Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema inaendelea kuchunguza ukwepaji kodi kupitia udanganyifu wa taarifa za magari, ikiwemo aina, modeli, mwaka wa kutengenezwa na thamani ya gari.
TRA imesema katika operesheni iliyofanyika Septemba 26, 2026, eneo la Palm Beach Casino, Dar es Salaam, ilibaini...