maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCU: Oktoba 6, 2026 tutatangaza utaratibu maalumu kwa waliokwama kutuma maombi ya udahili

    TAARIFA KWA WAOMBAJI WALIOSHINDWA KUTUMA MAOMBI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imepokea maombi kutoka kwa baadhi ya waombaji wa udahili, hususan wenye sifa za Stashahada ambao kutokana na kuchelewa kupata Namba za Utambuzi wa Tuzo...
  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wanaosumbuliwa na matatizo mbalimbali

    Nikisema matatizo mbalimbali Namanisha matatizo kama ya kiafya, magonjwa ambayo umezunguka hospital zote madaktari hawaoni tatizo, sijui UKIMWI, magonjwa ya kansa, magonjwa ya hatari hatari, mengine ya Siri, pia mambo ya kiroho, kusumbuliwa na vitu vya ajabu ajabu, familia inapitia ama...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unanunua nguo maalumu za kulalia ili iweje?

    Wakuu, Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha. Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje? Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume? Kwa mtoto wa kike...
  4. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa mkusanyiko wa vitabu vya zamani

    Wadau nimeona nianzishe uzi kwaajili ya kumbukumbu zetu. Sisi tuliosoma miongo mitatu iliyopita mtakumbuka baadhi ya vitabu ambavyo vilikuwa na masimulizi ya kuvutia yaliyobeba ujumbe kwaajili ya kuibadilisha jamii. Binafsi nilipenda kusoma kitabu cha darasa la 4 kilichojaa hadithi za...
  5. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Tangazo la treni maalumu kwaajili ya nanenane

  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu ya kumpokea M/Kiti wa chama Taifa Mh Tundu A. M. Lissu kwa wana CHADEMA wote, wafuasi na wapenzi toka gereza la Ukonga - DSM

    Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach 1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Omar Ahimiza Wenye Mahitaji Maalumu Kuchangamkia Zabuni za Serikali Kupitia NeST

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wapili kulia), akimkabidhi Mguu wa Bandia mkazi wa Tanga mjini, Bi. Rehema Amour (wa pili kushoto), katika hafla ya Kugawa Miguu Bandia kwa watu wenye mahitaji maalum, iliyoratibiwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Mwanaisha Ulenge...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mazingira ni maalumu kwetu tunaomba yapewe uwakilishi kwa kipekee Bungeni

    Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni sekta muhimu sana Kwa ustawi wa viumbe hai wa Leo na Kesho. Kilimo, Ufugaji, na Uvuvi haviwezi kuleta tija kama Mazingira hayatunzwi na kuhifadhiwa vizuri. Mfano: Tunahitaji mvua Kwaajili ya kupata maji lkn hatuwezi kupata mvua salama Kwa wakati sahihi bila kuwa na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tunaomba uwakilishi maalumu wa mazingira bungeni kwasababu mazingira ni maalumu kwetu na kwavizazi vijavyo

    Lengo letu ni kuwashirikisha watu wengi kama sio wote kwenye majimbo yote. Ili waweze kupewa elimu kuhusu umuhimu wa kutunza na kuhifadhi Mazingira Kwa muda mfupi. Tena tutaweza kuwashirikisha watu wengi kupanda miti na kuigeuza Nchi yetu kuwa ya kijani jambo ambalo litasaidia upatikaji wa mvua...
  10. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Wabunge viti maalumu ni mzigo kwa Taifa

    Bunge la Tanzania lina zaidi ya wabunge 100 wa viti maalumu. Hawa watu mchango wao ni upi kwa Taifa? Nikweli nchi yenye uchumi wa chini kama Tanzania tunahitaji kurundika watu wote hao bungeni? Ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, idadi hiyo ipunguzwe hadi idadi ya wabunge wa viti maalumu...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa maandamano 7/7

    Tunaanzia wapi wazee
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu, MBUNGE Bora wako ni yupi? Mimi ni Baba Levo.

    Mi nshamaliza kwenye title
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo maalumu kwa watumishi wa umma wa bajaji pikipiki na GUTA bila KIANZIO wala mdhamana.

    Hello Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha. Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA. Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
  14. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa TANESCO Kazi Maalumu – Katavi tunacheleweshewa sana mshahara

    Mimi ni mfanyakazi wa TANESCO wa kazi maalumu S.T.E (Specific Task Employee) kutoka Mkoa wa Katavi viongozi wetu wa juu wa Shirika wasikie ujumbe huu ili watusaidie maana tunapitia changamoto ya kucheleweshewa mishahara. Tunapaswa kulipwa kila baada ya siku 10 lakini inapita hata mwezi bila...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mkakati kamambe uanzishwe kuandikisha wanachama wa CHADEMA. Ziundwe timu maalumu kupita nyumba hadi nyumba. Gen Z wawe kipaumbele

    Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili. Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi. Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo maandamano ya kuipinga serikali ambayo haikuchaguliwa na wanannchi yaandaliwe.
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mahojiano maalumu na former U.S secretary of defence general Lloyd James Austin III kuhusu vita vya Israel & U.S dhidi ya Iran

    Mahojiano maalumu na former U.S secretary of defence general Lloyd James Austin III kuhusu vita vya Israel & U.S dhidi ya Iran .Mabadiliko ya mbinu za kisasa kuhusu mapigano ya vita . Je, Iran ni tishio kwa usalama wa Marekani ? .Je, Iran ilikuwa karibu au katika mchakato wa kumiliki silaha...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya jicho la tatu: Namuona Dkt. Asha-Rose Migiro mbali sana , akiwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba na baadae Rais wa Jamhuri yetu

    Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya jicho hili. Katika kuangazia mambo mbalimbali, Leo jicho langu la tatu linamuona Dkt.Asha.rose Migiro...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalumu, Zainab: Siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, Vijana wakitumia mitandao vizuri wanaweza kupata 50,000 kwa siku

    Mbunge Viti Maalumu, Zainab: siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, kama kuwa MC unahigaji mtaji gani? Kama vijana watapatiwa uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizuri, wataweza kutengenez vipato vyao na kuweza kupata 50,000 kwa siku, kupata 1500,000 kwa mwezi. Serikali imesema...
  20. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Siku maalumu: Kila wiki ya mwisho wa mwezi Viongozi wawe wanatembea kwa Miguu kwenda Ofisini na kurudi majumbani mwao

    Habari Tanzania !.. Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili. Faida 1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
Back
Top Bottom