William is a male given name of Germanic origin. It became very popular in the English language after the Norman conquest of England in 1066, and remained so throughout the Middle Ages and into the modern era. It is sometimes abbreviated "Wm." Shortened familiar versions in English include Will, Willy, Willie, Bill, and Billy. A common Irish form is Liam. Scottish diminutives include Wull, Willie or Wullie (see Oor Wullie or Douglas for example). Female forms are Willa, Willemina, Willamette, Wilma and Wilhelmina.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
afrika
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
hafla
kati
kenya
mkutano
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
na rais
rais
rais wa kenya
ruto
ufunguzi
ushirikiano
wakati
waziri
waziri mkuu
williamwilliam ruto
The photo below shows a post from social media showing Bobi wine together with his wife Barbi Posing for a photo with William smith.
The photo was taken during the Oscars arrivals at the 96th Academy Awards in Hollywood, Los Angeles, California, US on March 10, 2024 and not recent as claimed in...
The quote attributed to President William Ruto in the image is false and appears to be a piece of political satire or "fake news" generated amid real political tensions in April 2026.
While the image references real events such as the "Linda Mwananchi" rally held in Kisumu on April 26, 2026...
Controversial Zimbabwean businessman and socialite Wicknell Chivayo shares photos visiting President William Ruto at State House on Tuesday.
"As always, I was treated to a WARM reception that never ceases to humble me. There is something deeply fulfilling about being afforded time within the...
Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku.
Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar.
Yaliyotokea 29 Oktoba 2025, yalifanya niamini kauli ya William Lukuvi.
Aliwahi kusema kwamba hatuwezi...
Karibu miaka 20 kasoro sikuchacke, tangu afariki, kumbukumbu za TX Moshi William bado zinaishi kwa mashabiki wa muziki wa dansi. Umaarufu wake ulijengwa na tungo zenye maudhui yenye mafunzo kwa jamii, zilizompa heshima kubwa katika maisha yake ya muziki.
Alizaliwa mwaka 1958 Korogwe, Tanga kwa...
Tangu jana hadi leo nimesoma humu hoja mbalimbali kuhusu wale "Wakatoliki" walioandamana kwenda Ubalozi wa Vatican. Nikajifunza, nikaacha niliyojifunza, halafu nikajifunza tena. Natangaza maslahi: Mimi si Mkatoliki, na sifikiri kama nitakuwa Mkatoliki baada ya leo. Nafanya tu analysis ya kawaida...
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge.
Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.
Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.
Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania...
Uchambuzi wa Kisiasa wa William Ruto: Msururu wa Usaliti?
Maisha ya kisiasa ya William Ruto nchini Kenya yamekuwa na alama ya miungano ya kimkakati na migogoro mikubwa ya kisiasa, mara nyingi ikitafsiriwa kama usaliti kwa wale waliokuwa washirika wake. Hapa chini ni uchambuzi wa jinsi vitendo...
https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg
https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7
#Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
baada
kauli
kenya
kutoa
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
rais william ruto
ruto
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
wakenya
williamwilliam ruto
Mwanzoni mwa miaka ya sabini kulikuwa na Bendi inaitwa Jamhuri Jazz pale Tanga ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa sana na Atomic Jazz. Bendi hiyo ilianzishwa na ndugu wawili: William Kinyonga, na George Kinyonga. Baadaye walimshirikisha mdogo wao Wilison Kinyonga na rafiki yao Omari Shabani...
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya...
LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v
"Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia.
Lakini sasa... INATOSHA!"
William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu kwa muda mrefu katika siasa za Tanzania. Alichaguliwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza mwaka 1995 –...
Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali.
Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.