Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza kuwa watumishi wa umma wanaopanga kuwania nyadhifa mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027 wanatakiwa kujiuzulu kufikia Februari 10, 2027.
Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amesema tarehe hiyo ni miezi sita kabla ya uchaguzi na...
Waziri Ridhiwani Kikwete alitangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa vibali vya kupandishwa madaraja na vyeo kwa watumishi wa umma waliokidhi vigezo.
Hata hivyo, baadhi ya taasisi bado hazijatekeleza mchakato huo bila kutoa sababu za msingi, licha ya...
Mara nyingi kabla ya kuajiriwa au wakati wa kuajiriwa kunakuwa na mafunzo ambayo mara nyingi tunapewa na miongoni mwa somo ambalo tunafundishwa ni namna y kujiandaa kustaafu wakati unaajiriwa.
Ni soma ambalo wengi wetu hatuelewe, unapoambiwa kwamba ujiandae kustaafu wakati ndio unaaza kazi na...
Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi...
Kuna mtu nilimwambia apush hii kitu akaogopa kutokana na changamoto za kiafya sasa nimeamua kuileta mwenyewe.
Kumekua na tabia mmoja mbaya sina uhakika kama Victor Seffu Mkurungenzi wa Tarura kama anaijua. Hii tabia imekua inaumiza Wakandarasi wengi sana unaomba tender una vigezo vyote...
Mliokuwa hamjui ni kwamba;
Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..."
Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
Wote tumeona na kusikia kauli na matamshi ya viongozi wa chadema Toka mwaka Jana kiasi cha kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu yetu ambayo imejengwa kwa garama kubwa, uharibifu huu umefanya serikali yetu kutumia matrillion ya Hela kufanya repairment na ujenzi upya.
Leo hii watumishi wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, ameagiza kuchukuliwa hatua kwa maafisa rasilimali watu watakaobainika kusababisha watumishi wa umma kushindwa kupanda madaraja kwa uzembe licha ya kutimiza vigezo vinavyotakiwa...
Hello
Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha.
Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA.
Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
“Enyi mlioamini! Inapoitwa Swala siku ya Ijumaa, nendeni kumkumbuka Mwenyezi Mungu…” (62:9)
Kila muislam anatakiwa inapofika wakati wa swala utapofiks tuache kila kitu tukimbilie msikitini.
Kama ni semina, bungeni, kazi binafsi, kampuni
Hili jukwaa lilikua chachu ya watu kupata opportunities za ajira,internship ,networking na mambo mengine mazuri
Cha kushangaza sasa baadhi ya watumishi wa umma wameligeuza kuwa sehemu ya malalamiko tuu. Asubui malalamiko,mchana malalamiko, usiku malalamiko, hii ni TOO MUCH !
KUNA UTARATIBU WA...
Asubuhi na mapema jitu zima lina ndevu na mavuzi linadamka kwenye ofisi ya bosi kuanza kupeleka umbea na unafiki.
Jitu linakuwa kama linaajike linaloimba taarabu.
Wanaume watumishi msiokunywa Pombe mna matatizo.
Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata
Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa Watumishi wa Umma
Pia kwenye dirisha la Vacancy transfer request nimetafuta Halmashauri au Taasisi...
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo imekuwa ikiwakabili baadhi ya watumishi wa umma wanaotafuta uhamisho kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kufuata taratibu zilizowekwa.
Katika hali yangu, niliwasilisha maombi ya kuhamia katika taasisi niliyoona inafaa kulingana na mahitaji na mazingira...
Dar es Salaam 14 Mei, 2026
YAH: KUVUNJWA KWA BODI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
Naandika hapa nikiwa nimejawa maswali yasiyo majibu hasa baada ya kuona ndugu yangu akiishi kwenye mazingira magumu sana mara baada ya kupata Ajira tangu mwaka jana, alitakiwa kupewa pesa ya kujikimu ila hajalipwa hivyo kageuka ombaomba kila siku wakati kuna haki yake imeminywa na hapewi majibu...
Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.