ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya William Ruto tayari ametuma salamu za pole, akimtaja Chivayo kuwa rafiki yake na kutoa pole kwa familia na watu wa Zimbabwe.

    Kwa taarifa nilizokagua asubuhi ya leo, 1 Oktoba 2026, sijaona taarifa rasmi au ya kuaminika inayothibitisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan tayari ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha Wicknell Chivayo na mke wake, Lucy Muteke. Ajali ilitokea 30 Septemba 2026 huko Marondera, Zimbabwe, na...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Uganda Amfanyia Ruto Kampeni, Asema Waganda Wanaweza Kuvuka Mpaka na kupigia Ruto kura

    Mbunge wa Uganda, Brian Kipyagon, amezua mjadala baada ya kuonekana kwenye video akimfanyia kampeni Rais William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 2027. Katika video hiyo, Kipyagon anawasihi wananchi kumuunga mkono Ruto na hata kudai kuwa Waganda wanaweza kuvuka mpaka kuja Kenya kumpigia...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais William Ruto wa Kenya ni kiongozi wa kipekee sana barani Africa, waafrica tunafaa kummpa mau yake, anafanya kazi nzuri na kubwa kwajili ya Africa

    Hebu ukipata nguvu, msikilize na kutazama facial expressions na body language za hao wazungu anaowapiga lecture, unaweza kuobserve kitu na kujifunza pia. well done Dr.William Somoe Ruto, very able President of THE republic of Kenya for speaking for Africa. :1Head: Mungu Ibariki Tanzania, Mungu...
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu, Kenya: Sio refinery tu! Dangote asema mradi huo utazalisha hadi 1,000MW za umeme

    Mradi wa Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote katika kaunti ya Lamu unaonekana kuwa mkubwa zaidi ya refinery ya mafuta ambayo imekuwa ikizungumziwa kwa miezi kadhaa. Bilionea huyo amesema mradi huo pia utakuwa na mtambo wa kuzalisha hadi megawati 1,000 za umeme kutokana na petcoke(nyenzo...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Nigeria amsimamisha Rais William Ruto New York, amshukuru kwa hatua zake kwa Afrika

    Rais William Ruto akiwa New York, Marekani, alipata wakati wa kukutana na mwanamke kutoka Nigeria aliyemkaribia na kumshukuru kwa kile alichosema ni mchango wake kwa Afrika. Katika video hiyo, mwanamke huyo anamwambia Ruto, “Your Excellency, we want to thank you…”, huku akieleza shukrani zake...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ruto!

    unga ... https://www.youtube.com/watch?v=TH7E_GccLB8
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh8.2T Mrima Hill Minerals: Gachagua Adai Rais William Ruto Anaenda US Kusaini Deal

    Former Deputy President Rigathi Gachagua amedai Rais William Ruto anatumia safari yake ya Marekani, ambako anahudhuria UN General Assembly, kukamilisha agreement na kampuni ya Marekani kuhusu uchimbaji wa niobium na rare-earth minerals za Mrima Hill, Kwale. Gachagua amekadiria deposits hizo...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani Anagrab Nani? Gachagua Amtuhumu Rais William Ruto kwa Muthaiga Golf Club huku KFS Ikisema Club Imeingia Karura Forest

    Former Deputy President Rigathi Gachagua amemshutumu Rais William Ruto kwa kile anachodai ni kutumia Kenya Forest Service (KFS) kuchukua sehemu ya Muthaiga Golf Club. Gachagua alisema members wa club walimtafuta baada ya KFS officers kuingia kwenye Holes 2 hadi 9, na akaeleza hatua hiyo kama...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Yaizima Standard Kumhusisha Charlene Ruto na Tender ya Sh2.8B—Lakini Maswali ya Uniform Bado Hayajaisha

    Mahakama Kuu imezuia kwa muda Standard Group kuendelea kuchapisha au kusambaza madai yanayomhusisha Charlene Ruto, binti wa Rais William Ruto, na tender yenye utata ya takribani Sh2.8 bilioni ya sare mpya za polisi. Amri hiyo ya Septemba 14 imetolewa baada ya Charlene kupinga machapisho ambayo...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: “Nimekopa Kidogo”; Treasury: Deni Limeongezeka Sh4.25 Trilioni

