wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wako kwenye Mikono salama

    Shalooom Makamanda!!!! Jeshi la Polisi likiwa katika majukumu yake ya kawaida limeweza kuwakamata wahalifu jijini Arusha , Taarifa zinazotufikia hivi punde zinasema kuwa gari la Kanda ya Kaskazini aina ya Toyota Land Cruiser, lililowabeba makamanda wetu, akiwemo Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli serikali haioni huu ukwepaji kodi wa wafanyabiashara? Usalama wa Taifa wako wapi?

    Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mke wako azae mtoto mmoja na tajiri, Wewe mume ulipwe Bilioni 1 utamruhusu Mkeo?

    Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya. Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia...
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Dada zangu wapenzi, usichukue mkopo bila kumshirikisha mume wako pliz pliz wata kukweka

    Inasikitisha sana, naandika huku kama nataka kulia kwa uchungu. Yule kijana wa morogoro amekaa zake dukani kapigiwa simu, kaka wahi kwako wanatoa vitu ndani watu wa mkopo, jamaa kafunga duka huyo nduki kwake akaone kunani, kufika watu wanabeba makochi sijui asset mbalimbali, kuuliza, JAMANI...
  7. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kwanini pale unapomuambia mzazi wako mchumba wako wa kike ni mjita, mkerewe, mmachame, mnyantuzu au mswahili wa pwani lazima sura imshuke

    Nini iko mbaya.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapaka mafuta ya Jero alafu mpenzi wako umemnunulia mafuta ya 50k. Jipige kifua jiite wewe ni msukule.

    Hamjambo! Kujitambua ni pamoja na kutunza uliyonayo. Akili yako, hisia zako, roho yako, mwili wako. Na mengineyo. Ngozi yako ni sehemu ya baraka ulizopewa. Hivi kweli ngozi yako thamani yake ni kuipaka mafuta ya jero au mafuta ya kula? Mafuta ambayo sio ya ngozi unapakaje kwenye ngozi yako...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afrika ya magharibi na ya kati wanaishi kwenye umasikini mkubwa na wako nyuma ya muda sana.

    Nimebahatika kuona maisha ya nchi mbali mbali za afrika ila niseme wazi nchi nyingi za kusini mwa afrika kuanzia kenya, Uganda na Tanzania kushuka chini mpaka south africa wana maisha mazuri ukiondoa malawi kidogo. ila balaa lipo nchi za afrika ya kati na magharibi. Nchi kama Cameroon ni nchi...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama haya hamyafanyi mara kwa mara ukiwa na mpenzi wako, juwa mahusiano yenu ni ya kuigiza si ya kweli.

    Jiulize:- Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini? Mara ya mwisho kukumbatiana...
  11. PART ASIFIWE MALILA

    JamiiForums Tanzania Njia za kumjengea mtoto wako tabia mpya

    Albert Bandura (1960) alikuja na nadharia ya social learning theory. Hii ni nadharia ambayo imetengenezwa na Kuonesha namna ya kujenga tabia mpya..... Albert Bandura amefundisha juu ya umuhimu wa observational learning (kujifunza kwa kuangalia). Hii ni mbinu ambayo mzazi yoyote anaweza...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Brother Kweka niko upande wako till last breath. Yalishanikuta, ningekuwa jela sasa

    Matukio matatu yalio wahi kunipata, 1. Tukio la kwanza Huyu ni pacha wangu wa kuzaliwa, ni demu. Tulipokuwa na miaka kama 17 hivi, alikuja geto kwangu akalala huku anaonekana ana mawazo vile. Nikamuuliza, “Huu usiku nataka kulala na mwenzangu mmoja, mvulana, tupishe.” Akagoma, kalala tu...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha

    Kama mzazi, jitahidi kuwa na watoto wengi ata 50 kama unaweza kufyatua,ili leo na kesho usipokuwepo, watoto wako wawe na ndugu wa kutosha. Hii ya kuzaa kitoto kimoja au wawili, ni kumfanyia ukatili mtoto wako kwa kumnyima kuwa na ndugu wa kutosha. Leo hii wewe, mkeo na ndugu zako mmekata...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wako anasoma CBC? Fahamu madarasa, mitihani, gharama na nafasi yako kama mzazi.

    Mfumo wa elimu unaotumiwa na watoto wengi nchini Kenya umebadilika kutoka mfumo wa 8-4-4 hadi mfumo wa elimu unaozingatia uwezo, vipaji na ujuzi wa mwanafunzi, unaojulikana kama Competency-Based Curriculum (CBC). Mabadiliko haya yamezua maswali miongoni mwa wazazi na walezi. CBC inamaanisha...
  15. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Je ushawahi kufikiria kuwa katika hii dunia kuna watu wana vibali automatically na kuna wale wengine hata ulie vipi tabu ndio ujira wako hadi kifo?

    Kuna mtu unakuta matendo anayofanya na kero anazo fanyia wengine ni sawa sawa na giza lakini mtu huyo huyo hayampati magumu yoyote na kila analogusa linageuka kuwa dhahabu. Alafu kuna yule ambaye atasali sanaaaa, atalia sanaa na atapambana sana lakini magonjwa, majanga, vifo na aibu ndio...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama mkeo hataki kulea watoto wako ambao hajawazaa. Usimlazimishe ni haki yake. Tafuta Yaya umuajiri alee watoto wako.

    KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo wa mwingine kama sio hiyari yake mwenyewe. Kama ilivyo kwako mwanaume, sio wajibu wako kumlea mtoto...
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania MJUE MWENZI WAKO:- Watu hawa wenye damu AB- ni ngumu sana kuwajua kwa kina, ni wabaridi sana, hawana ladha kabisa.

    Watu wenye kundi la damu la AB- ni miongoni mwa watu nadra sana duniani (chini ya 1% ya idadi ya watu wote). Katika mifumo ya saikolojia na utamaduni wa tabia za makundi ya damu (kama vile Ketsuekigata), watu hawa huchukuliwa kuwa na sifa za kipekee zaidi kutokana na nadra yao na mchanganyiko wa...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako au mwenza wako akikuomba simu yako ghafla unatumia mudagani hadi umpatie

    Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane. Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha. Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu. Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Nafsi: Uhuru Wako Unaanzia Wapi?

    Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira unayoitaka—au unayejua ndio inayotarajiwa na watu —wakati ‘wewe’ wa faraghani hubeba taswira halisi (real...
  20. DiasporaUSA

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ni vema kutoyafahamu kwa usalama wako na ili uendelee kuishi kwa amani.

    Some things are better left unseen. Life has a strange way of teaching us that curiosity is not always harmless. Sometimes we go looking for answers, truths, or things that were never meant to cross our path—and once we discover them, there is no going back to the person we were before. You...
Back
Top Bottom