Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
Habari wandugu.
Harufu ya UFISADI.
Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika .
Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika
Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu!
Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ili kuboresha huduma za usafiri.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika...
Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi.
Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara.
Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
Nimecheka sanaaa baada ya kusikia stori hiiii
=============
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha, amesimulia kisa cha mwananchi aliyemtaja kwa jina la Sophia, aliyekuwa akimtumia ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu - akimtongoza, licha ya kuonywa mara kadhaa lakini hakuacha...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika:
"Nitakwenda Mahakmani kule Tabora kumtetea Sophia kwa kuwa, kwa mujibu wa sheria siy jinai kwa Sophia kumtongoza Mkuu wa Mkoa."
Ikumbukwe kuwa Septemba 7, 2026, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha wakati...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo wananchi.
Kihongosi amesema kuwa watu wanaodai kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ametangaza kufutwa kwa zoezi la usafi lililokuwa likifanyika kila Jumamosi katika Mkoa wa Dodoma.
Akizungumza katika tukio hilo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema hatua hiyo imechukuliwa kutokana na sababu mbalimbali, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kutunza...
Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania
Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH.
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh,
Nawasilisha barua hii nikiwa kama mmoja wa Waislamu anayejali kwa dhati heshima ya...
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango.
Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma:
1. Mafunzo na...
TAARIFA KWA UMMA
Kumejitokeza shutma zilizotolewa na wazazi na walezi kuhusu malipo ya wanafunzi walioshiriki katika halaiki ya uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026. Shutma hizo zinadai kuwa kila mwanafunzi anastahiki kulipwa Shilingi laki tatu (300,000) kwa kila mmoja.
Baada ya...
Kuongoza mkoa Hasa UKIWA umetoka vyama vya upinzania usipotuliza komwe utapigwa sana za uso mwishowe utadodonkea pia pwaa!
Kwini wa Manyara inawezekana akawa the valueless mkuu wa mikoa katika ya wakuu WA mikoa nchini Tanzania.
Ni mkuu wa mkoa ambae alikuwa kila siku yupo mitandaoni na maneno...
https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs
Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi.
Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa).
Meja...
Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM?
Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani?
Umepewa bilioni mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.