Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.
Mheshimiwa Dr Bashe ametoa siku 6 kwa Afrika Kusini na Malawi kufuta marufuku Yao ya kutoruhusu bidhaa za kilimo toka Tanzania kuingia Afrika Kusini.
Maswali ya kujiuliza
1. Ujasiri huu kautoa wapi?
2. Hivi Waziri Kilimo wa Tanzania amewahi kufika Afrika Kusini na kuona sekta ya kilimo huko au...
Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.
====
Salaam Ndugu zangu
Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani.
CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu.
Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao...
Wananchi wa Naipanga, jimbo la Nachingwea wasimamisha msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu uliokuwa unaelekea Masasi. Mwenyekiti akasimama kuwasalimia wananchi hao.
#NoReformsNoElection
Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
Hii ni picha ya Wazulu wa Malawi, inayoitwa "Ngoni." Wanazungumza na kutekeleza lugha na utamaduni wa Kizulu na kufuatilia asili yao hadi KwaZulu. Sote tunawafahamu Wandebele (Wazulu wa Zimbabwe), lakini Wazulu wanapatikana kote Afrika Mashariki, katika nchi kama Malawi, Zambia, Msumbiji, hata...
Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣.
Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi!
Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo.
Halafu kuna hii hoja ya...
Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana.
So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM.
#NoReformsNoElection
Picha hapa...
Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo.
Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump.
Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani...
Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota baada ya rais Donald Trump kusitisha msaada kwa nchi hiyo, akielezea kutoridhika na serikali ya Afrika Kusini kupitisha sheria mpya kuhusu ardhi, na hivi majuzi tu, Marekani ilimfukuza Balozi wa Afrika Kusini nchini...
Habari za wakati huu members wa jf
Nina swali kidogo
Je ni kwanini magari mengi kutoka afrika kusini ambayo nimeyaona au kuja hapa tanzania ni magari kutoka jimba la Gauteng police (GP) na siyo majimbo mengine
Na ikiwa kila jimbo lina plate number yake?
Ikiwa umewahi kuyaona weka evidence
Wanaukumbi.
🚨🇺🇸🇿🇦 MAREKANI YAMFUKUZA BALOZI WA AFRIKA KUSINI KATIKA MGOGORO WA KIDIPLOMASIA
Waziri wa Mambo ya Nje Rubio amemfukuza rasmi balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool, akimtaja kuwa "mwanasiasa mbabe" ambaye "anachukia Marekani na Rais Donald Trump."
Katibu Rubio...
Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani na kumwelezea kuwa ni mtu asiyekubalika Marekani.
Chief Secretary wa Marekani, Marco Rubio amesema kuwa Balozi Ebrahim Rasool wa Afrika Kusini, ni mtu anayeendekeza siasa za ubaguzi wa rangi, na anayemchukia Rais Trump, na kwamba...
Wakati SADC ikikubaliana kuondoa majeshi yake nchini DRC,
Uongozi wa Saouth Afrika waanza kuandaa mazungumzo na kundi la M23. Mazungumzo haya,ni baada ya kuahidi uongozi wa South Afrika kuwa,wanajeshi wake wakijisikia kutembea mjini Goma,wanaruhusiwa,ila, bila silaha.
Changamoto kubwa upande...
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba.
Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
Tanzania na Afrika Kusini kukuza wigo wa Ushirikiano
Tanzania na Afrika Kusini zinatazamia kukuza wigo wa ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati kwa manufaa wananchi wa pande zote mbili.
Hayo yanesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga.
Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.