kufanya maamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ukitaka kufanya maamuzi magumu

    Wakuu ni mambo gani unapaswa kuzingatia ukitaka kufanya maamuzi magumu Kwenye kazi Mahusiano Biashara nk?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ni Jasusi Mbobevu na Ndio Maana Amekuwa na Utulivu Mkubwa Wa Ulimi Kabla ya Kufanya Maamuzi na Kutoa Maneno Kinywani Mwake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Ni Jasusi Mbobevu aliyepikwa na kupikika. Ameiva na kukomaa kisawasawa. Ndio Sababu ya Kuona akiwa mtulivu sana katika Ulimi wake na katika Kufanya Maamuzi ya aina yoyote ile Kama Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyojificha katika kufanya maamuzi kwa wakati sahihi

    Kuna maamuzi huwa tunachelewa sana kuyafanya au hatuyafanyi kabisa bila kujua kwamba ndio yamebeba hatma ya maisha yetu kwa kiasi kikubwa. The moment ukifanikiwa kuyafanya unajikuta “milango” ya mafanikio inafunguka kwa namna ya pekee sana unabaki unajiuliza kwanini ulichelewa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga km 20 nje ya jiji au manispaa kwenye mji mdogo, utulivu ni wa muhimu

    Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapoteza fursa kwa kuwa wazito ktk kufanya maamuzi ya ki Biashara/ mapenzi

    Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  7. Kishoka1

    JamiiForums Tanzania Napitia wakati mgumu mno kufanya maamuzi ya ujenzi

    Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili angalau nijistili na familia yangu Sasa changamoto mimi ni mgeni wa masuala ya ujenzi..nimeleta uzi...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?

    Katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taarifa kuhusu wagombea husambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, si taarifa zote ni sahihi; nyingine huenezwa bila uhakika na mara nyingine unaweza kukutana na habari zinazopingana kuhusu mgombea mmoja. Hali hii huwafanya wananchi...
  9. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni nyakati za kufanya maamuzi haya?

    Katika historia mwanadamu Kila kipindi cha wakati ni muhimu kufanya maamuzi sahihi, kama unataka uwe sahihi zaidi unaweza kuomba ushauri Kwa watu sahihi ili kufikia utimamu Kwa Asilimia kubwa katika usahihi wako, unapokosea lazima wakati ukuhumu na utabaki na hatia au uharibifu wa wakati...
  12. kaputula

    JamiiForums Tanzania Eti mtu anasifu mama kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam ni mfano wa uwezo kufanya maamuzi magumu.

    Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Vijana wa bongo, Tuishi kwa kuendana na hali halisia ya maisha yetu vinginevyo tunajitia katika maisha ya stress au kufanya maamuzi yatakayo tucost.

    Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu. Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho. Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc. Sawa...
  16. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi pekee zinaiwezesha Jamii kufanya Maamuzi sahihi, thibitisha uhalisia wa Taarifa unazopokea kabla ya kuziamini na kuzisambaza

    Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati. Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unashiriki kufanya maamuzi kwenye masuala ya kisiasa au ni timu kulalamika tu kwenye kila kitu?

    Wakuu, Tunajua ili mambo yabadilike lazima tuoneshe panapovuja lakini pia kushiriki kwenye kuboresha sehemu hiyo kwa namna mbalimbali. Mfano unaona kiongozi hafai unashiriki kwenye uchaguzi kuchagua kingozi bora, unakuta sehemu kumeharibika kwa mfano julisha mamlaka husika sehemu yenye...
Back
Top Bottom