N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua.
Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Maswa, Joseph Timothy Kaare, anakabiliwa na malalamiko yanayodai kuwa amekuwa akiendesha shughuli za baraza hilo kwa kutumia maamuzi binafsi yanayokiuka taratibu na miongozo ya Serikali.
Baraza hilo, ambalo lipo chini ya Wizara ya Ardhi...
Nguvu ya Siri: Kwa Nini Ukimya Ndio Silaha Kubwa Zaidi Kwenye Mifarakano?
Fumba macho sekunde moja. Fikiria uko katikati ya mabishano makali. Joto limepanda, nyuso zimebadilika rangi, na maneno makali yanarushwa hewani kama risasi. Katika mazingira hayo, silaha yako ya kwanza kabisa inayokuja...
Wasalaam, Hivi ndivyo alivyofanya David Kafulila chuo kikuu cha DODOMA, amefafanua jambo moja baada ya jingine kwa kina, Soma mpaka mwisho l,
===
1. $1 Trilioni Club inawezekana
Historia inatufundisha: Korea Kusini ilitoka uchumi wa ∼$90-100 bilioni → $1+ trilioni ndani ya miaka 25. Mwaka 1995...
1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ?
2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo !
3.fedha za kwalipa waamuzi wanazitoa wapi wakati wameshindwa kuto tuzo za mwaka jana ?
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO
Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku...
Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya.
Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais...
Tumsifu Yesu Kristu, AsalamAleykum Warramatulahi Wabaraktuh
NAONA ziara za Mtakatifu Papa Leo akidhuru Barani afrika, hata ameweza kwenda Cameroon ambapo rais wake ana miaka 90 na Bado ni rais(dikteta), Cameroon ambayo wananchi wamegawanyika, ila amekwenda.
Swali la kujiuliza, kwanini...
Wanatuita magaidi, lakini wao ndio magaidi halisi. Wanachinja mtu yeyote, popote, wakati wowote wanapotaka, na kisha wanazungumzia haki za binadamu. Aibu kwao."
Rais wa Iran
Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau:
Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio.
Waliondoka chuo kwa sababu:
Tayari walikuwa na ujuzi maalum
Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua
Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao
Tayari walikuwa na connections nzito za...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa.
Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au wazamiaji/Wahamiaji haramu, waliokuwa wakinyemelea kwa kujificha ni kama walikuwa wanakatiza mpaka wa Nchi au...
Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi hadhi ya elimu ya juu, wala misingi ya haki na taaluma.
1. Matokeo (SAP, SUPP na Appeals)
Kumekuwa na...
Tunaona magari ya serikali yanayoonekana wazi kabisa kuwa mapya Prado za 2024/2025 lakini yanatembea na namba za usajili za zamani za miaka ya 2000, mfano T 220 ATZ.
Hii ni akili ya kawaida au ni dharau kwa jamii?
Je, serikali haijui kuwa mfuatano wa namba unaendana na mwaka wa usajili? Au...
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika
Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
anafanya
dar
dar es salaam
genocide
hii
hotuba
hotuba ya rais samia
kazi
kitima
kitu
kusikiliza
majangili
mass killings
nzito
rc chalamila
taarabu
taifa
taifa letu
wakati
wanawake
wanawake wa dar
wazee
wazee wa dar
GT
Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jamaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers.
Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya kipumbavu sana engineered from the system maana serikali ipo kimya pamoja na upumbavu unaoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.