Donald J. Trump has wo re-election to the United States Presidency with 277 electoral votes to heels-up Harris 224 electoral votes.What does this mean, Illegal...
Back
Top Bottom