mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maneno machache ya mkuu wa majeshi

    "Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda. Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM YAJIPANGA NA KUJIWEKA MGUU SAWA KUELEKEA UCHAGUZI WAKE WA NDANI 2027, UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2029 NA UCHAGUZI MKUU 2030.

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania. Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi akutana na Katibu Mkuu wa UN

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – New York nchini Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa CJ: Mahakama Ndie Mlinzi wa Katiba ya JMT, Kwenye Ukiukwaji wa Katiba, Je Mahakama Iendelee Kukaa Kimya Kusubiria Shauri, au Itumie Suo Moto?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Imam na sheikh wetu mkuu wa kijiji

  7. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya mkuu wa mkoa Ruvuma haina watalaamu wa kugundua UFISADI ....

    Habari wandugu. Harufu ya UFISADI. Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika . Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwamba vyombo vyetu vyote vya habari vimeshindwa kufuatilia Ili kufanya mahojiona na Makamu mstaafu Hadi mkuu Pascal Mayalla

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kuchimba habari ambazo zinaleta sintofahamu kwenye jamii. Ushindani wa vyombo vya habari ni kuwa wa kwanza KULETA habari Kwa wakati haswa zile za kiuchunguzi. Ndugu Pascal Mayalla tusaidie mahojiona na Makamu au ndugu wa karibu kuondoa sintofahamu ambayo...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili zozote za kuthibitisha ulimwengu umeumbwa na mbuni mkuu (intelligent designer) ?

    Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ? Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko, maporomokl El Nino, milipuko ya volcano n.k unathibitisha kuumbwa au kujiunda wenyewe?
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wathamini wamuaga Mthamini Mkuu kwa Jogging ya kilomita 5

    Wathamini wamemuaga kwa heshima Mthamini Mkuu Bi. Eveline Mugasha kwa mbio maalumu (jogging) ya kilomita tano, ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kumpongeza baada ya kustaafu utumishi wa Umma. Jogging hiyo imefanyika leo, Jumamosi, Septemba 19, 2026, ikiwa ni ishara ya heshima, mshikamano na...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo mkuu wa Majeshi CDF atafurahi ikiwa Lissu atakutwa na hatia? Asee

    Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia. The only
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kutoka kwa Miundo ya Mitihani ya Kidato cha sita kwa mtaala mpya

    BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA Ndugu Katibu Mkuu, Tunakuandikia kuwasilisha...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu.

    Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu. 📍Simiyu
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Kithure Kindiki Ahakikisha Uchaguzi Mkuu wa 2027 Utakuwa wa Haki na Uazi

    Makamu wa Rais wa Kenya, Kithure Kindiki, ametoa hakikisho kwa washirika wa maendeleo wa kimataifa na jumuiya ya kimataifa kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 utakuwa wa haki, huru, na wa wazi bila ukiukaji wowote wa sheria. Akizungumza katika mkutano huo, Kindiki alisisitiza kuwa serikali iliyo...
  19. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wakili Komba: Maswali ya Wakili wa Serikali Mkuu Katuga, kwa Heche yamedhalilisha taaluma ya sheria

    Mwanasheria maarufu, Aloyce Komba ametoa maoni yake kuhusu maswali ya dodoso yaliyofanywa na mawakili wa Serikali wakuu, akiwamo Wakili Nassoro Katuga. Haya ndio maelezo yake: 1. Ilidhalilisha taaluma ya sheria kwani ilikusanya maswali mengi ya umbea wa kisiasa na maisha binafsi ya shahidi...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

    Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani. Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo. Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu...
Back
Top Bottom