kurejea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena. Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi nia na madhumuni ya Tundu Lisu kuihamishia familia yake ng'ambo, na kisha yeye kurejea nchini pekeyake ni ipi hasa dhidi ya umoja na amani ya TZ?

    Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake? Na, kwanini aliitanguliza...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Muda wa kurejea kupima H-PYLORI

    Wakuu habari za kwenu njooni munipe muongozo juzi kati nilikutwa na h-pylori kipimo kilotumika ni cha damu,nikapewa dawa za kutumia amoxicillin,metronidazole na pantroprazole nimetumia siku 8 zimeisha hivi natakiwa nikae muda gani ili nirudi tena kuhakikisha kama nimepona?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aziz Ki Ngoma ngumu kwa waarabu, atajwa kurejea Yanga

    Aziz K Atajwa Kurejea Yanga Baada ya Haya Kutokea Kwa Waarabu. Makala hii inachambua hali ya wachezaji wa Yanga SC wanapojaribu kutafuta mafanikio katika ligi za Kiarabu, kwa kuangazia mfano wa kiungo mshambuliaji Stephen Aziz Ki. Hoja kuu ni kwamba changamoto wanazokutana nazo mara nyingi...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Je Mbowe amejipanga kurejea nafasi yake CHADEMA?

    Hili ni swali muhimu kwa wananchi hivi sasa. Chadema ya sasa chini ya uwenyekiti wa LISSU imejikuta ikihangaika na vurugu na uhaini na usaliti tu kwa Tanzania. Je mbowe anapasha misuli kurejea na kuirejesha Chadema iliyotekwa na Mange kwenye ulingo wa siasa?
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo. Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania TMA: Kuanzia Desemba 11 mvua zitaanza kurejea Tabora

    Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Baada ya maboresho yao kurejea Nitahama rasmi CRDB

    Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini. Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika kwenda job ukafika. Siwezi elezea sana lakini hii bank HAPANA HAPANA HAPANA. Mods tusipangiane...
  11. veyra

    JamiiForums Tanzania Manara Akanusha Taarifa za Kurejea Simba, Asema Moyo Wake Upo Yanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC. Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
  12. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Katika hali isiyo ya kawaida ameonekana akipanda ndege ya abiria kurejea kwao dharura

    Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!! Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa… Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kwamba Wale waliosilimu na kutaka kurejea katika imani yao ya asili lazima wauawe kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu?

    hamis77
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Je, Pole Pole atarejea sasa Tanzania? Usalama wake ukoje ikiwa ataamua kurejea? Namshauri asirejee sasa.

    Nimekaa nimewaza hilo, kwa namna Balozi aliyejiuzuru Humphrey Pole Pole alivyoinanga hadharani serikali ya sasa ya Tanzania, CCM na vyombo vya dola, huku akiharibu kabisa taswira ya Mama Samia kitaifa na kimataifa kwa uamuzi wake wa kujiuzuru huku akitoa sababu mujarabu. Je, atarejea sasa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yatajwa kurejea nyuma kiutawala bora

    Tanzania imeonekana kurudi nyuma kiutawala bora kutokana na vipimo vinavyotolewa na Mpango wa pamoja wa Kujipima Kiutawala Bora (APRM), ikiwa na kuminywa kwa demokrasia, uhuru wa kujieleza na kuendelezwa kwa ndoa za utotoni. Hayo yamo kwenyue utafiti uliofanywa na (SAIIA) kwa kushirikiana na...
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia hapaswi kurejea katika nafasi yake baada ya kuonyesha failure na upendeleo wa wazi katika sakata la derby

    Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo wafadhili, ambao kwa namna moja ama nyingine nina uhakika wallace karia hajachangia au kama amechangia ni...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yajipanga kurejea katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi mkuu 2025

    wakuu === Nimekutana na hizi taarifa ni kweli CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mwenye taarifa za ukweli atusaidie.
  18. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

    Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wote wa Covid 19 wamekata tamaa ya kuweza kurejea tena bungeni. Wana sonona (Depression)?

    Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19. Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Machumu wa Gwajima asema Kanisa lao halijafungwa, waapa kurejea kanisani Jumapili

    Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa "Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
Back
Top Bottom