    Rais William Ruto anasema serikali yake imekopa kidogo kuliko tawala zilizomtangulia. Lakini rekodi rasmi za serikali zinaibua swali: Ikiwa tumekopa kidogo, kwa nini deni la Kenya limefika zaidi ya Sh13 trilioni? Ruto aliingia madarakani Septemba 2022 wakati public debt ikiwa karibu Sh8.76...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eastleigh yakumbwa na mvutano baada ya agizo la Rais William Ruto kuhusu wafanyabiashara wa kigeni

    Mvutano umeibuka katika eneo la Eastleigh, Nairobi, kufuatia agizo la Rais William Ruto la kuchukuliwa hatua dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo nchini. Rais Ruto alisema Septemba 2 kuwa biashara ndogo kama uchuuzi na maduka madogo zinapaswa kuhifadhiwa kwa Wakenya, akieleza...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ruto aagiza waamiaji haramu waondoke Kenya kabla ya 7 Sep 2026

    Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za kuzunguka mitaani. Wafanyabiashara hao wameelekezwa kufunga biashara zao. Hatua hiyo inalenga kuzuia...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ruto awafukuza waabudu sanamu waondoke Kajiado.

    Rutto kawafukuza Tata Chemicals waondoke Kenya Halafu wametokea wanaharakati wengi from the woodwork wanamwambia kwamba anawafukuza from underhanded motives Nasikia Ruto kabadili uamuzi wake .
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto awataka Wageni kuacha kufanya biashara ndogo na kuachia Wakenya wazifanye

    Rais William Ruto ameagiza hatua zichukuliwe dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo ndogo nchini Kenya, akisema nafasi hizo zinapaswa kuwa kwa Wakenya. Akizungumza na wafanyabiashara wa Micro, Small and Medium Enterprises (MSMEs) katika Ikulu ya Nairobi Jumatano, Septemba 2, Rais...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Wapata Muonekano Mpya: Rais William Ruto Azindua Sare Mpya Kiganjo

    Rais William Ruto amezindua rasmi sare mpya za maafisa wa General Duty wa Kenya Police Service katika hafla iliyofanyika Ijumaa, Agosti 28, 2026, katika Kenya Police Training College, Kiganjo, Kaunti ya Nyeri. Chini ya muundo huo mpya, maafisa watavaa shati za rangi ya sky blue, suruali za...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Hakuna Mkenya Anayepaswa Kufa kwa Kukosoa Serikali” - Rais William Ruto Asema Maandamano ya Amani Ni Msingi wa Demokrasia

    Rais William Ruto amesema hakuna Mkenya anayepaswa kupoteza maisha, uhuru au heshima yake kwa sababu tu ya kuikosoa serikali, kutoa maoni yasiyopendwa na wengi au kushiriki maandamano ya amani. Akizungumza katika Kongamano la 16 la Katiba lililofanyika KICC, Nairobi, Agosti 27, 2026, Ruto...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto aagiza uchunguzi wa vifo vya Waandamanaji wa Gen Z

    Rais William Ruto ameagiza uchunguzi huru na wa kina kuhusu vifo, madai ya utekaji nyara, kukamatwa kinyume cha sheria na matumizi ya nguvu kupita kiasi yaliyoripotiwa wakati wa maandamano ya Gen Z ya 2024 na yaliyofuata. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 16 ya Katiba ya 2010 katika...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ICC Yarudi Tena Kwenye Siasa za Kenya? Upinzani Wataka Rais William Ruto Achunguzwe Kuhusu Ghasia za Kisiasa

    Miaka 15 baada ya kesi za ICC kutawala siasa za Kenya, jina la Rais William Ruto limetajwa tena katika wito unaoelekezwa The Hague - wakati huu Kenya ikielekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Muungano wa upinzani umetaka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuchunguza...
  20. O

    JamiiForums Tanzania FALSE Image of Kenya Defence Forces Recruits Displaying ‘TUTAM’ Formation for President Ruto

    An image circulating on social media appears to show Kenya Defence Forces (KDF) recruits lying on the ground and forming the word “TUTAM”, a slogan associated with President William Ruto and his supporters. The image has been shared as though it captures a real formation by KDF recruits...
Back
Top Bottom