karne

Karne parah (Hebrew: קַרְנֵי פָרָה‎, also spelled Qarnei Farah and other variant English spellings) is a cantillation mark found only once in the entire Torah (Book of Numbers Numbers] 35:5), and once in the Book of Esther, immediately following the identically unique Yerach ben yomo.
The symbol of the Karne para is that of the Telisha ketana and gedola together. The melody, likewise, is that of these two more common cantillation sounds put together.
The Hebrew words קַרְנֵי פָרָ֟ה translate into English as cow's horns.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
  2. The Burning Spear

    Huyu Kamera Man wa Chato katuharibia picha yetu ya karne

    Guys Kwani huyo mzee.wa mwisho kulia angemkata tu asionekane maana kaharibu kila.kitu tunashindwa kucoment.
  3. Kubwa la Maadui

    Mtu asiejua kutumia computer ni Sawa na maiti inayotembea kwa karne hii

    Habari Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote hawajui Hii ni hatari kwa maendeleo ya taifa lolote lile linalojitambua Bora Hawa watu wa afya...
  4. Jidu La Mabambasi

    Ni ujinga wa karne kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta kujengwa Tanga-missed oppurtunities

    Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga. Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania. Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria. Tukumbuke bomba la mafuta toka...
  5. L

    Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  6. Idugunde

    Kwenye nyakati hizi, uongo hautaiweka huru CCM ya Samia itateseka sana

    Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa. Alafu kuja kudanganya umma eti kuna vijana walililpwa fedha ili waandamane Oktoba 29 hii haiwezi kuisaidia CCM...
  7. A

    Kuendelea kuwa masikini katika karne hii nikujitakia wenyewe

    Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao Akina chif godlove wanatajirika kwa ujinga ujinga tu akina mwijaku na wengine wengi kibao alafu kuna akina sisi ambao tunaendelea...
  8. Alloyce PR

    NGOs na vyama vya siasa vya upinzani Afrika ni watengeneza maudhui katika karne hii

    "Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi. Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
  9. AXIOM APEX VERBOSE

    Kwa Karne tuliyopo unapoenda kumtembelea mtu jitahidi utoe Taarifa kabla

    Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka. Watu tuwe...
  10. Secret Star

    UONGO WA KARNE: "Pesa Haiwezi Kununua Furaha" Neno la Kujifariji La Masikini na Kukaririwa na Wasomi

    Leo naomba tushuke kwenye majukwaa yetu ya usomi na falsafa za akina Socrates, tuingie kwenye hesabu halisi za maisha. Kuna utapeli wa kisaikolojia ambao tumekuwa tukiimba kila siku: "Pesa haileti furaha, utu ni bora kuliko mali." Hii ni kauli mbiu ya kujifariji iliyotengenezwa ili kuwafanya...
  11. B

    Kwa wasabato; Je, Wakristo waliouawa na kuteswa kikatili na dola ya Warumi karne ya 2, 3 na 4 walikuwa wa dhehebu gani?

    Habarini wapendwa wote. Moderator naomba sana uzi huu uwe huru tafadhali Ni swali la msingi la kuweka sawa kumbukumbu za kihistoria
  12. Kimbesa11

    Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

    Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
  13. pulex

    Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  14. Dr am 4 real PhD

    Metternich wa Karne ya 19, Watawala wa Leo — Je, Tumefunzwa?”

    Katika bara la ulaya Karne ya 19 Jina moja lilikua linatisha... Chancellor Klemens matternich alitawala kwa miaka 27 (1821-1848) Huyu bwana alitengeneza mtandao mkubwa wa upelelezi, uliosukwa kwa ustadi wa ajabu. Woga ulienea kila mahali kila neno lililozungumzwa lilipaswa kupimwa kabla ya...
  15. Its Tesha

    Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

    Dunia nzima inaitazama Tanzania Majirani zetu Kenya wanatutazama Tayari walishaatuonesha njia Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana. mchana mwema!
  16. kadiri kasimba

    Hivi Karne hii wapo wanaume wa hivi?

    Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa, Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu..... 👇 anakuja inbox 📥 anakwambia dada mambo ...wajibu poa....anakuliza unakaa wapi....wamjibu pengine...
  17. Eli Cohen

    Yani Mtu akazaliwa akaitwa Yeshua mwana wa yosef aliezaliwa na miriam, nyie baada ya karne kazaa mkasema aitwe issa, 😂😂

    Mi nafikiri kama alivyosema solomoni kila kitu chini ya anga ni ubatili alikuwa sahihi.
  18. Kimbesa11

    Watanzania wenzangu hebu tujitathimini hivi Karne ya sasa ni yakushangaa nyumba ya mtu tena kwa mtu mzima? Hii ni aibu!

    Tunatia aibu kwakweli unaona kabisa mtu mzima amesoma lakini bado anashangaa nyumba za watu kwa kulalamika as if amekatazwa naye kujenga nyumba Kama hyo anayoishangaa, hebu vitu Vingine acheni viwapite. Eti oooh! Marehemu kaacha nyumba kubwa Sana, ww inakuhusu Nini? Eti oooh siasa inalipa kwani...
  19. GENTAMYCINE

    Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  20. Miguel Felix Gallardo

    Kufumania, wivu wa mapenzi na drama kama hizo ni ushamba wa karne ya 21

    Nimejaribu kufatilia kwa muda sasa na pengine ni sahihi kabisa na baadhi ya jamii za kale zilielewa haya mambo in deep tofauti kabisa na wanaojiita wasomi wenye madegree na maPhD ya kileo. Jamii kama Wamaasai hawa viumbe wako soo real katika swala la kuzagamuana na kula mbususu.Imagine mwanaume...
Back
Top Bottom