diploma

A diploma is a certificate or deed issued by an educational institution, such as college or university, that testifies that the recipient has successfully completed a particular course of study. The word diploma also refers to an academic award which is given after the completion of study in different courses such as diploma in higher education, diploma in graduation or diploma in post-graduation. Historically, it can also refer to a charter or official document, thus diplomatic, diplomat and diplomacy via the Codex Juris Gentium Diplomaticus.The diploma (as a document certifying a qualification) may also be called a testamur, Latin for "we testify" or "certify" (testari), so called from the word with which the certificate begins; this is commonly used in Australia to refer to the document certifying the award of a degree. Alternatively, this document can simply be referred to as a degree certificate or graduation certificate, or as a parchment. The certificate that a Nobel laureate receives is also called a diploma.
The term diploma is also used in some historical contexts, to refer to documents signed by a King affirming a grant or tenure of specified land and its conditions (see Anglo-Saxon Charters and Diplomatics).

View More On Wikipedia.org
  1. lawi Nehemiah

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums, baada ya msaada changamoto yetu imetatuliwa

    Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums kwa kutupa nafasi ya kuwasilisha changamoto iliyokuwa inawakabili wanafunzi wa Diploma March Intake 2025/2026 – CBE Mwanza, kuhusu matokeo yetu kutopandishwa kwenye mfumo wa NACTVET. Suala hili lilikuwa muhimu sana kwetu, kwani kutokuwepo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Course imeanzishwa mwaka 2025, ya Higher Diploma in Mental Health Nursing, lakini hii course haijulikani kama ipo chini ya NACTE au Wizara

    Kuna kozi ya Higher Diploma in Mental Health Nursing iliyoanzishwa mwaka 2025, lakini hadi sasa haijafahamika wazi kama iko chini ya usimamizi wa NACTE au Wizara husika. Tumejaribu kupata ufafanuzi kutoka kwa wahadhiri wa kozi hiyo, lakini nao hawajatoa majibu ya uhakika kuhusu hatma na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Diploma kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) tunasota kupata AVN Namba kutoka NACTVET

    Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa wanafunzi waliohitimu Diploma, inayowasaidia kuomba mkopo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, mhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine kusoma Bachelor of Procurement and supply chain management (Mzumbe) ina tija kwenye soko la ajira?

    Habari zenu, Mdogo wangu ni muhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine na amechaguliwa Bachelor of Procurement and Supply Chain Management Mzumbe. Wataalamu mbalimbali mnaonaje mchanganyiko huu kwenye soko la ajira?
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Mipango Mwanza hawaja-submit matokeo yangu ya Diploma One

    Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET hawaoni matokeo yangu ya diploma one. Hali hiyo imefanya nimekosa AVN na mpka sasa sijui hatma yangu ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Mdogo wangu amesoma Diploma of Clinical Medicine akapata GPA 2.7, afanyeje kuendelea na masomo bila kurudi nyuma?

    Habari, naombeni ushauri..... Mdogo wangu amesoma Diploma of Clinical Medicine lakini alipata 2.7 GPA badala ya 3 amabyo inamuwezesha kuendelea na Degree yoyote katika course za afya. Kutokana na GPA yake kuwa ndogo, ameshindwa kuendelea na masomo ya juu. Pia chuoni kwake hawaruhusu kurudia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mhitimu wa digrii au diploma ya kodi na bado hujapata ajira wala fursa ya kupata uzoefu wa vitendo, taarifa hii ni kwa ajili yako.

    HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo. Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
  8. Optimists

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

    Lengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini kama Mwalimu bachelor holder, then nikarudi veta kusoma umeme wa magari na kujishikiza kwa mafundi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ajira za higher diploma kweli serikalini

    Wakubwa nataka kujua higher diploma huwekwa kundi lipi wakati wa kuomba ajira serikalini?
  10. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  11. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba).

    Habari za wakati huu wana jamii forum. " Bro, naomba kujua kuhusiana na kozi ya Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba), kuanzia kwenye chuo kizuri kinachotoa hiyo kozi (kwa vitendo zaidi) , nafasi za intern, uhitaji wake katika jamii na upatikanaji wa ajira (serikalini na private)" Naomba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya haya mabadiliko kuwa walimu wenye Diploma kushushwa chini kufundisha Primary school. Nimeamua kwenda University. Na ninabadili kada

    Kada ya ualimu inadharaulika sana. Leo hii shule ya msingi mwalimu anaanzia diploma hakuna cheti tena. Nabadili kada naenda kusoma sheria na nitahakikisha nakuwa wakili. Maisha ya kijijini Kachwamba naachana nayo
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Hili la wanafunzi wa diploma kuvaa sare kama shule za sekondari ni ushamba tu

    Hili la kuvaa sare wanafunzi wa diploma kozi za afya linashusha hadhi ya wanachuo huwezi kujiita mwanachuo huku unavaa masare kama sekondari Mbaya zaidi kuna vyuo vinaagiza wanafunzi waje na majembe na mafyekeo nashindwa kuelewa hivyo ni vyuo au sekondari zilizochangamka?
  15. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Drilling Fluids Specialist, Bachelor's Degree or Diploma in Petroleum Chemistry, Petroleum Engineering, or a related technical field

    We Are Hiring!! Job Opportunity: Drilling Fluids Specialist Availability: Immediate Joiner Employment Type: Full-Time Note: Immediate availability required Oil & Gas field experience is mandatory Job Description: We are seeking an experienced Drilling Fluids Specialist to support drilling...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Diploma Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mwaka 2023 tunazungushwa kupata cheti mpaka leo

    Naomba mnisaidie kupaza sauti kuhusu changamoto inayowakabili wahitimu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), hususan wanafunzi wa Diploma in Adult Education. Mimi ni mwalimu niliye kazini, nilihitimu mwaka 2023 Kampasi ya Bukoba. Hata hivyo, hadi sasa bado sijapatiwa cheti changu cha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wowote wa Ordinary Diploma in medical clinical officers na Diploma in medical clinical officers?

    Naomba kufahamu kama kuna tofauti yoyote kati ya Ordinary Diploma in Medical Clinical Officers na Diploma in Medical Clinical Officers. Pia, je, HESLB inatoa mikopo kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne pekee wanaotaka kusomea kozi za afya?
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye diploma ya forensic science asome kozi gani degree

    Habari za muda huu wakuu Naomba ushauri, mtu mwenye diploma ya forensic science anaweza kusoma degree ipi hasa kama anataka kujikita kwenye uchunguzi wa maiti
  19. U

    JamiiForums Tanzania USHAURI nisome Foundation Course Program au nimalizie Diploma ya Clinical Medicine?

    Habari za muda huu wakuu, bila kuwapotezea muda niende kwenye maada. Mimi ni nina elimu ngazi ya cheti ya utabibu technician certificate in clinical medicine(NTA L5) niliishia hii level kwa sababu niligundua soko la ajira lipo sana kwa ngazi ya certificate ukilinganisha na diploma ambao kwa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

    Habari wanajf. Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania, Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora. So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba itamfaa, ila web ya TASUBA naona haifunguki. Naomba mwenye Orodha ya vyuo vinavyotoa kozi zinahusiana...
Back
Top Bottom