ujao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Chama ni mtego kwa Simba msimu ujao

    Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo. Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli. Hivi timu kubwa km Simba ni yakukaa na kuwa wanafurahia magoli ya wachezaji wao?? Turudi kwa kiwango cha chama...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2026/2027

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munich. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu ujao club bingwa boresheni point zenu walau zifike 9 sasa tumechoka

    Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali mara mbili mtwalia. Kwa hivyo msimu ujao uongozi wa yanga nafikili Hilo nao pia...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Serikalini hakuna mwenye akili angalia Press ya Msigwa muda mchache ujao

    Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa. Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu. Tuhuma...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo kwenye uchaguzi ujao CCM inapambana na CCM B, itakuwaje kama Samia atabwagwa?

    Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Cadillac kuingia Formula 1 GP kuanzia msimu ujao wa 2026. Kwa kuanza, watatumia engine za Ferrari.

    Wazee, kuna hii habari nzuri kwa wapenzi wa Formula 1. Tumezoea kuona team 10 kwenye F1 Grand Prix, ila kuanzia mwakani 2026 zitakua 11 ikiongezeka ya Cadillac, ilio chini ya General Motors (GM), Ila watatumia power unit na gearbox kutoka kwa Ferrari. Habari nzuri haijaishia hapa, ila ni...
  7. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔. 🔰 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐌𝐓𝐎𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐔𝐌𝐄𝐅𝐈𝐊𝐀 🤩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchi🔰.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Kwa elfu 45 tu mwananchi 💚💛
  8. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  9. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mkakati wa kisheria na kisiasa kwa ajili ya uchaguzi ujao 2025

    Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema: “Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura tusichague wacheza kamari uchaguzi ujao, watoto wetu wanaathirika

    Kamari zimetapakaa hadi kwenye vitongoji vya vijijini kila mahali penye umeme nchini. Redio zote kuanzia za umma na watu binafsi zote ni kamari tu. Kijijini nimeshuhudia kijana kauawa kwenye dubwi kwa kugombea TSH 4000 tu wakati wakibishana juu ya nani amekula, ni za nani. Wanafunzi wanabet...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mbeba maono wa Simba SC kuelekea msimu ujao 2025/26

    Wakuu, Ngungu kama ngungu, maono ya simba sc yamebebwa na huyu mwamba, ukimuangalia tu kwa jicho la kawaida unaona kabisa ni tapeli pamoja na jopo lake lote. Nadiriki kusema, kama huyu mwamba pamoja na jopo lake hawatong’atuka simba sc, ni vilio tena. Kwanza wapinzani wao wanawamudu. Kugungwa...
  12. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kuelekea msimu ujao wanasiasa mkae mbali na mpira wa Tanzania: Yanga ni wanufaika wakubwa na upepo huu wa siasa

    A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba. Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi ujao ungekuwa halali bifu za Samia na wenzake zingesaidia au kuiumiza CCM?

    Tangu aingie madarakani, rais Samia Suluhu Hassan amekuwa na bifu na baadhi ya wanachama wenzake. Alianza na Job Ndugai spika wa zamani wa bunge letu. Baadaye, akafuatia Dk Bashiru Ally akiwakilisha kile kilichokuja kujulikana kama Sukuma gang. Juzi alianza bifu na Josephat Gwajima kidhabu...
  15. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  16. C

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao TFF idhibiti vikali mechi za mipango katika ligi yetu

    Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars. Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao hauna maana kwa haya ninayoyaona mitaani

    Huku mitaani kuna viongozi wa CCM wanatembea na mafungu ya vitambulisho vipya vya wapiga kura, vitambulisho hivi ni vinavyotengenezwa kinyume na utaratibu na siyo kutengenezewa, hapa mamlaka husika na vitambulisho zinahusika.
  18. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuelekeza wafuasi wao kuwapigia CCM kura Uchaguzi ujao!

    Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini. Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

    Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje. Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao. Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu inapigia promo uchaguzi wetu ujao kufuatiliwa kimataifa na kutegewa sikio na inamsogeza Lissu karibu na Ikulu

    Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
Back
Top Bottom