Ndugu zangu Watanganyika , Nina wasihi sana kwa Unyenyekevu Mkubwa .
Yale Mauaji yà Oktoba 29, HATUPASWI kuyachukulia kama Ajali.
Kwa kufanya hivo ni sawa na kusema hatukua na MALENGO YOYOTE , kwamba tuliandamana kwa kufata Mkumbo.
Vijana tuliandamana kwa sababu tunataka KATIBA Mpya...
Mahakama ya Rufani nchini Tanzania imewaachia huru waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara mashuhuri wa Mwanza, Samwel Mwang’onda, maarufu kama 'Super Sami'.
Desemba 2024, jopo la majaji wa Mahakama ya Rufani lilitengua hukumu hiyo ya awali ya...
Ndugu zangu,
Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
Anonymous
Thread
katika
kuhusu
kundi
kutoka
mauaji
mjadala
tunduru
vita
wafugaji
wakulima
wilaya
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Yaan sijawahi sikia BAKWATA wanatoa Waraka wowote ,angalau hata Pole kwa walofiwa Oktoba 29.
Bado tu mnawaamini Hawa Bakwata ???. Waloshindwa kulinda Haki za Uhai za Waumini wao??.
BAKWATA ambao wanalípwa mishahara na Serikali, Wanapewa Ulinzi na Serikali, Bima, ELIMU , Majumba ,Magari na...
Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄.
TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya kama vile:
🎙️ Voice Comments — badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana!
Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
Jadi ntakimeshaji udikiteita wa African presidents na mauaji ya watu wao. Mnajadili eti Greenland ni ndogo kuliko Afrika na ramani ya dunia haiko sawa. Haya ni ya kujadili, hadala ya kujadili ni kwa vipi UN itakomesja udikiteita wa , mauaji ya watu Africa.
Siku hizi Anakamatwa Mtu ,lkn unashindwa kujua, Amekamatwa au Ametekwa!.
Ametekwa na Jeshi la Polisi ? Ametekwa na Usàlama? Ametekwa na Wahalifu ?.
Nmekua Mstari mbele nikikemea Tabia hii ya Polisi, Tabia ya Kihuni , Tabia hii inaacha mashimo ya Kiulinzi na Usalama !.
Wahalifu , Walipa Visasi...
Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe.
Hivi kweli akili ya kawaida haikutumi kwamba ni kama mbwa kujifucha kwenye shamba la karanga!?
Kijana wa miaka 18 aliyetajwa kuwa mshukiwa wa shambulio la risasi 13 Feb 2026 lililoua watu wanane na kujeruhi makumi ya wengine huko British Columbia, Canada, Jesse Van Rootselaar alipatikana amefariki katika eneo la tukio kutokana na kujipiga risasi.
Aidha Uchunguzi wa polisi Umesema Kabla...
Baada ya miaka 30,hatimaye keefs d David akutwa na hatia katika mauaji ya Tupac Shakur!...
Hakupiga risasi au kuumiza lakini alipanga,na ikatekelezwa!...
Kila jambo huanza na mpango kazi kwanza kabla ya utekelezaji.
Baada ya takriban miaka 30 ya sintofahamu kuhusu kifo cha rapa maarufu Tupac Shakur, kiongozi wa zamani wa kundi la “South Side Compton Crips”, Duane “Keffe D.” Davis, amepatikana na hatia ya mauaji yake.
Kifo cha Tupac mwaka 1996 katika shambulio la risasi lililofanywa na watu waliokuwa ndani...
Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa: Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika...
Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi...
Ruto ametoa kauli hiyo...
genz
ili
kenya
kiongozi
kosa
kukiri makosa
kuua
makosa
mauaji
mwaka
mwaka 2024
rais
rais ruto
rais samia
ruto
samia
serikali
ujasiri
uungwana
waandamanaji
Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee.
Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
Hizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia.
Nyakati hubadilika.
Kama mnakumbuka kuhusu Nuremberg Trials huko Germany kwa wale Nazi officiers na timu ya Hilter waliohusika na human crimes, ukatili and mauaji ya halaiki walihukumiwa kifo na vifungo vya Maisha .
Kwa kuwa mpaka...
Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania?
Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au
Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika?
Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi?
Ukichagua cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.