said mtanda

Said Mussa Zubeir (born 25 June 1969) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Fuoni constituency since 2010.Said Zubeir is also the head of the salsa family in Zanzibar, he and his wife Salama Issa Ahmed are the founders of the Salsa family and Salsa upto date. Said Zubeir and Salama Issa were married in 1991 in Zanzibar Tanzania. They have a family there which is known as the Salsa family which consist of two parents Said Zubeir, Salama Issa and five children Maryam, Iknut, Fereij and their twins brother and sister Salma and Sleiyum in Zanzibar.
Salsa family owns the Salsa up to date company in Zanzibar, misk shops in Zanzibar and misk goods transportation agencies in East Africa. Salsa family's net worth is 4.8 million USD.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda: Ni kweli Wachezaji wa PAMBA JIJI wanadai malipo ya mishahara, watalipwa soon, nimewatafutia mshahara wa mwezi mmoja kwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua ukweli kuhusu madai ya wachezaji wa timu ya Pamba Jiji FC kutolipwa mishahara yao ya miezi mitatu na tetesi za wao kugoma kuingia uwanjani. Hoja ya awali ~ Wachezaji Pamba Jiji kususia Mechi ya mwisho wa Ligi Kuu sababu hawajalipwa kwa miezi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda: Mkandarasi anayejenga Soko la Kirumba - CHINA RAILWAY GROUP ameanza kuingiza malipo ya NSSF ya Watumishi wake

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums aliyelezea kuwa Mkandarasi raia wa China anayejenga soko hilo hawasilishi michango ya Wafanyakazi wake katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Mtaka amesema “Ukweli ni kuwa kampuni hii tangu kusajiliwa na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda aagiza NSSF kufuatilia madai ya michango ya wafanyakazi wanaojenga Soko la Kirumba kutowasilishwa kwao

    Baada ya Mdau kuwasilisha kero yake kupitia JamiiForums kuwa licha ya kuwa wanakatwa pesa kwaajili ya mfuko wa hifadhi ya Jamii (NSSF), michango yao haifikishwi, na hata walioachishwa kazi nao hali yao ilikuwa hivyo na kuitaka mamlaka husika kufuatilia, RC Mtanda ametoa maagizo. Pia soma KERO -...
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania HOJA RC Mwanza, Said Mtanda, Kwa Huu Ukosefu wa Maji Wiki Zaidi ya 2 Hustahili Kuendelea Kuwa Kazini. Wajibika

    Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne. RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Said Mtanda: Dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, ni pande mbili za sarafu moja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amesisitiza kuwa dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, akizitaja kuwa ni pande mbili za sarafu moja. Akizungumza jana, Machi 4, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) nchini Tanzania, Mtanda...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtanda asisitiza amani kuelekea uchaguzi mkuu

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa wito kwa wafanyakazi nchini kuhakikisha wanadumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu, akisema amani ni nguzo muhimu ya upatikanaji wa haki na ustawi wa jamii. Mtanda ametoa kauli hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC wa Mwanza Said Mtanda: Ambao hamkujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura msijali, zoezi litarudiwa

    Wakuu, Nikadhani zoezi la wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura lilikuwa limeshaisha. Naona leo RC kajitokeza kuja kuisemea tume! Akiwa anazungmza hivi karibun Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema kuwa wananchi ambao hawakupata nafasi ya kujianfikisha mara ya...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza "ashtushwa" kufungiwa kwa kiwanja cha CCM Kirumba

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, ameshtushwa kwa kufungiwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuuagiza Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza MZFA kuiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kuja kukagua Uwanja na waainishe mapungufu yaliyosababisha Uwanja kufungiwa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda asema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa Sungusungu

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ya Jamhuri ya Muumhano wa Tanzania inalitambua na kuthamini mchango wa Walinzi wa Jadi (Sungusungu) na kuwataka pia kufanya kazi kwa kuzingatia haki, kanuni na sheria za nchi. Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo leo Februari 20, 2025 kwa nyakati...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtanda azungumzia suala la Katibu wa BAVICHA- Mwanza kupotea, asema serikali haina lengo la kumteka yeyote yule

    Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo, Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi "Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana aliyegonga gari la Mkuu wa Mkoa wa Mwanza anunuliwa pikipiki mpya

    Wakuu, Wakati mnaendelea kujadili mchuano kati ya Lissu na Mbowe, viongozi wa CCM wameendelea kutustaajabisha! ================================================= Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amemkabidhi pikipiki mpya kijana Kusana Lumambo, aliyegonga gari la mkuu huyo wa mkoa na...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

    “Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM Una maoni gani?
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Said Mtanda amepwaya Mwanza, impendeze Rais atuletee Kenani Kihongosi ambaye sasa yuko Simiyu

    Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha. Mkoa una...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ukweli kukamatwa kwa Matola, Vurugu walizofanyiwa Simba SC, Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda atajwa kwenye sakata hilo

    PIA SOMA - Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
  15. H

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Soko la Buhongwa, upande ni Soko, upande ni Dampo ndani ya fensi moja. RC Said Mtanda na Waziri Mchengerwa ingilia kati

    Viongozi wa Serikali Mkoa wa Mwanza ebu angalieni Afya na utu wa wananchi wenu. Hivi kweli Wilaya ya Nyamagana tena Jiji kabisa mmekosa sehemu nzuri ya kuwaweka wafanyabiashara wadogo wadogo na machinga wa Buhongwa, hadi mkaamua kuwapeleka kwenye dampo la kumwaga uchafu na taka mlilojenga...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda huwa anatembelea Wilaya za Mkoa wake?

    Mkoa wa Mwanza ni Mkoa wa Kimkakati, ila naona kama Mtanda "anaupoza" sana, anafanya ukuu wa mkoa wa kimangimeza, nilitarajia awe anakula "Misele" Ukerewe, Kwimba, Misungwi, Magu, nilimuona mara moja tu Sengerema akisema yule mama aliyedhulumiwa ardhi na Halmashauri wakaweka makaburi sijui...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Naviachia Vyombo vya Usalama kuchunguza kama nilihusika kwa namna yoyote kwenye tuhuma za ulawiti zinazomkabili Dkt. Nawanda

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameibuka, baada ya Tumsime Ngemela kumtaja alipozungumzia tuhuma za kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahya Nawanda. Tumsime akizungumza na waandishi wa habari jana Julai 5, 2024 jijini Dar es Salaam, alimtuhumu Mtanda kwamba alimshawishi...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

    Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi. Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha...
  19. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Siipendi CCM na watu wake ila Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mara namheshimu sana!

    Huyu kiongozi ana weredi na haiba ya kutosha, ni mfano bora kwangu kiongozi inabidi awe mnyenyekevu asiyependa makuu, SAID MTANDA sio mla rushwa kama amewahi kufanya hilo basi alikuwa hajui kuwa ni mla rushwa. Said Mtanda pokea heshima yako umekuwa mfano bora sana kwangu shida yako ni moja tu...
Back
Top Bottom