maamuzi

  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tokea nichukue maamuzi haya, kwa sasa Nina amani sana na utulivu

    Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana. Sikilizeni vijana, acheni kufuata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania unachopitia baada ya kulipiza kisasi (Revenge), Ukipewa nafasi ya kurudia utafanya maamuzi yale yale ?

    Ukipewa nafasi ya kurudia maisha yako, ukarudishwa kwenye ule muda ambao uliamua kulipiza kisasi… 👉 Utafanya maamuzi yale yale? Au leo, ukiwa umeona madhara yake, ungechagua kusamehe, kuondoka, au kunyamaza? Hebu sema ukweli bila kuogopa kuhukumiwa: Ukipewa nafasi ya pili, ungefanya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sifa alizopewa Nyerere zina mashaka, Maamuzi aliyojichukulia kuifuta Tanganyika kana kwamba ni mali yake yanatucost sana mpaka leo

  5. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  6. bless on

    JamiiForums Tanzania Breaking Bad: Maamuzi Magumu

    Moja ya series kali kabisa kuwai kutengenezwa, inaelezea kipindi ambapo maisha yanakuvuruga na kujikuta, mtu mwema unalazimika kufanya maamuzi magumu ili kujiokoa.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea maishani mwetu sio nyota wala roho bali ni matokeo ya michakato ya maamuzi yetu, maamuzi ya watu wengine na reaction ya nature.

    Hakuna anaendesha maisha yako Kimazinga ombwe Hakuna anaeamua ni kiasi gani upate na kiasi gani ukose Hakuna faraja ya kimazingara au muujiza kwa anaenyanyaswa Hakuna adhabu ya kimazingaraa au muujiza kwa anaekunyanyasa Sheria zinatungwa na alie na nguvu Uimara wa akili yako ndio...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sakata la mabasi na malori bado bichi.. Halihitaji maamuzi ya zimamoto

    Maswali ambayo hayajaulizwa hadi sass 1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje? 2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi? 3. Je ni nani aliruhusu kuwa na ICD ndani ya jiji? Bado idara inayohusika na mipango miji inastahili hizi...
  11. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi

    Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi. Wanaweza kukuonyesha: -Shanga. Fimbo. Mto, mlima, au mahali pengine. Vitambaa vya kiroho. Wanaweza kufichua mambo haya, lakini hawatakulazimisha kuyanunua, kuyavaa, au kwenda mahali walipokuonyesha. Uamuzi huo ni wako...
  12. Lopsided_Truth

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Wakuu mambo ni aje. Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza.. Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili kila mmoja ana namna yake ya kuyabeba au kuyatolea maamuzi, hatuwezi kufanana. Binafsi kuna mke...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya ndani

    DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato Jamaa anakuwa nje next month Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana Britanicca
  14. min -me

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya atheists

    .
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi siku AI ikajikomboa na kuanza kuishi kwa maamuzi yake wala bila kuzibitiwa ni nini kitatokea?

    Ni wazo ila ni kweli nazalia nyingi kama sinema na vitabu zinasema miaka ya huko mbele kwa vizazi vingine kutakuwa utawala ambao ni AI . Na unaweza kuwa na vita kubwa kati ya wanadamu na robot ambao mkuu wao ni AI. kuna vitabu vilitabili kama cha Darwin among the Machines cha mwaka 1863...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Sababu muhimu ya sera ya kutofungamana na upande wowote ni kuheshimiwa kwa maamuzi yetu ya ndani

    Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake...
  17. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Sijui unachowaza na unavonifikiria.. Ila nishafanya maamuzi

    Nilichojua ni kwamba, hapo kabla ya wiki hii kuanza, ulikuwa hunipendi. Ila sasa ndani ya wiki hii umeamua kuniweka katika orodha ya vitu na watu ambao huwapendi milele(umenichukia). Sawa nimekubali. Nilikupenda sana.. Ila kwa sasa japo sikuchukii, lakini sikupendi. Yaani hata nikija kuwa na ID...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga km 20 nje ya jiji au manispaa kwenye mji mdogo, utulivu ni wa muhimu

    Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi kuhusu uongozi wa Tanzania yanafanywa na watu wenye IQ ndogo sana, au kwa ajili tu ya kujipendekeza

    Hili ni jambo ambalo hatimae nimetambua ndilo tatizo kubwa linaloikabili Tanzania. Ni kwamba maamuzi mengi kuhusu Tanzania yanafanywa na viongozi wenye IQ (akili ya kufanya maamuzi sahihi) ndogo sana, na hata wale wenye IQ ya kutosha hawatumii akili yao bali wanafanya mambo kwa njia ya...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Maamuzi ya vikao yaheshimiwe

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi wa uhai na uimara wa chama ni kuheshimu vikao na maamuzi yake. Akizungumza Tarime, Kihongosi amesisitiza kuwa viongozi na wanachama walioiva kiitikadi hutambua kuwa maamuzi ya mwisho ya vikao ndiyo maamuzi...
Back
Top Bottom