sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Ukosefu wa Maji Shule ya Sekondari Bombambili

    Shule ya Sekondari Bombambili iliyopo kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita, Mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji unaoathiri usalama wa wanafunzi ilihali maji ya GEUWASA yanapatikana 400m tu kutoka shule ilipo. Ukosefu huu wa maji umesababisha uchafu uliokithiri wa vyoo vya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  3. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari wamegoma kupokea maagizo ya wizara ya elimu, waendeleza unyanyasaji kwa mwanafunzi na mzazi wake

    Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi. UZI: MAMA ALAZIMISHWA KUSAINI BARUA YA MTOTO WAKE KUACHA SHULE Jumatatu tulifanikiwa kuwapigia simu...
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari: Mtoto alazimishwa kuandika barua ya kuacha shule, mzazi atolewa nje

    Habari wanajamii? Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule. Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongoro - Bunda Vijijini amefariki yadaiwa ni baada ya kuchapwa na Walimu 30

    Kuna Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro iliyopo mkoani Mara - Bunda Vijijini kachapwa viboko na Walimu takribani 30 mpaka amefariki Dunia, tukio limetokea SaaSaba Mchana Agosti 19, 2026. Jeshi la Polisi latoa tamko ~ RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki...
  6. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Kirima sekondari wapewa elimu ya kujitembua,kupiga vita vitendo vya ukatiri wa kijinsia ,afya na elimu

    Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa na maarifa muhimu katika maeneo ya taaluma, afya, kujitambua pamoja na kupinga na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Nsongwi Juu - Mbeya Vijijini imekuwa na changamoto ya utawala mbovu

    Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika mpaka kwa Afisa Elimu Kata na Afisa Elimu Wilaya lakini hazitatuliwi, sasa hatujui shida ni nini...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi idara ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Ushetu, tunahisi kutengwa

    Katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, watumishi wa Idara ya Elimu Sekondari tunahamishwa kwenda vituo vipya bila kupewa stahiki zetu, huku tukilazimishwa kuripoti katika maeneo mapya. Wakati huohuo, watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wanaonekana kupata malipo ya stahiki zao kwa wakati. Hali...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Idara ya Sekondari Tarime hatujalipwa fedha za likizo

    Watumishi katika Idara ya Sekondari ya Halmashauri ya Tarime Vijijini hatujalipwa fedha za likizo kwa wakati na kwa viwango vinavyostahili. Baadhi ya watumishi bado wana madai ya fedha za likizo za miaka iliyopita bila kupatiwa ufumbuzi. Wakati mwingine malipo yanapotolewa, hayalingani na kiasi...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nimekariri watemi kina Nyatsimba Mutota nikiwa sekondari sijaona msaada wake, ama kweli nilipoteza muda

    Nakumbuka nilikariri hadi matarehe ya vita zao lakini hadi sasa najuta nilipoteza sana muda. Muda huo heri ningejifunzaga hata kupalilia matuta ya kunipa chakula Muda huo heri ningejifunzaga hata kupika nizijue survival skills Muda huo heri ningejifunzaga kunyoa nijifunze mbinu za kujiingizi kipato
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Ushetu Idara ya Elimu ya Sekondari wanachelewesha sana fedha za uhamisho

    Watumishi wa Idara ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu wanaendelea kukumbwa na ucheleweshaji wa malipo ya fedha za uhamisho. Licha ya kupewa ahadi mara kwa mara kuwa malipo yatafanyika, hadi sasa hakuna utekelezaji. Kinachozua maswali ni kwamba watumishi tuliopangiwa uhamisho...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko dhidi ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Kwalakamu kuhusu tuhuma za ukiukwaji wa taratibu za uongozi

    Mimi ni mdau wa elimu na ninaomba utambulisho wangu ubaki kuwa siri kwa sababu za usalama. Naomba mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kina kuhusu mwenendo wa Mkuu wa shule huyu kutokana na tuhuma zifuatazo: Matumizi mabaya ya fedha za umma: Inadaiwa hutumia fedha za shule bila idhini ya vikao...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Una mpango wa kurudi kuwasalimia Walimu wako wa Primary na Sekondari au ndiyo basi ishapita NO shobo tena?

    kila mtu anajua hili kuna walimu walituvumilia sana mpaka tukafika hapa tulipo leo. Lakini wengi wetu tukishamaliza shule hatukanyagi tena hata kwenda kusema Asante mwalimu. Je, wewe una mpango wa siku moja kurudi kuwasalimia walimu wako wa primary na sekondari, au unaona muda umeshapita na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, ni Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada?

    Tafsiri halisi ya malipo haya ni ipi? Je, ni kwamba Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada, au shule zimebaini kuwa fedha zinazotolewa hazitoshelezi mahitaji ya uendeshaji na utoaji wa elimu bora, hivyo zimelazimika kutafuta njia mbadala za kuziba pengo...
  16. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Sekondari Mchungaji Mwema: Walimu, Mishahara na Utawala

    KERO Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya 1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira yao Kwa mujibu wa SHERIA. 2. Mishahara ya kusuasua Kwa WAFANYAKAZI na kulipwa kinyume na SHERIA...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nissan Bluebird na Altima ni kama wale Mademu waliokuaga Wabovu Kipindi Mpo Sekondari ila sahivi Hatari…

    Bluebird aka Sentra then (2000s): Bluebird now (2020s) Nissan Altima enzi izo (2000s): Altima ya sasa (2020s): Hii ni ukumbusho, usimchukulie mtu poa, hujui kesho yake!
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mlangarini Sekondari (Arusha) mnazuia Vyeti vya Wanafunzi kwa Sheria au Kanuni ipi?

    Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo lililotokea baada ya watoto kumaliza masomo yao. Kinachonisikitisha ni kwamba, kuna wanafunzi 21 tu...
  20. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongera sana mkuu wa shule ya sekondari Dkt. Nchimbi kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari halmashauri ya Bunda-mji

    Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini. Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
Back
Top Bottom