wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Msiogope, ni wanandoa au wapenzi wachache sana huwa wanauana

    Tanzania mauaji kati ya wanandoa, wapenzi au ndugu wa karibu kwa mwaka ni kama watu 300 tu nchi nzima, hiyo ni sawa na wastani watu 10 tu kwa mkoa mmoja kwa mwaka mzima. Ukiangalia takwimu hili ni jambo ambalo hata halipaswi kusumbua kichwa na kusababisha vijana na watu wazima kuandika nyaraka...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tungependa kutambulisha rasmi suluhisho na bidhaa yetu ya Jamiisound kwa wadau na wapenzi wa muziki na mashabiki

    Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković. Wapenzi wa kuanzia chekechea,shule, chuo

    Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković, walikuwa miongoni mwa wanandoa wenye nguvu, ushawishi na vituko vingi zaidi katika historia ya kisiasa ya Ulaya. Mke wake alijulikana kama "Lady Macbeth wa Balkan" kutokana na jinsi alivyomtawala na...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aliomba Iphone kwa wapenzi wake 20, kisha akaziuza na kununua nyumba

    Mwanamke mmoja nchini China, aliyetambulishwa kwa jina bandia la Xiaoli, alizua gumzo mtandaoni mwaka 2016 baada ya kuripotiwa kuwa aliwaomba kila mmoja wa wapenzi wake 20 kumnunulia simu aina ya iPhone 7. Kwa mujibu wa ripoti zilizochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari wakati huo, Xiaoli...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Volvo, Wamewaletea SUV ya Umeme, EX60!

    Kama ushawahi zielewa Volvo XC60 SUV, nadhani utaipenda hii EV ya Volvo, EX60. Ipo kwenye Platform ya Volvo SPA 3, kwahiyo inashare na best selling Volvo EV Polestar 7, na zinakuja either RWD yenye motor moja nyuma (560 HP) au AWD yenye motor mbili, moja matajiri ya nyuma na nyingine mbele...
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asema 'Single moms' wanaharibu wigo wa uchaguzi wa wapenzi au soko la wachumba (dating pool).

    Mwanamke mmoja aliulizwa swali na muandishi wa habari mwanamke kama ifuatavyo ifuatavyo: Muandishi: Unafikiri siku hizi ni nani mwenye tatizo zaidi linapokuja suala la uchumba na mahusiano—wanaume au wanawake? Wote? Mgeni: Nadhani ni akina mama wasio na waume(single moms). Muandishi: Nini...
  7. baloziwamitaa_

    JamiiForums Tanzania Playlist ya Bongofleva kwa Wapenzi wa Safari

    Takribani miaka 30 ya muziki wa Bongofleva, imekuwa wazi kwamba muziki, maisha na safari huenda sambamba. Nyimbo hutengeneza kumbukumbu za kipekee zinazohusishwa na maeneo, hali ya hewa, mandhari na matukio tuliyokutana nayo safarini. Zinapounganishwa na hisia zetu za kuona na kunusa, huacha...
  8. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Drafti la kibongo tukutane hapa. Uje na copy yako uambulie kichapo

    Salaam, Wakuu tukutane kijiwe cha drafti hapa: Kama kawaida mimi nipo kijiweni. Game langu ni dakika tatu (3) zikizidi tano (5) tu sitaki anayesinzia. Ingia hapa create akaunti yako dakika moja chap kisha tuanze mtanange. https://www.playok.com/en/tzdraughts/#
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu ya kumpokea M/Kiti wa chama Taifa Mh Tundu A. M. Lissu kwa wana CHADEMA wote, wafuasi na wapenzi toka gereza la Ukonga - DSM

    Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach 1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ukianza kufikiria ma-ex ambao mwenza wako ametembea nao, inaweza kuua ndoa yako

    Ukimuoa mwanamke mwenye umri wa miaka 27 hadi 30, na ukichukulia kuwa alianza mahusiano ya kimapenzi akiwa na miaka 18, kisha akawa na wastani wa wapenzi watatu kila mwaka, hesabu zinaweza kuonesha kuwa amewahi kuwa na mahusiano na watu kadhaa kabla ya ndoa. Kwa mfano, ndani ya kipindi hicho...
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

    Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Ureno kombe la dunia tufahamiane hapa!

    Huu ndiyo wakati muafaka wa Ureno kubeba kombe la dunia. Ina vipaji lukuki na bado wanaye veteran CR7 wa kuwahamasisha ndani ya uwanja! Bila shaka haya yatakuwa mashindano ya mwisho CR7 kushiriki kombe la dunia kama mchezaji! Mashindano yajayo atakuwa na miaka 45!! Nadhani baada ya Euro 2028...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mashindano ya Pikipiki, mnaangaliaga “Isle of Man TT”? Mashindano ya vyombo vya moto ya Hatari zaidi Duniani!

    Ikija kwenye mashindano ya vyombo vya moto, hii Isle Man TT ndio deadliest motorsport event. Toka ianzishwe 1911 ishaondoka na maisha ya riders zaidi ya 260. Ni event ya mashindano ya superbikes inayofanyika mara moja kwa mwaka, mwezi wa tano au wa sita (huu mwaka imefanyika wa sita), katika...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Good News kwa Wapenzi wa SUV: Mitsubishi wametangaza kurudi kwa Gari yao pendwa PAJERO!

    Leo Tar 29 May, officially Mitsubishi wametangaza ujio wa SUV yao pendwa Pajero, baada ya kuisitisha mwaka 2021 ilipokua 5th generation. Kwahiyo Pajero 6th Gen inakuja mwaka huu 2026, na wamefanya teaser kidogo sana bila kusema sifa za gari. Ikumbukwe Pajero ilianza mwaka 1982 na zimeuzwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Nipeni 2.5m bila discount wakuu niwe nimekula hasara ya 1.1m ndani ya mwezi Pikipiki ni Honda ace 150, cc150 Ipo Mbarali mbeya Pikipiki ni mpya namba yake ni FRD.... Imetembea jumla kilometa 380 Nzuri Kwa kufanya boda, maeneo yenye Barabara mbovu ,matumizi binafsi, kubeba mizigo mizito n.k...
  17. Anana_

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wapenzi kuvujisha faragha baada ya kuachana ni akili au upumbavu?

    Salaam JF tuwe makini hili linaweza kumkuta yoyote. Kumekua na tabia ya baadhi wapenzi baada ya kuachana huvujisha faragha zao kama voice, picha au video walizoshiriki wakati wa mahaba motomoto na kuzua taharuki. Uenda usababishwa na mihemko, hasira au kukomoana. Nini kifanyie kukemea hii...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Aah! nimepenyezewa hapa, wanaume wenye sura personal wanatumia gharama kubwa kuwapata wapenzi kuliko sisi ma-Handsome

    Kama Handsome boy atatumia $1, bas mwenye sura ngumu/personal atatumia $600 hadi -800 katika huduma ili kumshawishi msupa, pia wanaume hao hutumia hadi Tani moja ya perfume na lotion ili wanukie vizuri na kuwavutia wanawake. Kwa wale ma handsome, napenda niseme, tuko vizuri sana na mambo kwtu...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

    Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi mashabiki na wapenzi wa Donald Trump wako sawa kichwani?

    Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu. Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na...
Back
Top Bottom