nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

    Kama unajua tupeni maelezo
  2. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hacha maigizo bwana, jitokeze, Ujue sisi watu wazima???😂😂😂

    Yani uwe adui wa mfumo kwa kusema waTanzania watafute Katiba mpya??? Hukujiuzuru kipindi wanasiasa wanatekwa kila siku, wafanyabiashara wakiwa wanatekwa, miili zilipokuwa zikiokotwa kila siku, ulishuhudia Samia akivunja katiba ya chama chenu na ukazunguka kufanya naye kampeni nchi mzima alafu...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania 1995 Kolimba; CCM imepoteza dira, 2026 Nchimbi; Tupambane tupate katiba mpya.

    CCM wangemsikiliza Horace Kolimba kisingekuwa hapa kilipo, msipomsikiliza Nchimbi mnaenda kupotea mazima. 1995, Horace Kolimba alisema "CCM imepoteza dira", 1997 aliitwa kujieleza Chimwaga, kabla hajatoa maelezo yake mbele ya kikao hicho, akafariki ghafla kwa tatizo la kupumua. 2015...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kumbe Gerson Msigwa ana undugu na Nchimbi ndiyomaana

    Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani. Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya. Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
  5. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hana Siasa za kufanywa adui na Mfumo: Michezo Tu

    Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima. Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”??? Yuko sehemu...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nchimbi, CCM yapanga upya safu ya makatibu wa mikoa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko makubwa katika safu ya watendaji wake wa mikoa, hatua ambayo imeacha maswali kuhusu sababu ya kubadilishwa kwa karibu makatibu wote wa mikoa ya kichama wakati chama kikijiandaa kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani. Katika mabadiliko hayo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Nchimbi yuko wapi?

    Nchimbi amekuwa Muumini wenu miaka yote na kutokana na Vyeo alivyokuwa kuwa navyo akifika Kanisani mlikuwa mntambua kipekee hivyo mlikuwa mnampa viti maalumu vya kukaa pengine pale mbele kabisa. Kama mlimtambua kwa cheo chake, kwa nini sasa haji Kanisani kwenu na nyie mmenyamaza kimya...
  8. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania. Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wako na wameishia wapi akina Polepole, Nchimbi, Rachael Dangwa, Kabil Habil etc??!!

    Kweli dunia ni uwanja wa fujo, Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka. Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa. Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma kwenye uringo wa siasa? Wako wapi akina Rachael Dangwa na mitusi na vimbwanga vyake? Wako wapi akina...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tulikaa Kimya kwa POLEPOLE, Tukikaa Kimya kwa NCHIMBI, nawahakikishia, Hii NCHI itaongozwa Kifaulme !! Mpaka Lissu anamuulizia!¡

    Mpaka Lissu anamuulizia, Nchimbi hajaamua kukaa kimyaa kama Machawa wanavyojaribu kutuaminisha. Nilitegemea, Vyama vyote vya Upinzan, viungane, viulize NCHIMBI Yuko wapi??. Dr Nchimbi, alikua ni Makamo wa Rais, kweli Watanganyika tumeshindwa mtafuta Mtanganyika mwenzetu??. Kweli Kanisa...
  11. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania (video) TUNDU LISSU : "Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi"

  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania SI KWELI HATIMAE: Dr. Nchimbi Aonekana Ikulu Usiku wa Manane Kumfariji Rais Samia

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Emmanuel Nchimbi, amefanya ziara ya kushtukiza na ya faragha usiku wa manane katika Ikulu ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali na kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Ziara hii imefanyika...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake. Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana. Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi. Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?. Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Body morphology ya Mwigulu inaongea mengi, tutarajie ya Nchimbi?

    Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka ameacha Tutarajie jambo jipya?
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

    Hajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI. Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe. His days are numbered.
  17. G

    JamiiForums Tanzania John Nchimbi ameshapatikana?

    Siku chache zilizopita kuna taarifa ilisambaa kuhusu kutekwa kwa mbunge John Nchimbi. Kuna ukweli kuhusu taarifa hii? Kwa wanaofahamu mtujulishe.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanatuzidi sana sisi wazee Kwenye Ujasiri, Wanaulizia Nchimbi yuko wapi

    Vijana wameamua kuchagua vita yao
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Marry Nchimbi ni nani?

    Kuna kada wa CCM anaitwa Marry Nchimbi kafariki kibaha Je Marry Nchimbi ni nani? Mwenye CV yake
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchimbi mpaka leo hajaenda kizimkazi kutoa pole

    Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi
Back
Top Bottom