chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania TCU ni lazima Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu kinachomilikiwa na Kanisa awe Mchungaji au Padre? Basi wawadahili wanafunzi ambao ni waumini wao tu!

    Nchi hii linapokuja suala la maslahi watu wanaanza kujipendelea, kubagua wengine. Kwanini VC ambaye ndiye mtendaji mkuu wa University inayomilikiwa na taasisi ya dini fulani lazima we aidha mchungaji au padre wa kanisa husika? Tena nchi hii viongozi wasipoangalia itavunjika vipande vipande...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Harvest Mission chamtunuku PhD Mchungaji Mstaafu Samwel Mwahalende

    MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii. Akizungumza muda...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Km kuna wafanyakazi wananyanyaswa ni sekta binafsi na serikali imewatelekeza! Mfano VC wa Chuo Kikuu Makumira ni mtu katili, mnyanyasaji, mbaguzi

    Wafanyakazi wa taasisi binafsi ni km watoto yatima tu. Anzia utaratibu wa mifuko ya hifadhi za jamii(NSSF) wao wanakatwa 10% mwajiri anachangia 10%, PSSSF wafanyakazi wanakatwa 5% mwajiri(serikali) anachangia 15%. Siku ya mafao mwajiriwa wa sekta binafsi anapewa 35% ya mkupuo wakati wa serikali...
  6. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini walimu watoto wao wasisome bure chuo kikuu yaani isiwe mkopo.

    Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila...
  7. fikiricodes

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

    Habari Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika. Tumepiga namba za simu za UDOM SUPPORT 0752811050, 0734986486, 0752550837, 0734986490 na 0752994657...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Takwimu za CIA zinavyopotosha: Mjadala Chuo Kikuu Cha Lowa na Northwestern University

    https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Aliyedukua tovuti ya Chuo Kikuu aitwa akasome bure

    Huko India Mwanafunzi mmoja amedukua tovuti za vyuo viwili ambavyo aliomba nafasi ya kusoma Degree ya Usalama wa Mtandao (Cyber Security) lakini akakosa kwa kuonekana hana vigezo. Baada ya kunyiwa nafasi aliingia kwenye website zao na kuzihack. Vyuo hivyo ni Indian Institute of Technology...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kuhusu ukiukwaji wa maadili na matumizi mabaya ya madaraka katika chuo kikuu cha Teofile Kisanji Mbeya

    Wanafunzi na baadhi ya walimu katika upande wa afya wanatoa tuhuma dhidi ya viongozi watatu wa chuo ambao ni Liberatus Phillip (Mkuu wa Chuo upande wa Afya), Sylvester Mgeta (Mtathmini Ubora) na John Michael Henry (Mkuu wa Idara ya Famasi), wakidai kuwa wamekuwa wakijihusisha na vitendo...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza hizi nondo za Davidi Kafulila, Chuo Kikuu Sokoine| Wasomi wakubali kuiunga mkono PPP

    https://www.youtube.com/live/0tZ28iNJikE?si=Fr-HSf90EoXhJdOZ https://www.youtube.com/live/0tZ28iNJikE?si=OMrQ446L13zM1XB5 https://www.youtube.com/live/iz5h9hTb690?si=5wxC-dOsPVqByJRr https://www.youtube.com/live/mihmjKJvmhM?si=V7xgubQ80wGWS4tY https://www.youtube.com/live/5iZRGpSdtt4
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video kuonesha vyoo vya majengo yao ni visafi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa documentary fupi ambayo inaonesha kuwa suala la changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo ya chuo hicho umefanyiwa kazi na kwamba vyoo ni visafi. Ikumbukwe kuwa mara kadhaa Wadau tofauti wa JamiiForums.com wamekuwa wakidai kuna changamoto ya usafi katika...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Padri Prof. Emmanuel Wabanhu Ateuliwa Kuwa Makamu Mkuu Mpya Wa Chuo Kikuu Cha Mt Agustino Tanzania(SAUT)

    PADRE WABANHU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambaye pia ni Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap, amemteua Padri Profesa Emmanuel...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tangu 2000 Mwanza ilipokuwa jiji la pili kwa watu wengi, uchangiaji wa kodi, wanafunzi, bado serikali haijajenga chuo kikuu kuna kipi kinafichwa?

    Kwanini hadi leo Serikali haijajenga chuo kikuu Mwanza ? Mwanza ni jiji la pili nje ya Dar tangu 2000, Mwanza ni hub ya mikoa ya kanda ya ziwa, eneo lenye idadi kubwa zaidi ya watu nchini Tanzania Mwanza ni jiji la pili kwa watu wengi Mwanza ni jiji la pili kwa wanafunzi wengi wa sekondari...
  15. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wa Chuo cha Kampla - Gongolamoto tunaomba uchunguzi kuhusu usimamizi wa fedha za Serikali ya Wanafunzi

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala, Kampasi ya Gongolamboto, tunaomba mamlaka husika kuchunguza usimamizi wa fedha za Serikali ya Wanafunzi. Kila mwanafunzi huchangia TSh 20,000 kwa mwaka kwa ajili ya shughuli za Serikali ya Wanafunzi. Hata hivyo, fedha hizo zimekuwa zikiwekwa na kusimamiwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu Huria Tanzania (Vituo vya mikoani): Malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi

    Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo. Kwa mfano, kuna vituo vyenye wafanyakazi watatu pekee lakini bado vina Afisa Rasilimali Watu (Human Resources Officer)...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) tumesaini ada bodi ya mikopo mpaka sasa Leo 1-07-2026 hazijawekwa kwenye mfumo wa matokeo

  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa tawi la chuo kikuu MUHAS Mkoani Kigoma wafikia 78.9%

    Kutoka kwenye chanzo cha kuaminika serikali imejenga tawi la chuo kikuu MUHAS mkoani kigoma na umefikia aslimia 78.9 ambapo mwezi wa nane utakamilika rasmi na kuanza kupokea wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi

    https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
Back
Top Bottom